lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
- Thread starter
- #341
Hahaaaaaaaaa! Hongera kwa KUKOPESHEKA MAANA UNGEUMBUKA MJINI HAPA! Hahaaaaa! Wewe si uliniita nitoe jibu NIKAWAJIBU KWA MPIGOimekuwaje unataka kunigeuzia kibao kwanza sio siri nasoma kwa mkopo na unadhani kila mtu anakopesheka mpaka uwe na sifa hahahaha kantangazeeeeeee na chuo changu kinatimiza miaka hamsini next year kwani naficha mie inahuuuuu mjibu Ustaadh Swaleh au umesahau kichwa cha uzi tena who is mange maswali yajibiwe bhana
KAMA RAISI NA NYIE WAZAZI WENU WAKAWASOMESHE COLLAGE NJE MSIKOP KOPE MJINI HUMU! Hahahaaaaaaaa!