GAS STATE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,770
- 954
HUYU NI MTOTO WA RAIS MSTAAF WA Z'BAR NDG ABEID AMAN KARUME. Mama yake ni bi Shadia Himid Karume mke wa mstaafu. Mjombaake ni Mansour Himid galacha la CUF huko Unguja. upande wa mama yake ni purely Arabs (mama na Babu yake) na upande wa Baba ni Purely Bantus (baba,bb,babu) thats y ni shombshombe. Babu zake kiumeni ni aliyekuwa Rais wa kwanza wa Z'Bar na M/kiti wa BM na kikeni ni Mwanajeshi aliyeshiriki ktk Mapinduzi ya Z'Bar.Naomba kujua wanabodi kama Wakili Fatma Karume ana undugu na familia ya Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume.
Na Je ni mwanachama wa CHADEMA?
View attachment 547337
Sent using Jamii Forums mobile app