Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha weeeee....
ustaadhi sie twakusoma weye tu....
Kasoma UDSM
MA kafanya UNIVERSITIES OF WOLONG GONG IPO Dubai km sikosei
Hahaaaaaa! Kwenda nje ULIZA NAULI TU MPAKA US SH NGAPI ACHA HUO UTITIRI WA NCHI ZINGINE, ACCOMODATION, NA MATUMIZI MENGINE!Hvi kwenda nje ya nchi ndo kua na maisha mazuri?
Kuolewa na mzungu ndo kuukata?
Kuongelewa vbaya ni ufakhar?
Kutomthamini mam angu ni ushujaa..?!!!Km ndo ivyoivyo mi nipo nipo sana tu bongo na maisha yetu ya kiswaz nyuma ya keyboard....!
Kuolewa na muafrica ndo kuukata?
Aliomba mumuongelee!
Mama yako alikutelekeza kwa baba yako au unachetuka tu hapa?
NA UTADODA BONGO SI KIDOGO CHEZEA MAMTONI WEYEEE!
hana mali analingia masters tu basiiiiiiii elimu ni zaidi ya mali u know ukiwa nayo hufirisiki ingawa mange anafilisika kimawazo
iko Dubai wala hujakoseaKasoma UDSM
MA kafanya UNIVERSITIES OF WOLONG GONG IPO Dubai km sikosei
HAHAHAAAAAA! NDO MAANA NAKWAMBIA HAYA MAMBO WE MJINI MGENI UMEYAJUA JANA AFU UNAJITIA KUYAJUA UNAJIAIBISHA!
Naniiiiiiiii.? Lindaaaa bedui? MAMA MTU MZIMA ALITUKANA FACE BOOK DUDADAAAAAAAAAAA,! Mpaka akatolewa kwenye KIU! Kisa Bongoliious! Hahaaaa! Kwanza tafuta videos zake u tube anaelezea alivo mtamu kwa wanaume, na jumba lake kabla hajaachwa na mpakistan! Hahaaaa! We Linda humjui! Mtafute umjue kwanza! Na alivojisifia kuwa punda! Hahaaaaa! Na KUSAGWA NA LOVENESSS! Hamna kitu muleee! Hata jf maishu yake yapo kukutosha usiku huu.
Linda ni mzuri jamani.....pale neema zote za Allah kajaaliwa yule kiumbe......., she is cute....
wengine ka udongo na maji viliisha wakati wa uumbaji...
Wewe Mange kwa sie wambea wa mahakamani kashinda kesi ya mirathi mmmmmmmh! Angekuwa mmbea angsema ila kimyaaaaaa! Kina Jide ilikuwa choice yao kutangaza mali zao, yeye hajaamua. STAY TUNED atakuja siku kusema mimi naomba nisiseme mengi! JUST STAY TUNED! Mlisema KAWA DEPORTED US ATAIONA KWENYE TV TU YUPO WAPI SAIVI? Eeeh? SIO NYIE MLIJIAPIZA AKIKANYAGA MAREKANI SIO NYIE.? Ndo kahamia kabisaaaaaa! Hahaaaaa!I know mange ni msomi, but maisha yake hayaendani na kisomo chake, atleast ningependa kusikia walau ana mafanikio kama MWANVITA MAKAMBA au hata LADY JAYDEE, maana nimeona bi dada katiririka CV yake lakini sijaona hata sehemu akizungumzia miradi au mali anazomiliki mange achilia mbali elimu yake nzuri na BLOG ya U- TURN anayodaiwa kumiliki, sasa sijui na zenyew ni sehemu ya utajiri wake au lah.
Kuwa na BLOG ni kitu cha ku consider like ni mafanikio ya kihivyo? Like seriously?. JIDE sio msomi kama mange ila huwezi kufananisha maisha ya JIDE na MANGE japokuwa mange anaish ulaya, jide yupo mbali sana kimafanikio ingawa ana elimu ndogo, so asijitape sana na elimu kubwa wakat haijamsaidia chochote kumletea mafanikio yanayostahili kwa mtu wa elimu yake.
Muuliza swali atoe kwanza CREDENTIALS ZAKE ZA YALE AU HAVARD NDO NITAMJIBU! Otherwise wabongo kibao achia wanaoenda kwa sponsor za makanisa, miradi, na gvt mnasoma vyuo vya kata hukoo kwani hatujui? Sema i respect mzazi yeyote asiependa ubeche wa kukopakopa loans bord kumgaramia mwanae, NAULI, MALAZI, ADA NA MATUMIZI, Kwa pesa hii ya madafu miaka yote atayokuwa huko walau AICHUNGULIE HIO AMERICAN DREAM!
Sasa nyie Ze kayumbaz kutoka kwenu mpaka chuo umetumia 10,000 kwa tax msijitie wapana humu mkakatisha watu na watoto wao tamaa! KAMA RAHISI MBONA MZAZI WAKO HAKUKUPELKA KAKUACHA UWE KOPA KOPA KUTWA KUJAZA MIFORM!
Akagraduate high school kwanza, sio kudrop out shule na kuchambana na vizee vyenye masters ndo ukiboko huo? Hahaaaaa!
Yako umeifanya wapi vile? Hahaaaaaaa!
UDSM kasoma lini? Kasoma nini? Kahitimu lini?
Hiyo "WOLONG GONG" university iko accredited na accreditation body gani inayotambulika duniani/ kimataifa?
HAHAHAAAA! Hakumchamba kamwambia tu aunty yangu njoo nikushauri RUDI SHULE KUDROP OUT NA KUUZA BAR UTAKUJA KUSAGWA KAMA MAMA YAKO! Mie aunty yako nakupenda ndo maana sijakuxhamba!huyo mzee anaechambana na katoto ambako hata high school hajamaliza hafai kabisa... ingekua enzi za Nyerere angetandikwa bakora 12 matakoni.....
unaanzaje kuchambana na mtoto....
Jogoo zee la 50 yrs linafaa kwa supu tu, lilisha sagwa na kusagwa HAHAAAAAA!
I know mange ni msomi
ustaadhi haya maswali ya mtoa mada au na sie wengine yanatuhusu?????