Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
alijua sio yeye anaeanzisha thread yet akaweka picha ya Max kule ili iweje is that how educated people handle stuff??? aliona hapendezwi angeongea nae yet akaweka picha yake kwenye blog yake.

ni sawa sa hivi aanze kumu attack Mack Zuckerberg kisa kuna kina fundenge wana post stuff and other shit kumuhusu yeye fb na insta.why dealing with the third part????

blog ka yake it's quite different na JF

MBONA MAX ZINAWEKWA PICHA ZA WATU WENGI HUMU HAFANYI CHOCHOTE? Na PICHA YA MAX IMEWEKWA BLOGS KIBAOOOOOO KWA MICHUZI, HADI GAZETINI THATA TIME ANASUMBUANA NA SERIKALI KUWEKA MANGE IWE BIG ISSUE.?

HIVI WE UNAFIKIRI MAX UNAMUOMBA TU AFUTE TOPIC HOT ANAFUTA..? Dhubutuuuuuuuuuuuuu! The blogging and socialmedia game is about traffic! NDO MAX HAKUOMBA MANGE AMTOE ALICHUNA TU, COZ ALIJUA VYA MANGE KAVIACHIA VINGI SANAAAA!

Tena nasisitiza WALIMTUKANA MAX NI WATU AKA PUBLIC AMBAO WANAMJUA MAMNGE HANA KOSA ITS HIS BAD, KAMA ILIVOKUWA HER BAD WADAU MNAVOMTUKANA HUMU JF!

MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU EEEEEEEH!
 
Nna maswali kwako lara 1

1:Tuwekee na utajiri alionao Mange??
Maana umesema wanamuonea wivu

2: baba yake alifariki kisa nini na alifanywa nini mpaka akajiuaa??

3:nguo za mchina sio za mchina??

4: email iliyosambaa na ni ya zamani akielezea ufuska wake hadi wa kuliwa tigo unauzungumziaje??

5: kama alikua wa kibopa/kishua mawindoni kwenye mahotel kutafuta mabwana ilikuaje ?? Ndio akambahatisha huyo Lance

6; huyo mmewe mbona ana hama hama hana makazi maalumu au kazi maalumu? ??

7:anawasema wenzie wabaya wana sura mbaya,kati ya wanawake wazuri Mange yumo?????
Ni hayo tu! !!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Lara, kuelezea tu kwamba alikuwa haelewani na mama yake mzazi tayari huyo mtu si mzima na inawezekana ana laana ya mama, haiwezekana mtoto wa kike usielewane na mama yako ,mama ni mama tu.
CV yake ni kubwa sawa ana exposure /amekaa mbezi beach lakini anabehave kama mtu asiyesoma na aliyekulia manzese kwa mfuga mbwa.
Mi naona tatizo kubwa la Mange ni jinsi anavyohandle mambo yake inawezekana anachokozwa au hachokozwi kwanini hajifunzi kupuuzia, tatizo anataka kuwa juu hataki kushindwa hata kama amekosea yeye anataka awe sahihi tu. Binadamu hawawezi kukupenda wote kwanini yeye anaendekeza maugomvi, halafu akigombana na mtu anatukana hata wasiohusika!! kama yeye hasingekuwa anaandika maugomvi yake na watu kwenye blog yake watu wala wasingejua kama haelewani na Mwamy,Kiki, Hilda etc ajifunze kudharau binadamu ndivyo walivyo. Halafu nahisi ana maadui wengi kuliko hao unaowasema tena hao kina Mbuta/Sinta/ naona ni kama wanatumiwa na watu wenye nguvu zaidi.
Mi namshauri japo simjui na nilikuwa shabiki wake sana U turn na Inst lakini nimeacha sababu hataki kushauriwa.

We nawe embu toa mashudu hapa, WE UNAJUA KILICHOWAFANYA WASIELEWANE NA MAMA YAKE? KWANI MANGE WA KWANZA KUTOKUELEWANA NA MZAZI WAKE? HUJIULIZI KILITOKEA NINI MPAKA AKAAMUA HIVO.
HUJUI THE INSIDE STORY SO WAPE WOTE 2 THE BENEFIT OF THE DOUBT! sio kweli kwamba wazazi hawanaga makosa.

