Sasa kilichowaleta na wenyew humu nn kama sio umbea, waende uko jukwaa la mapishi uku watuache miaka mia, watu wamekuja na mashoka wameshindwa sasa yeye anakuja na panga ataweza?
Kuna jipya....?
Kuna watu wana K unaweza jiulizaa huyuu alimtoroka Mungu kwenye finishing hahhha
hongera kwa kuweza kuhimili harufu na muwashooo :A S wink::A S wink::A S wink::A S wink:
Hiyo hongera ni yangu ama....?
Mang kimavi :cool2::cool2::cool2::cool2::cool2::cool2:
Kuna jipya....?
kuna vitu vingine mtu ukisikia hupaswi kucheka ila kwa hapa naomba nivunje miko teh teh teh teh teh teh nimelazwa teh teh
Litoke wapiiii wamekimbia kujibu
Hahaaa! Mange ni Short tempered, halafu sababu ni mpare anapenda snaaa Kesi. Yupo radhi kuuza ngombe kwa kesi ya kuku kuliko ashindwe.
Anachokose Mange ni kushindwa KU LET BYGONES BE BYGONES! Pia hapendi mtu amzidi kwa lolote. Mtu akimzidi tu hata kama alikuwa anampuuzia zamani anamuwasha hapo hapo. Na ni mkavu anaweza kukuchamba leo kesho akakusifia kama Cynthia Mzirai.
The issue is ALL THESE BATTLES MAKE HER RICH, KWANINI AACHE? AND LIKE PEOPLE WILL LET HER BE HATA AKIAMUA KUACHA!
Ndugu yangu we cheka tu.
Anamsema linda kazaa na wanaume tofautitofauti wakati yeye pia kazaa tofauti tofauti.
Mie kweli ya suzy mpua imenishangaza ikabidi nimuangalie bhoke.
He he ushawahi kuona mswahili anatukana washahili wenzie kisa kaolewa na mzungu.
Mpaka maiti zinakosolewa.
He he warumi embu tuwekee msuto wa maimartha
Nna maswali kwako lara 1
1:Tuwekee na utajiri alionao Mange??
Maana umesema wanamuonea wivu
2: baba yake alifariki kisa nini na alifanywa nini mpaka akajiuaa??
3:nguo za mchina sio za mchina??
4: email iliyosambaa na ni ya zamani akielezea ufuska wake hadi wa kuliwa tigo unauzungumziaje??
5: kama alikua wa kibopa/kishua mawindoni kwenye mahotel kutafuta mabwana ilikuaje ?? Ndio akambahatisha huyo Lance
6; huyo mmewe mbona ana hama hama hana makazi maalumu au kazi maalumu? ??
7:anawasema wenzie wabaya wana sura mbaya,kati ya wanawake wazuri Mange yumo?????
Ni hayo tu! !!!!!!
Teh teh teh...
Halafu jana kuna mtu aliandika kuwa eti huyo mdada ni msomi.
Kama kweli huyo mdada ndo anaonekana ni msomi machoni mwa baadhi ya watu basi kweli viwango vyetu Watanzania ni vya chini mno kuliko nilivyodhani awali.
Ningependa sana kuona scholarly writings/ works zake.
Au pengine labda ile michambo yake ndo scholarly works zake?:nimekataa:nimekataa
Natalia nilikusahau jamanii labda we unaweza jibu hata maswali mawilii maana tumeambulia vichambo tu duuuu utajiri wake ni blog etiii yaan ntashangaa mpaka mwakani mieeLara 1 you have missed your carrier " publicity agents" .yaani utajiri wa mange ni blog watu really.Unanichekesha wewe na Una maneno .