Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
mkuu nimekugongea like ya kimyakmya maana umegusa penyewe
Ahsante mkuu kwani nimejibiwa sasa! !!!!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nimekugongea like ya kimyakmya maana umegusa penyewe
Ndugu yangu we cheka tu.
Anamsema linda kazaa na wanaume tofautitofauti wakati yeye pia kazaa tofauti tofauti.
Mie kweli ya suzy mpua imenishangaza ikabidi nimuangalie bhoke.
He he ushawahi kuona mswahili anatukana washahili wenzie kisa kaolewa na mzungu.
Mpaka maiti zinakosolewa.
He he warumi embu tuwekee msuto wa maimartha
NANI ANIDEDISHE? Dhubutuuuuuu! Mimi mtu alie in MY IGNORE LIST HATA ABADILISHE ID SIMJIBUUUUUU! Hata aje na ID MIA! Mie jf staff so nina INSIDER INFORMATION! UKIONDOA WALIO KWENYE MY IGNORE LIST NANI HAPA SIJAMJBU WEWE NA WENZIO NIMEWAPELEKA MDOGO MDOGO MPAKA WAMENAWA! Chezea KUBWA LA MAADUI mpaka ukaomba pooo, mie sio maarufu! Nyoooooo!
Teh teh teh...
Halafu jana kuna mtu aliandika kuwa eti huyo mdada ni msomi.
Kama kweli huyo mdada ndo anaonekana ni msomi machoni mwa baadhi ya watu basi kweli viwango vyetu Watanzania ni vya chini mno kuliko nilivyodhani awali.
Ningependa sana kuona scholarly writings/ works zake.
Au pengine labda ile michambo yake ndo scholarly works zake?:nimekataa:nimekataa
Umejing'atang'ata Wee Lakini Sijaona Ukijibu Maswali Ya Ustaadh Swalehe, A a a a a a..
Hiviii eti mtu yupo Us yaan anahama hama tu ilikua LA leo Huoston ,eeeeer hata nyie kweli huko mnahama hama hivyo? ??? Hamna makazi maalumu duuu
Hiyo ya kuhama hama siyo ishu kivile kwa sababu inategemea na boksi mtu analopiga.
Sasa kama mume wa huyo bibie msomi boksi lake linamlazimu kuhama kila baada ya muda flani hilo si suala la ajabu.
Wapo wengi tu wenye maisha ya hivyo.
Kwani wamehama tena?
Mme kahamia Houston kwao maisha magumu, na huyo bibie muda si mrefu anahamia huko kwa mmewe ndio maana halaliii kutwa wig wigi wengine hata hatuyavaiii hayo mawigii,basi boks analopiga si mchezo litakua limetobokaaa
Duh! We umejuaje kama mumewe kahamia Hyuston?
Yatoshaga lolo ng'wana mayo, kapike futari.....Eee nimejuwa tu camera mpaka Us na bado ahamie Tandale tuu
Yatoshaga lolo ng'wana mayo, kapike futari.....
Yatoshaga lolo ng'wana mayo, kapike futari.....
tuma saalam kwa watu watatu usiowajua....!?????!!!
Nikiangalia muda uliotuma hii coment sina shaka kuwa ww ni jobless.
salam zangu zikufikie ww na majobles wrnzio woote.
Nikiangalia muda uliotuma hii coment sina shaka kuwa ww ni jobless.
salam zangu zikufikie ww na majobles wrnzio woote.
nDo u think kila MTU no mwajiliwa au anafanya kazi kma ww?
Ache I kufananisha maisha
Ww mbn unapata muda Wa kuingia jf huna kazi za kufanya au?
Mnanikoshaga sana nyie wadada mkiongea kisukuma
Shame on me msekuma pori
We umefata ninii humu njoo tukuajirii maana nawe huna kaziii naonaaa, kanye tikitiii hukooooo mtaa wa 3
mwenzetu unawezaje kumjuwa jobless? by the way kazi yako inamsaidia yeyote humu?
mimi nimefikia conclusion kwamba wewe huna elimu yoyote unadhani member wa jf wapo manzese, arusha na mwanza tu.
kwa mfano unaelewa lolote kuhusu gmt? je unajuwa Japan ngapi saa hizi? vipi kuhusu Perth Australia? una elewa lolote kuhusu port moresby Papua new guinea? unajuwa brunei ni saa ngapi saa hizi? kazi uliyonayo bwana bize man umeshawahi kufika Alaska? vipi Montreal Quebec city saa hizi ni lunch au dinner? au ni breakfast time? unapajuwa bogota?
subiri siku utakayo pata bahati ya kupanda ndege safari ya masaa 8, utatoka kwenu asubuhi na utafika asubuhi pia huendako nadhani ndio utaanza to think like a man.