Kuhusu kubehave MLITAKA MUWE MNAMTUKANA TUUUU, MNAMYUKANA MUMEWE, WANAE YEYE AKAE TU KIMYAAA? Kisa? Anawaogopa ua? MTU UKITAKA MOTO HATA WEWE MTUKANE AFU MTAG AJE AONE ANAKUZIMA KAMA MAJI! Kama hawataki ugomvi kuna ulazima gani wao kuingilia mambo yake? Ndugu yao yule?
Tena ugomvi wake na Kisa na huyo Mwammy ni mzito ndo maana hakuna anaesema wazi walichokosana. Tuwaachie ngoswe hilo since focus ni Mange.
MANGE ENDELEZA VITA HIVO HIVO ATAKEKUANZA MMALIZIE! ASIETAKA UGOMVI AKAE PEMBENI AFANYE YAKE!
 
Mi sijawahi kumtukana sababu simjui/hanijui ninaongea kama ambavyo tunavyoyaona kwenye mitandao, na hata hivyo matusi/ugomvi sio sifa.
 
MBONA MAX ZINAWEKWA PICHA ZA WATU WENGI HUMU HAFANYI CHOCHOTE? Na PICHA YA MAX !

huyo Max atafuta za wangapi???? na kaka ni mstaarabu Sana maana hakuamua kujibizana akapiga kimya nae cos what Mange needed was a fight... kijana anajua how when and what to speak.

huyo wa pua kubwa nikimrefer mange it's true sawa kamchokoza ingawa sijui kamchokozaje anaanzaje kuwatukana hata waliopiga nae picha wengine walishatangulia mbele ya haki what for?????wamehusikaje hao.... why dealing with the third part. hao wamemchokoza nini..... hiyo si ndio Ku create more enemies than hao alionao.

Ange deal na huyo Dada (sijui hata jina lake)
 
Nna maswali kwako lara 1

1:Tuwekee na utajiri alionao Mange??
Maana umesema wanamuonea wivu

2: baba yake alifariki kisa nini na alifanywa nini mpaka akajiuaa??

3:nguo za mchina sio za mchina??

4: email iliyosambaa na ni ya zamani akielezea ufuska wake hadi wa kuliwa tigo unauzungumziaje??

5: kama alikua wa kibopa/kishua mawindoni kwenye mahotel kutafuta mabwana ilikuaje ?? Ndio akambahatisha huyo Lance

6; huyo mmewe mbona ana hama hama hana makazi maalumu au kazi maalumu? ??

7:anawasema wenzie wabaya wana sura mbaya,kati ya wanawake wazuri Mange yumo?????
Ni hayo tu! !!!!!!

HAHHAHAHAAAAAA! NILIKUWA NAKUNGOJA PAKA SHUME MKUBWA WEWE KWA KUMSEMA BOSS WANGU?

1. Utajiri alio nao ambao wale vishumundu hawana kwanza BIGGEST ONLINE PLATFORM. Ana viewers ni balaaa. Wengi wanatafuta kick tu pale wachambwe wawe maarufi. Wengi blogu zao marehemu siku nyingi.

2.YABABA YAK TUYAACHE, MUNGU NDO ANAPANGA NANI AWE BABA WA NANI NAMNA HIO HATA SIE BABA ZETU WAKULIMA, WENGINE WAKO JELA HUWEZI KUMHOLD MTOTO RESPONSIBLE KWA MAKOSA AU FAILUR YA BABA. TUKIENDA HIVO KILA MTU AANDIKE BABA YAKE NI NANI HUMU NCHINI MMMMMH!

3.MMELAZIMISHWA MNUNUE? NANI ASIEUZA NGUZO ZA MCHINA MJINI HAPA? Mr price? Splash? Wote wanauza ronyaaaa hutaki kuwa kama Klyn nunua desiginer. SUALA NGUO GANI ANAUZA HAJAMFOSI MTU KUNUNUA.

4.Hio email ilitolewa ufafanuzi na yeye mwenyewe, tena ilisambazwa na designer. Mumewe anakitombesha na Miss Tz hayasemi kashupalia ya mwenzie. PLUS HAIKUWA NA AUTHENCITY YOYOTE COZ HAMNA ALIE CLAIM KUWA NI YEYE NDO KAISAMBAZA NA NI KWELI TUPU. so haina uzito kabisaaa.

5. LABDA UTO SUPPORTING EVIDENCE OTHERWISE HIZI NI HISIA ZAKO TU, NENDA NA WEWE LINDONI TUONE KAMA UTAPATA AMERICAN CITIZEN! Afterall MAKU YAKE AU MNATAKA NA KU,PANGIA AITUMIE VIPI MBONA NYIE MNAKITOMBESHA NA FREE P HATUWAULIZI?

