Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Sasa kilichowaleta na wenyew humu nn kama sio umbea, waende uko jukwaa la mapishi uku watuache miaka mia, watu wamekuja na mashoka wameshindwa sasa yeye anakuja na panga ataweza?

kaja na kisu cha kukatia mkate. hafu hapa ni ukweli na uwazi.sasa kwa wasio penda ukweli ndio wanapata tabuuuu
 
Kuna watu wana K unaweza jiulizaa huyuu alimtoroka Mungu kwenye finishing hahhha

Shosti mie nataka nianze opareshini ya mange badili weaving mpak kieleweke hahahhahha anasakama wig za watu wakati yeye anashindwa hela ya ku retouch zake kweli nyani haoni ku n dule :hungry:
 
i just luv mange! period! nyingine mbwembwe tu!
 
kuna vitu vingine mtu ukisikia hupaswi kucheka ila kwa hapa naomba nivunje miko teh teh teh teh teh teh nimelazwa teh teh

Ndugu yangu we cheka tu.
Anamsema linda kazaa na wanaume tofautitofauti wakati yeye pia kazaa tofauti tofauti.
Mie kweli ya suzy mpua imenishangaza ikabidi nimuangalie bhoke.
He he ushawahi kuona mswahili anatukana washahili wenzie kisa kaolewa na mzungu.
Mpaka maiti zinakosolewa.
He he warumi embu tuwekee msuto wa maimartha
 
Last edited by a moderator:
Litoke wapiiii wamekimbia kujibu

Teh teh teh...

Halafu jana kuna mtu aliandika kuwa eti huyo mdada ni msomi.

Kama kweli huyo mdada ndo anaonekana ni msomi machoni mwa baadhi ya watu basi kweli viwango vyetu Watanzania ni vya chini mno kuliko nilivyodhani awali.

Ningependa sana kuona scholarly writings/ works zake.

Au pengine labda ile michambo yake ndo scholarly works zake?:nimekataa:nimekataa
 
Hahaaa! Mange ni Short tempered, halafu sababu ni mpare anapenda snaaa Kesi. Yupo radhi kuuza ngombe kwa kesi ya kuku kuliko ashindwe.

Anachokose Mange ni kushindwa KU LET BYGONES BE BYGONES! Pia hapendi mtu amzidi kwa lolote. Mtu akimzidi tu hata kama alikuwa anampuuzia zamani anamuwasha hapo hapo. Na ni mkavu anaweza kukuchamba leo kesho akakusifia kama Cynthia Mzirai.

The issue is ALL THESE BATTLES MAKE HER RICH, KWANINI AACHE? AND LIKE PEOPLE WILL LET HER BE HATA AKIAMUA KUACHA!

Lara 1 you have missed your carrier " publicity agents" .yaani utajiri wa mange ni blog watu really.Unanichekesha wewe na Una maneno .
 
Ndugu yangu we cheka tu.
Anamsema linda kazaa na wanaume tofautitofauti wakati yeye pia kazaa tofauti tofauti.
Mie kweli ya suzy mpua imenishangaza ikabidi nimuangalie bhoke.
He he ushawahi kuona mswahili anatukana washahili wenzie kisa kaolewa na mzungu.
Mpaka maiti zinakosolewa.
He he warumi embu tuwekee msuto wa maimartha

warumi tuwekeee kigodoro chetu cha mchana kizidi kunogaaaa yaani sijawahi kuipenda jf kama jana na leo
 
Last edited by a moderator:
Nna maswali kwako lara 1

1:Tuwekee na utajiri alionao Mange??
Maana umesema wanamuonea wivu

2: baba yake alifariki kisa nini na alifanywa nini mpaka akajiuaa??

3:nguo za mchina sio za mchina??

4: email iliyosambaa na ni ya zamani akielezea ufuska wake hadi wa kuliwa tigo unauzungumziaje??

5: kama alikua wa kibopa/kishua mawindoni kwenye mahotel kutafuta mabwana ilikuaje ?? Ndio akambahatisha huyo Lance

6; huyo mmewe mbona ana hama hama hana makazi maalumu au kazi maalumu? ??

7:anawasema wenzie wabaya wana sura mbaya,kati ya wanawake wazuri Mange yumo?????
Ni hayo tu! !!!!!!

mkuu nimekugongea like ya kimyakmya maana umegusa penyewe
 
Last edited by a moderator:
Kwani Mange ni jina la mwanamke jamani, maana stori humu zinaonesha ni mwananke lakini kama jina la kiume!
mweh, naona nimeingia kwenye choo bila kuangalia bango nashangaa nimekutana na wadada wanajipodoa sjui nimelewa...mbioooo!
 
Teh teh teh...

Halafu jana kuna mtu aliandika kuwa eti huyo mdada ni msomi.

Kama kweli huyo mdada ndo anaonekana ni msomi machoni mwa baadhi ya watu basi kweli viwango vyetu Watanzania ni vya chini mno kuliko nilivyodhani awali.

Ningependa sana kuona scholarly writings/ works zake.

Au pengine labda ile michambo yake ndo scholarly works zake?:nimekataa:nimekataa

Msomi wa uarabuni huyo utakuta hata hivyo vyeti au Elimu US haiwatambuiii kabisaaa labda aanze upyaa
 
Lara 1 you have missed your carrier " publicity agents" .yaani utajiri wa mange ni blog watu really.Unanichekesha wewe na Una maneno .
Natalia nilikusahau jamanii labda we unaweza jibu hata maswali mawilii maana tumeambulia vichambo tu duuuu utajiri wake ni blog etiii yaan ntashangaa mpaka mwakani miee
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom