Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
umeona ninavyokupenda ingawa hamniitagi movie zikinoga lol chukua kigoda kabisaaaaaa hapa leo hapatoshi atapanguliwa mmoja baada ya mwingine

Hahahahaa....kweli nimeamini unanipenda... **hugs*** to you.

Yaani hapatatosha kabisa leo.. mi nimeshaanda wine yangu nacheki hii movie itaishaje maana naona watu wamejipanga...

Mi leo nna majonzi sana.
 
Km hujui kipindi kile kile mange anatukanwa zeutamu mada zake zikawa zinaletwa huku ndio wakati huo huo alipoamua kufanya revenge kwa kumuanika kny blog yake eti anakaa gongolamboto amerent chumba kimoja,nakumbuka tulitukanana sana siku hio ndio uongozi ukaamua kuondoa mada zake na tangia siku hio hazikai humu....kutokujibu kwa max haimaanishi hakuumia au kumtolea lawama mange eti ni public view sio mange view yaani asingemuanika kny blog lake hio public view ingetoka wapi???
EXACTLY! Na Max angemuhurumia ASINGE ACHA A POOR ORPHAN GIRL SHE WAS WHAT 20 SOMETHIN, ATUKANWE HUUMU NA MAREHEMU BABA YAKE DEFENCELESS MAANA HATA NAMNA YA KUJITETEA HANA ISITOSHE WALIOKUWA WANAONGEA HAWAKUWA NA FACTS!

Ndo maana ALIVOWEKWA KULE AKATIA AKILI KUWA VIUMA EEEEEH! Na WALIOMUEXPOS MAX SI WATU WANAOMJUA WALICHOSHWA NA MAX PICKING ON A POOR ORPHAN DEFENCELESS GIRL TRYING TO SURVIVE! Ile ilikuwa mbwa kala mbwa!
 
unaona that woman is insane...
eti kapanga chumba kimoja kweli nyimwa vyoote usinyimwe upeo wa kufikiri.

the guy was so good hakuamua kujibu alipiga kimya. asingemuweka mle hizo public opinion zingetoka wapi??

yaani we ushukuriwe Sana leo umenifungua macho kwakweli nilikua nahoji bila majibu.
 
Mange anawakimbiza balaa,hivi jamani mlishaona Mange anamtukuna mtu bila kuchokozwa?hivi nyie huwa hamkasiriki mkichokozwa,Pia kama hawanyimi usingizi kwa nini kutwa kucha wanamfuatilia kapost nini?walijuaje kama hakuweka logo kwenye mawigi bila ya kucheki page yake ya Insta,mtu kama huna mpango nae hivi kweli utamfuatilia kapost nini?Hata zile nguo mnazonunua Zara,HM sijui Newlook si nazo zinatengenezwa China jamani.
 
lara 1 ni upi upande mwingine wa Mange? Ni nini weakness zake?
Ni katika sakata lipi uliona kakosea? Hajawai kukosea?

Hebu onesha ni wapi katika hayo masakata alisha wai kukosea?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa....kweli nimeamini unanipenda... **hugs*** to you.

Yaani hapatatosha kabisa leo.. mi nimeshaanda wine yangu nacheki hii movie itaishaje maana naona watu wamejipanga...

Mi leo nna majonzi sana.

sentence ya mwisho una majonzi gani tena mamii
 
hv mange ni nani mpak achokonolewe kwa lipo labda alilokuwa nalo mange kagombana na chaga barbie kisa bwana hyo urafik anazuga tu...!kila mtu mtata ye ndo mwema hatukatai binadamu ana mapungufu ilq bosy wako kazidi
 
mashudu unaweka pembeni unachukua point huwezi kusema yote yaliyoandikwa ni mashudu kuna points muhimu katika post ya zavi??

we unaejua tuambie hiko kisa cha kutoelewana na Mama ake as long as thread is about "Who is Mange Kimambi"

MTU AKIFA ANATAKIWA APUMZISHWE NA SHURBA ZOTE ZA DUNIA! LET THE POOR WOMAN REST IN PEACE! Chochote nitachoongea she wont be able to DEFEND her self since dead people tell no tales! IT IS WISE TO LET HER REST IN PEACE HUKO ALIKO! Kuna mengi kumhusu Mange ambayo hayahusishi waliotutangulia, kama umeshindwa kupata angle ya ku attack huko basi kubali tu umeshindwa hii ligi.
 
hv mange ni nani mpak achokonolewe kwa lipo labda alilokuwa nalo mange kagombana na chaga barbie kisa bwana hyo urafik anazuga tu...!kila mtu mtata ye ndo mwema hatukatai binadamu ana mapungufu ilq bosy wako kazidi
Hahaaaaa! MWAMBIE ASEME SUUU PAPA LAKE LIANIKWE KWENYE BLOG! Watu wanaoendesha beef na Mange hamna kitu kabisaa ukiwashabikia watakuua na pressure! Umelichungulia kwa mbali lakini?
 
HAHHAAAAAAAA! KUNYA ANYE MAX AKINYA MANGE KAHARISHA EEEEH! Na Mange angefuta comment za watu wangapi maana mamia walimgeuka Max! Mkuki kwa Mange kwa Max mchungu. KUMBUKA MAX NDO ALIKUWA INSENSITIVE KURUHUSU MANGE ATUKANWE HUMU ENDLESS WAKAWANZA MPAKA LEO ANAURUHUSU SASA HE RECEIVED A TASTE OF HIS OWN MWEDICINE.

kweli Max is the best speaker but HE WAS NOT FAIR TO MANGE! WALILIPANA UBAYA KWA UBAYA!

an eye for an eye makes the world blind...........

huo ubaya kwa ubaya Max angeamua kuufanya si wangefikishana mbali..... silence is the best weapon sometimes. sasa kubwabwaja anakobwabwaja mama yule wa water Mark kuandika gazeti za Rai... kunashangaza......
 
lara 1 ni upi upande mwingine wa Mange? Ni nini weakness zake?
Ni katika sakata lipi uliona kakosea? Hajawai kukosea?

