JIDE NI JIDE NA MANGE NI MANGE!Kama JIDE ameweza kupambana na CLOUDS MEDIA ambao sio mtu mmoja ni troops hili na bibie kapambana tena peke yake na kawaburuza akina ruge watu wenye pesa zao na hadhi zao hao akina mbuta nanga watamuwezea wapi?
Lengo langu sio kufananisha mtu ila najaribu kukuonyesha how smart n educated people should behave. Mange angeachana na hiz local n cheap BEEF za kiswahili, kwanza mtu upo ulaya kutwa kufuatilia maisha ya bongo inahuu? Ajenge bifu za maana na zenye faida kwenye maisha yake na ambazo hazitamshusha hadhi yake ya usomi
Hahahaaaaa! USINIPANGIE NAANDIKA NACHOJISIKIA NAISHIA NAPO TAKA! FLORA KESI YA KUBAKWA KIBOGA NA MBUNGE INAENDELEAJE USIZUGE SI UMEMTUMIA FLORA KAMAOINTOF REFERENCE! Jibu hoja!Sa si ungepiga kimya kama ndo ulikuwa na haya mautumbo yako,,umemshushia hadhi mange,,'eti who is mange kimambi'alafu ndo unaishia hapa,,maswal hujibu sijui haumjui unabahatisha tu?!!!..u-turn hakuna hii mada,
Hata sisi tutakuwa historia pia!
JIDE NI JIDE NA MANGE NI MANGE!
Mange ni mpare na ni asili yake kupenda kesi, na kama mtu anahamu ya kuchbwa kwanini asichambwe? Beef hizi hizi za uswazi Vodacom kila mwaka wanamuongezea hela sababu traffic inakua. Ye hana akili afanye beef na Mwammy wakati Mwammy bosi huko voda akose mkate!
HAWA HAWA WANYONGE, WASIOENDA SHULE KINA BEDUI, SITAHARISHA, BINTI MWALUBADU ATAWATUMIA KAMA CHAMBO! Na mipapa haitolewi bond ngooooo! Hahahaaaaa!
Hivi lara una usingizi ama?Umeulizwa shost yako atatoa hilo weaving lake lini wewe unaenda kumkurupukia leila.Ama kweli leyla anakunyima usingizi kha!!!!
Hahahahaaaa! Hio sio siri UKIMUANZA LAZIMA ALITAFTE DUSHELELE LAKO ALIWEKE BOND,! Hahahaaaaa! Lazima uwe mpole! Bora uwe makini na dushelele lako! Usiku mwema!Kumbe mtu mwenye ndo alivyo means hata tukeshe apa ni kazi bure ndo alivyo? Mweeh ngoja nilale kumbe najiangaisha kumbe kweli mange anapenda maugomvi nashukur umejua binamu, aya sasa ngoja tulale
Sa si ungepiga kimya kama ndo ulikuwa na haya mautumbo yako,,umemshushia hadhi mange,,'eti who is mange kimambi'alafu ndo unaishia hapa,,maswal hujibu sijui haumjui unabahatisha tu?!!!..u-turn hakuna hii mada,
hahaaaa....!kachoka bwana eeh!tatizo mtoto mzurjeee...!
Hahahaa! Haya jibu nimetoa! Una lingine?
Sio wewe mdogo wako ANAINGIA NA TOCHI HAHAHAAAA! My bad, nitarudi kusoma vizuri.kwa hio mumeo nae fisadi au yupo na Zito kwwnye movemwnt zake ndani ya chama?
WE SI UMESEMA FLORA KAPOST SIJUI TUKITU GANI ABT MANGE NDO NAESTABLISH CREDIBILITY YA ALIEPOST HIO HOJA YAKO ULIOITUMIA,Kwa hyo sa hvi ni flora sio 'who is mange'tena,,badili heading nikujibu,
Kumbe mtu mwenye ndo alivyo means hata tukeshe apa ni kazi bure ndo alivyo? Mweeh ngoja nilale kumbe najiangaisha kumbe kweli mange anapenda maugomvi nashukur umejua binamu, aya sasa ngoja tulale
Mikombora km ipi wewe sie tunKuona juha tu kubishana na vivuli watu behind keyboard !wewe mwenyewe hufahamiki ila unaatract attention negative image kwa yeye anayefahamika mange,any way birds of the same feather....uko km yeye hamkubali kujishusha hili li thread litafika alfu lela ulela hovyoooooHahahaaaaa! Lazima uone maruwe ruwe mikombora imekukolea mujarabuuuuuuuuuuuuuuu! Mtoa mada mie LARA 1! Miss neddy yumo kichwani kwako!
Hahahaaaaa! Tochi imeishiwa betri! Dogo nunda sanaaa! Kwa hio wewe upo na WACHAGA WENZANGU? Mr. Mmbunge nini, naona upo na winning team! Hahahaaa!ndo mimi mimi siku ike siuchangia sana nlitingwa kweli zito achana nae si tunasonga mbele haturud nyuma mamluki yule afu ujue mdogo wangu ndoa yenyewe ishaamshjnda nusu ntoe uzi acha tu yani tochi imezimika...!
Kama JIDE ameweza kupambana na CLOUDS MEDIA ambao sio mtu mmoja ni troops hili na bibie kapambana tena peke yake na kawaburuza akina ruge watu wenye pesa zao na hadhi zao hao akina mbuta nanga watamuwezea wapi?
Lengo langu sio kufananisha mtu ila najaribu kukuonyesha how smart n educated people should behave. Mange angeachana na hiz local n cheap BEEF za kiswahili, kwanza mtu upo ulaya kutwa kufuatilia maisha ya bongo inahuu? Ajenge bifu za maana na zenye faida kwenye maisha yake na ambazo hazitamshusha hadhi yake ya usomi