Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Wadau mie naogopa sijui km nitalala leo....naogopa kesho mange na mama water mark team wake wasije wakanichamba kny blog yake....lara 1 !am out
I pray for you so that GODS OVER LOOKS THIS COMMENT AKUJALIE UZEEKE UONE WAJUKUU ZAKO NA WATOTO WA WAJUKUU ZAKO! Hujui ulinenalo! Awaepushie wanao KIKOMBE CHA MANGE HATA WAKIWA NA MIKA 40 NA ZAIDI.
hahaaa ngoja nianze mie kuagiza.......
muhudumu kuja pande hizi
tatizo yule mtoto anayakimbilia maisha ujue naskia hata shule kashindwa kumaliza na kazi ya bar ina risk sana hasa kwa binti mbichi ka leyla atauza bar mpaka lini Heaven je future yake itakuwaje hapo badae am just thinking lol
Nna maswali kwako lara 1
1:Tuwekee na utajiri alionao Mange??
Maana umesema wanamuonea wivu
2: baba yake alifariki kisa nini na alifanywa nini mpaka akajiuaa??
3:nguo za mchina sio za mchina??
4: email iliyosambaa na ni ya zamani akielezea ufuska wake hadi wa kuliwa tigo unauzungumziaje??
5: kama alikua wa kibopa/kishua mawindoni kwenye mahotel kutafuta mabwana ilikuaje ?? Ndio akambahatisha huyo Lance
6; huyo mmewe mbona ana hama hama hana makazi maalumu au kazi maalumu? ??
7:anawasema wenzie wabaya wana sura mbaya,kati ya wanawake wazuri Mange yumo?????
Ni hayo tu! !!!!!!
Agiza mamii tena plus msosi maana sina uhakika kama mmekula....
Hahahaa
Ushamba kweli ni mzigo ila ujinga ni zigo!
Yaani shahada za kutoka kwenye diploma mills ambazo hazina accreditation za kueleweka nazo zinatumiwa kwa bragging?
Ama kweli watu wakiwa hawana resources za fact-checking unaweza ukawadanganya na kuonekana unajua sana kumbe tatizo ni ujinga walionao hadhira!
Nani Marekani anaweza kutuma resume yake kwenye Fortune 100 au hata 500 companies huku resume inaonyesha umesoma kwenye vi-diploma mills huko madongo kuinama?
Nawaonea huruma mlioko bongo mnaodanganyika kirahisi rahisi!
Ushamba kweli ni mzigo ila ujinga ni zigo!
Yaani shahada za kutoka kwenye diploma mills ambazo hazina accreditation za kueleweka nazo zinatumiwa kwa bragging?
Ama kweli watu wakiwa hawana resources za fact-checking unaweza ukawadanganya na kuonekana unajua sana kumbe tatizo ni ujinga walionao hadhira!
Nani Marekani anaweza kutuma resume yake kwenye Fortune 100 au hata 500 companies huku resume inaonyesha umesoma kwenye vi-diploma mills huko madongo kuinama?
Nawaonea huruma mlioko bongo mnaodanganyika kirahisi rahisi!
AAAAA now I gat it "NEVER HAD BEST RELATIONSHIP WITH HER MOTHER" AM no body to judge but with this nimepata majibu yote.
Hayaaaa! MWENZIO NASHUKURU MUNGU NA UZEE HUU NAIKIMBIZA 30 WAZAZI WAKO HI NA KOLA SIKU NAMUOMBA MUNGU AWEKE HAI ZAIDI NA ZAIDI! Kila mtu na Mungu wake! Kila kheri!Bibi wewe kila mtu atakufa siku yake ikifika usitake kutumia wazazi wake kufariki kama kigezo cha kumfanya anahatia sana yeye anayowafanyia wenzie kuwatukana na kuwadhalilisha vile ni sawa?halafu kifact mtu mzima wenye mume na watoto huwezi kumuita yatuima unaweza kumuita yatima mtoto aliechini ya miaka kumi na nane ambaye hana uwezo wa kujitegemea mwenyewe sasa lile zee zima utaliitaje yatima.....kwahy usitake kunitisha na hayo maneno yako kama Mungu akipanga niwaache wototo wangu wakiwa bado wadogo hapo kweli watakuwa ni yatima lakin kama nikiwaacha wazee wazima na familia zao wanahaja gani ya kujiita yatima wakati tayari ntakuwa nimewaacha wakiwa na uwezo wa kusimama wenyewe zaidi zaidi watakuwa ni watu waliofiwa na mzazi wakiwa katika hali ya utu uzima mbona watanzania tunapotosha maana ya vitu basi kama yeye bado ni yatima hawezi kujitegemea mwemyewe aende katika vituo vya kulelea yatima ooooohhhh did i say vituo vya kulea yatima nimesahau kama ni mama anayelea ila hana busara hata kidogo mama mdomo mchafu sijui na mwanae yule mwenye sura mbaya ka ---- la mbuta nanga atakuwaje maana mama adabu hana
na kwa kutopatana na mamake mzazi ndo kumemfanya leo awe vile na maisha yake yatakua hivyohivyo kupata negative publicity mpaka siki atakayojua thamani ya mama na kumuandika km anavyoandikaga mama ww wenzie kwa kuwasfia ndo ile nafsi ya ushetank itaondoka na damu ya kunguni itaisha kwake
wenzie wanaelewana na mama zao hata wakikosana wanasolve ye anajfanya kajizaa...![/QUOTHE]
Hahahaaaaaa! So funny! NYIE WENYE WAZAZI NA MIBARAKA TELE MBONA HATA HAPO NJE HAMJATOKA.? Binadamu kwa kujifariji hamna mpinzani! Hahahaaaa! Nicheke mie!
Wakati unaendelea kuthink hebu sema nikuhudumie kinywaji gani upoze koo kwanza
Kabla hajakupa aweke zake za HAVARD NA YALE PLEASEEEEE! Watu kw multiple ids ! Hahaaaa!
Wakati unaendelea kuthink hebu sema nikuhudumie kinywaji gani upoze koo kwanza
Na kupiga picha mipapa muaachie teenagera! Hahahaaa!
tufanye yetu na ye afanye yake tatizo anatakaumaarufu na kumsema linda mi sjamskia linda kagombana gombana hovyo km shoga ako
afu anavyonanga watoto wa wenzie ye wa kwake sasa....
Mungu nsamehe sijaumba mie lakini llloh...!
Na ye mwenyewe alivyo hawazidi kwa uzuri wote alogombana nao hata kidogo....!
Mbona Linda bedui nae kaolewa ana watoto 4 hamumsemi? Ya ngoswe muachie ngoswe, ya bokhe muachie mama bokhenzo, INANICHOSHA WATU BAKI MNAVOJITIA WAPANA KAMA PAZIA LA CINEMA KUJIFANYA MNA UCHUNGU NA MTOTO WA MWENZENU KULIKO YEYE ALIEINGIA LABOR! Hahhaaaaa! Madogo yana nafuu!
FANYENI YENU!
anasema leyla wa watu anauza bar ye bhoke kamlea kwa maadili eti hajui upande mwingine wa maisha yake na haters wake