Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Hahaaaaaaaaa! Hongera kwa KUKOPESHEKA MAANA UNGEUMBUKA MJINI HAPA! Hahaaaaa! Wewe si uliniita nitoe jibu NIKAWAJIBU KWA MPIGO

KAMA RAISI NA NYIE WAZAZI WENU WAKAWASOMESHE COLLAGE NJE MSIKOP KOPE MJINI HUMU! Hahahaaaaaaaa!
 
shikamoo binamu.....

kwenda shule sio kufanikiwa....
Watu wana elimu zao na wanapiga kimya Watu na mafanikio yao na wameuchuna tulii.....

ama kweli kandege kasio na mafuta ndio kenye kelele nyingi
 
bado mzuri ukimueka nw bosi wako anaonekana km kijakazi vile....!ndo katoka kwao kijijjn kaja kuanza kazi kwa LINDA chezea watu na miili yao...!
RINGIA BAHATI BIBI WEEEE, WATOTO 4 KILA MTU BABA YAKE ! Hahaaaaa! Kweli mzuri hta mi naona! NA BANKRUPTCY CLAIM JUUU AAAAAAH MZURIJE SASA? Mpaka KASAGWA NA KUTANGAZA MWENYEWE! Hana mpinzani kwa kweli! Ni mzuri Mno mno! Dont detect any sarcasam because there is NONE! Hahaaaaaaa!
 
Si aliiba ndo mana...?na alifight kweli mpaka kaolewa na mmarekani ili aende tena by the way yule mtu wa michezo michafu so hashndwi kicheza rafu ili afike anapopataka by hook or crook thats why yupo radhi asake umaarufu kwa maugomvi na watu...!!!!
 
we jibu tu heaven nishaona lara anayakwepa kijanja
NIMEOMBA CREDENTIALS ZENU WAULIZA SWALI ZA HUKO YALE NA HAVARD SIPEWI! Ndo nangoja! Credentials za muuliza swali zina influence jibu langu! Hahahaaaaa!
NYANI HAONI KUNDULE EEEEEH! Mi ka wewe nimesulubika hapo udsm sikukopa lakini sasa siwezi kumdiss mtu mzazi wake kamuwekea THE AMERICAN DREAM KWENYE SAHANI WAKATI MIE NAISIKIA TU!

Ndo maana nasema credentials za anae diss ni muhimu mnoooo! Kama ingekuwa rahisi kzazi wangu angenipeleka na mie!
 
Wee...bahati kuolewa na mzungu yahaya...?!!!
Ye mwenyewe ana watoto wa baba tofauti..!!!hebu asirushe jiwe kwenye nyumba ya vioo...!
Angekua wa maana au ana hadhi si angezaa wote kwa mmoja..!
 
Hahaaaaaaaaa! Hongera kwa KUKOPESHEKA MAANA UNGEUMBUKA MJINI HAPA! Hahaaaaa! Wewe si uliniita nitoe jibu NIKAWAJIBU KWA MPIGO

KAMA RAISI NA NYIE WAZAZI WENU WAKAWASOMESHE COLLAGE NJE MSIKOP KOPE MJINI HUMU! Hahahaaaaaaaa!

Kwani kukopa dhambi?Kama serikali inakopa sembuse mwananchi wa kawaida?Kwani wewe umesoma wapi chuo?Au wote mlikuwa dubai na Mange?
 
Si aliiba ndo mana...?na alifight kweli mpaka kaolewa na mmarekani ili aende tena by the way yule mtu wa michezo michafu so hashndwi kicheza rafu ili afike anapopataka by hook or crook thats why yupo radhi asake umaarufu kwa maugomvi na watu...!!!!
HAHAAAAAAA MBONA BEUTY WA KIJIJI ALIKOSA NATIVE AMERICAN KAZI KUCHUKUA MIGRANTS.? Hahaaa! Na kudumu nao shughuli! Hahaa ndo maana nikakwambia RINGIA BAHATI UZURI HATA TWIGA ANAO! Uzee ule kuishi kama refugeee wakati nchi yako ina amani? Kweli? Hahahaaaaaaa! Chezea migrants wewe?
 
we jibu tu heaven nishaona lara anayakwepa kijanja

Duh! Dizaini hayo maswali yangu ni magumu sana!

Halafu nilidhani hii mada inahusu "ukweli wenye facts" teh teh teh:A S wink:......

What's up with that?
 
Hahaaaaaaaaa! Hongera kwa KUKOPESHEKA MAANA UNGEUMBUKA MJINI HAPA! Hahaaaaa! Wewe si uliniita nitoe jibu NIKAWAJIBU KWA MPIGO

KAMA RAISI NA NYIE WAZAZI WENU WAKAWASOMESHE COLLAGE NJE MSIKOP KOPE MJINI HUMU! Hahahaaaaaaaa!

hahahahaha ushaaanza kuishiwa kubwa la maadui unaanza kuniangusha tena aaarrrgh ustoke nje ya mada bhana jibu maswali ya ustaadhi tujue ka yaliyomo yamo mtu kukopeshwa so kwamba hana uwezo basi kaamua tu kujaza form kwanza napata kote kote serikalini na home hahaha tu pocketmoney ninayotumia per day yaweza kuwa budget yako ya wiki nzima lol
 
They are open to anyone who has answers. So have a crack at them if you can.....

mie hata najua kuhusu details nyingine basi najua alisoma Ud. ukiuliza mwaka sijui masters ndio hiyo Dubai...

tukaambiwa education is sexy na sie tukawa inspired ie Lara one na ye kapata yake inshaalah na mie nikikazana nitakua nayo soon.......
 
Kwani kukopa dhambi?Kama serikali inakopa sembuse mwananchi wa kawaida?Kwani wewe umesoma wapi chuo?
Ukikopa inatakiwa uwe na dabu sio kujifanya KUMNYALII MTU MZAZI WAKE KAMLIPIA MIDOLARI YA NAULI, ACCOMODATION, ADA, AFYA, ILI APATE A CHANCE OF BETTER EDUCATION. Hio ni ndoto ya kila mzazi sema ndo uwezo unabanaaaaa! Msonde vitu ambavo mzazi wa mtu kajitahidi.
 
Hahahaaaaaaaa! MKUKI KWA MANGE KWENU MCHUNGU EEEH? Mpaka unakopa uwezo huna bwanaaaa, huwezi kuwa na mihela afu ukubali uingie kwenye midata base ya kukopeshana! Hahaaaaa!

Tuyaache haya! MY POINT ILIKUWA NASUBIRIA CREDENTIALS ZA YALE NA HAVARD NDO NIJIBU!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…