6. WE MUMEO VIPI TUANZIE HAPA USIJITIE KUMSEMA MUME WA MTU WAKATI YAKO UNAYAFICHA KAMA MUMEO MUUZA MCHICHA. AFTER ALL MUME WAKE AU ALIWAITA MKAKAZWE WOTE NA HUYO MUME?

7. Uzuri ni subjective na mtu na mtu, opinoon yake ni wabaya ndio! Its a free country
 
Thx kwa kuniita mamii.. hizi story za mange daily zimenichosha...ngoja niwe msomaji

Hahahaaa

umeona ninavyokupenda ingawa hamniitagi movie zikinoga lol chukua kigoda kabisaaaaaa hapa leo hapatoshi atapanguliwa mmoja baada ya mwingine
 
We nawe embu toa mashudu hapa, WE UNAJUA KILICHOWAFANYA WASIELEWANE NA MAMA YAKE?!

mashudu unaweka pembeni unachukua point huwezi kusema yote yaliyoandikwa ni mashudu kuna points muhimu katika post ya zavi??

we unaejua tuambie hiko kisa cha kutoelewana na Mama ake as long as thread is about "Who is Mange Kimambi"
 
Max ni public figure iliwekwa picha watu wakaamua kuharishaaa! NA YEYE MAXI TOKA ENZI HIZO MBONA WATU WALIKUWA WANATOA ISHU ZA ZE UTAMU KUMTUKANA MANGE NA WAZAZI WAKE AKAWA THREAD HAZIFUTWI HUMU JF? Mange alimjibu au kumshutumu? Hapana coz Mange alijua sio Max alieanzisha thread japo alifumbia macho swala hilo.
Nakule kwa Mange nae Max akapata TASTE YA PUBLIC OPINION AKA THE VIEW OF MAJORITY IS THE TRUE VIEW! Alijibu Max? Hakujibu! Coz anajua waliotukana ni PUBLIC, Mange alifumbia macho tu kama yeye analivofumbia macho masuala ya Mange humu kwenye forum yake.

Km hujui kipindi kile kile mange anatukanwa zeutamu mada zake zikawa zinaletwa huku ndio wakati huo huo alipoamua kufanya revenge kwa kumuanika kny blog yake eti anakaa gongolamboto amerent chumba kimoja,nakumbuka tulitukanana sana siku hio ndio uongozi ukaamua kuondoa mada zake na tangia siku hio hazikai humu....kutokujibu kwa max haimaanishi hakuumia au kumtolea lawama mange eti ni public view sio mange view yaani asingemuanika kny blog lake hio public view ingetoka wapi???
 
huyo Max atafuta za wangapi???? na kaka ni mstaarabu Sana maana hakuamua kujibizana akapiga kimya nae cos what Mange needed was a fight... kijana anajua how when and what to speak.

huyo wa pua kubwa nikimrefer mange it's true sawa kamchokoza ingawa sijui kamchokozaje anaanzaje kuwatukana hata waliopiga nae picha wengine walishatangulia mbele ya haki what for?????wamehusikaje hao.... why dealing with the third part. hao wamemchokoza nini..... hiyo si ndio Ku create more enemies than hao alionao.

Ange deal na huyo Dada (sijui hata jina lake)

HAHHAAAAAAAA! KUNYA ANYE MAX AKINYA MANGE KAHARISHA EEEEH! Na Mange angefuta comment za watu wangapi maana mamia walimgeuka Max! Mkuki kwa Mange kwa Max mchungu. KUMBUKA MAX NDO ALIKUWA INSENSITIVE KURUHUSU MANGE ATUKANWE HUMU ENDLESS WAKAWANZA MPAKA LEO ANAURUHUSU SASA HE RECEIVED A TASTE OF HIS OWN MWEDICINE.

kweli Max is the best speaker but HE WAS NOT FAIR TO MANGE! WALILIPANA UBAYA KWA UBAYA!
 
huyo Max atafuta za wangapi???? na kaka ni mstaarabu Sana maana hakuamua kujibizana akapiga kimya nae cos what Mange needed was a fight... kijana anajua how when and what to speak.

huyo wa pua kubwa nikimrefer mange it's true sawa kamchokoza ingawa sijui kamchokozaje anaanzaje kuwatukana hata waliopiga nae picha wengine walishatangulia mbele ya haki what for?????wamehusikaje hao.... why dealing with the third part. hao wamemchokoza nini..... hiyo si ndio Ku create more enemies than hao alionao.

Ange deal na huyo Dada (sijui hata jina lake)

utaniudhi sooon mafumbo hayaruhusiwi hapa pua kubwa ndo nani tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom