Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Hoja zako nimekujibu zote juu ya mange je haujatosheka kabla sijalog out bwana mdogo??
Hebu tuache utani ukiangalia kila ulipo ni quote unaona sehem yoyote uliyotoa fact zaidi ya kuongea ujinga?

Halafu mtu mzima kama wewe unaweza kutenga muda kuongea ujinga ujinga
 
Hebu tuache utani ukiangalia kila ulipo ni quote unaona sehem yoyote uliyotoa fact zaidi ya kuongea ujinga?

Halafu mtu mzima kama wewe unaweza kutenga muda kuongea ujinga ujinga
Bwana mdogo kwanza pole sana kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyingine kwenye hizo quote zangu kwako labda kupitia lugha ya makwazo nisamehe bwana mdogo.

Mimi kitu sijapenda kwako ni kum_underrate Mange kwa hoja zako dhaifu sana kuzileta jukwaani ambazo kwa wale wengi waliokuwa wanamfatilia miaka mingi nyuma huko tumekushangaa.
 
Yeah.

Wanasema ieti nfo anazopewa na kuzitoa ndo zinafanya aonekane akili kubwa ila nawapinga kwa kusema asingekua genius hakuna angempa hizo info.
Labda kama wanaosema hivyo ni watoto wamezaliwa 2010 watu wazima wote tunafahamu Mange amejingeka kabla hao watu hawajamuona kuanza kumpa taarifa.

Good to see you kamamaa, Mtoto anaendeleaje?
 
Bwana mdogo kwanza pole sana kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyingine kwenye hizo quote zangu kwako labda kupitia lugha ya makwazo nisamehe bwana mdogo.

Mimi kitu sijapenda kwako ni kum_underrate Mange kwa hoja zako dhaifu sana kuzileta jukwaani ambazo kwa wale wengi waliokuwa wanamfatilia miaka mingi nyuma huko tumekushangaa.
Kwahiyo mimi kutoa maoni tofauti na vile wewe unavyoona, ndiyo uje uniporomoshee matusi?

Narudia tena, ukitoa za ndani anazopewa, ni wa kawaida sana kwenye reasoning

Mara kibao tu anakurupuka

Haya ni maoni yangu binafsi, si msimamo wa watu wote

Ukiachia mbali taarifa ambazo hua anapewa na wadau kwa kua ni maarufu

ukiacha habari za udhalilishaji alizokua anatoa siku za nyuma na kuachia trauma watu

Labda nikuulize wewe, Mange unamuona genius kwa mambo gani?
 
Back
Top Bottom