Hebu onesha ni wapi katika hayo masakata alisha wai kukosea?
Hahaaa! Mange ni Short tempered, halafu sababu ni mpare anapenda snaaa Kesi. Yupo radhi kuuza ngombe kwa kesi ya kuku kuliko ashindwe.

Anachokose Mange ni kushindwa KU LET BYGONES BE BYGONES! Pia hapendi mtu amzidi kwa lolote. Mtu akimzidi tu hata kama alikuwa anampuuzia zamani anamuwasha hapo hapo. Na ni mkavu anaweza kukuchamba leo kesho akakusifia kama Cynthia Mzirai.

The issue is ALL THESE BATTLES MAKE HER RICH, KWANINI AACHE? AND LIKE PEOPLE WILL LET HER BE HATA AKIAMUA KUACHA!
 
an eye for an eye makes the world blind...........

huo ubaya kwa ubaya Max angeamua kuufanya si wangefikishana mbali..... silence is the best weapon sometimes. sasa kubwabwaja anakobwabwaja mama yule wa water Mark kuandika gazeti za Rai... kunashangaza......
Hahahaaaaaa! Max ndo ALIANZA BABA UBAYA KUMBUKA HILO! Mange tu kamsamehe bure ndo maana hajamuweka tana YET!
 
MTU AKIFA ANATAKIWA APUMZISHWE NA SHURBA ZOTE ZA DUNIA! LET THE POOR WOMAN REST IN PEACE! Chochote nitachoongea she wont be able to DEFEND her self since dead people tell no tales! IT IS WISE TO LET HER REST IN PEACE HUKO ALIKO! Kuna mengi kumhusu Mange ambayo hayahusishi waliotutangulia, kama umeshindwa kupata angle ya ku attack huko basi kubali tu umeshindwa hii ligi.

nimekuelewa na nimeuliza cos umeonekana kujua it was just me and my curiosity na si kwasababu nimekosa la kuongea. by the way kumbe tuko kwenye league ...didn't know....

ila ye anavyowaweka wale marehemu kule??? I wish she could think like u jus for a minute and remove those pics too bad haelewagi mwanamke yule.
 
EXACTLY! Na Max angemuhurumia ASINGE ACHA A POOR ORPHAN GIRL SHE WAS WHAT 20 SOMETHIN, ATUKANWE HUUMU NA MAREHEMU BABA YAKE DEFENCELESS MAANA HATA NAMNA YA KUJITETEA HANA ISITOSHE WALIOKUWA WANAONGEA HAWAKUWA NA FACTS!

Ndo maana ALIVOWEKWA KULE AKATIA AKILI KUWA VIUMA EEEEEH! Na WALIOMUEXPOS MAX SI WATU WANAOMJUA WALICHOSHWA NA MAX PICKING ON A POOR ORPHAN DEFENCELESS GIRL TRYING TO SURVIVE! Ile ilikuwa mbwa kala mbwa!

Yaaani nakushangaa kutumia energy nyiiingi kulitetea hilo limama water mark wkt liko hard to the core....mwache aendelee kuongeza enemies km hawatamla kiboga km baba yake!
 
We nawe embu toa mashudu hapa, WE UNAJUA KILICHOWAFANYA WASIELEWANE NA MAMA YAKE? KWANI MANGE WA KWANZA KUTOKUELEWANA NA MZAZI WAKE? HUJIULIZI KILITOKEA NINI MPAKA AKAAMUA HIVO.
HUJUI THE INSIDE STORY SO WAPE WOTE 2 THE BENEFIT OF THE DOUBT! sio kweli kwamba wazazi hawanaga makosa.

Kuhusu kubehave MLITAKA MUWE MNAMTUKANA TUUUU, MNAMYUKANA MUMEWE, WANAE YEYE AKAE TU KIMYAAA? Kisa? Anawaogopa ua? MTU UKITAKA MOTO HATA WEWE MTUKANE AFU MTAG AJE AONE ANAKUZIMA KAMA MAJI! Kama hawataki ugomvi kuna ulazima gani wao kuingilia mambo yake? Ndugu yao yule?
Tena ugomvi wake na Kisa na huyo Mwammy ni mzito ndo maana hakuna anaesema wazi walichokosana. Tuwaachie ngoswe hilo since focus ni Mange.
MANGE ENDELEZA VITA HIVO HIVO ATAKEKUANZA MMALIZIE! ASIETAKA UGOMVI AKAE PEMBENI AFANYE YAKE!
hatavkm mzazi ni mzazi hasa mama akumbuke ye mtoto awa nje ya ndoa alipaswa amheshimu mama yke kwa kumleta duniani angemetoaje?
hiyo vita unayomchochea mwenzio siri zake zote hadharani
tushajua kwamba mumewe mzungu mtaani
wako houston km kwetu mbagala
ashawahi kuiba kpnd anasoma usa akashtakiwa
mwanawe anasoma st.kayumba za usa
NO WAR ZAIDI YA AIBU....!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom