Naona ishu ya nauli umeiminyiaaaa! Hahaaaaa!
Subiri mama yako akikute
Ekeza 20yrs n more ndo uje ufungue bakuli lako hapo, my cousin hai hold water!
UDODE MARA NGAPI.? Hahaaaaa!
nauli nayo ya kwenda nje...?!!!kwani ye si alikua anaenda kusoma amaa na anapelekwa?!!si alikua anaenda kuuza nyapu ili apate wa kumsitiri bongo angedoda nani akubali mamba huyooo aliechoma gari la hawara motooo...ukweli ana roho mbaya sanaaa...!!!!
Lara wengine hatuongei maisha yetu sio maarufu...!ila huo nimekupa mfano tu..!
And thnx to lord my momy passed away 10years agoo...!!!
Niko na mama mlezi...!!!
Hahahahaaaaa! I GUESS HIO NDO NJIA NYINGINE YA KUSEMA HAMNA CREDENTIALS ZINAZO HOLD WATER! Hahahaaaaa! Mkuki kwa Mange kwenu mchungu kama tula tula au ndulele!
Hahhaaaaaaa! ILA MZAZI WAKE ALI AFFORD KUMPELEKA NA AAKA AFFORD KUPATA MIMBA! How old was she again? 20 or 21 n YET AKAENDELEA KUMSOMESH! Pamoja na yote she wnt ahead got herself a masters, na mume MMAREKANI ORIGINAL! Wengine mmedoda tu hapa bongo, kusoma hamsomi, kuzaa hamzai, nje hamuendi! Hahaaaaqa!mi siwezi kumsema mzazi wake kwanza hajanikosea na kwa hilo nampa hongera ila sasa mzazi alitwanga maji kwenye kinu.....!
alivyoenda kule akapata na mimba akarudi bongo kuja kubanana...kuonyesha hana shukrani kwa mzee wake akamletea mjukuu..!!
Mi mange ndo namuona hana akili kupenda maugomvi na watu kila siku..m!na hapo ana elimu hvoooo.m.!asa inamsaidia nini....!????
Hahaaaa! Kweli we bendera fata upepo beauty wa kijiji ushamtelekeza eeeh! Hahaaaaa! HAUNA EVIDENCE ZA KUSUPPORT KALAZIMISHA NDOA VIPI? Ni maneno yenu tu wakosaji.
NIMESEMA HAPA NATAKA FAIR PLAY UNATOA YAKO NAKUPA YA MWENZKO UNAWEZA KUWA FORM 4 UMEENDA NJE UNACHAMBA VIZEE HUKO NA KUOSHA VYOO afu unataka cv ya mwenzio ya KAZI GANI? Hahaaaaaa! UNATOA CREDENTIALS ZAKO UNAPEWA ZA MWENZIO! Hahahaaaaaaa! BALANCE OF TRADE!hahahahahahaha toa za mange basi tujue yaliyomo yamo mi cv yangu haijakamilika ingawa ndo naikamilisha soon kwanza mi sio celeb mpaka niweke details zangu hapa we uzi wako uliuweka ili tujue mbivu nq mbichi naona unakwepa kijanja unatuone vidagaa haya ustaadh huyo hapo unamkwepa tu hahahaha
mie hata najua kuhusu details nyingine basi najua alisoma Ud. ukiuliza mwaka sijui masters ndio hiyo Dubai...
tukaambiwa education is sexy na sie tukawa inspired ie Lara one na ye kapata yake inshaalah na mie nikikazana nitakua nayo soon.......
Hahahaaaa! YA LINDA BEAUTY WA KIJIJI YAMEKUSHINDA KUASIMAMIA MWEEEEEEE.? Hahaaa! Utahangaika sanaaa kuitete migumegume iliomshinda mtume!mi hata akipata sina hasara akikosa pia ila sielewagi kwa nini ana roho mbaya ya kutaka afanikiwe yeye tu...?!!!
hahahahahahaha toa za mange basi tujue yaliyomo yamo mi cv yangu haijakamilika ingawa ndo naikamilisha soon kwanza mi sio celeb mpaka niweke details zangu hapa we uzi wako uliuweka ili tujue mbivu nq mbichi naona unakwepa kijanja unatuone vidagaa haya ustaadh huyo hapo unamkwepa tu hahahaha
ndo umalaya wa utotoni kukitanulisha tanulisha hovyoo...hadi leo anakua na stress za ajabuHahhaaaaaaa! ILA MZAZI WAKE ALI AFFORD KUMPELEKA NA AAKA AFFORD KUPATA MIMBA! How old was she again? 20 or 21 n YET AKAENDELEA KUMSOMESH! Pamoja na yote she wnt ahead got herself a masters, na mume MMAREKANI ORIGINAL! Wengine mmedoda tu hapa bongo, kusoma hamsomi, kuzaa hamzai, nje hamuendi! Hahaaaaqa!
THE IRON LADY HERSELF,!
Hahahaaaa! THE DROP OUT OF HIGH SCHOOL KID!!!! Amakweli anajua anachokifanya kuuza bar! Ni profession pia lakini.Leyla ana miaka 20 ni mtu mzima anajua anachokifanya mwambieni mama water mark aback off haitaji 'ushauri' wake....
ndo umalaya wa utotoni kukitanulisha tanulisha hovyoo...hadi leo anakua na stress za ajabu
mi nipo bongo sina haraka ya maisha
nashkuru nimezaa mungu mkubwa
ila yeye mambo yake yaendane na elimu yake mtu mzima hovyooo....!
i love youhahahaha uzi unamuhusu mange au unatuhusu sie mpaka tukupe details zetu??,?? Wewe si umeleta uzi tujue kindakindaki who is mange ndo ujibu maswali yote sasa haswa ya ustaadh swaleh
Nadhani sasa yaliyobaki ni mazungumzo baada ya habari kwa sababu mjadala nimeumaliza.
Sasa naondoka ila mkizidiwa tu niiteni.
Wasalaam, Ustaadh Swaleh aka Mr. Fact-Checker -Myth Debunker.
Mange gets PAID BY VODACOM kila mwezi pesa ndefuuu kuleta traffic pale kwenye blog, So automatically mda lazima aupate coz analipwa meeeen! Na mitandao kwake ni economic activity. Sintah mpapa wake uko bond hana ujanja saivi! HAHAAAAAAA!Mange anaishi ulaya tena maisha mazuri kama anavyodai yeye, kwa nini kila siku ahangaike na wabongo mitandaoni kutukanana ovyo? Anapata wapi uo mda?, ivi k-lyn aka bosslady anapata wapi huo mda kwa mfano? . Mimi nina wasi wasi kama sio YAYA aka mama wa nyumbani na hana kazi za kufanya na ndio maana anapata mda wa kurumbana na kujua maisha ya akina SINTAH ambao wako bongo wakat yeye yupo ulaya
usiku mwema wadau.... sikuona fact yoyote zaidi dizaini ilikua kama promotion ya bidhaa Fulani. hivi Leyla baba yake ni NANI???? kwa jina?? maana lawama anapewa Mama, baba yake yupo????
alamski CASE CLOSED.
Mi nisome tu maana sioni point kabisaa unayotolewa na Lara ,aisee siku nikienda ishi Us ntawataarifu mjue ntakua nshakua tajiriii halaf ntawapigia picha ya kila mahali mnione nipo juu,teh teh jamani ngoja nilale mie,lara huna hoja unakimbiliaa vitu tofautiiii
Mi nisome tu maana sioni point kabisaa unayotolewa na Lara ,aisee siku nikienda ishi Us ntawataarifu mjue ntakua nshakua tajiriii halaf ntawapigia picha ya kila mahali mnione nipo juu,teh teh jamani ngoja nilale mie,lara huna hoja unakimbiliaa vitu tofautiiii