Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
umeona ninavyokupenda ingawa hamniitagi movie zikinoga lol chukua kigoda kabisaaaaaa hapa leo hapatoshi atapanguliwa mmoja baada ya mwingine

Hahahahaa....kweli nimeamini unanipenda... **hugs*** to you.

Yaani hapatatosha kabisa leo.. mi nimeshaanda wine yangu nacheki hii movie itaishaje maana naona watu wamejipanga...

Mi leo nna majonzi sana.
 
EXACTLY! Na Max angemuhurumia ASINGE ACHA A POOR ORPHAN GIRL SHE WAS WHAT 20 SOMETHIN, ATUKANWE HUUMU NA MAREHEMU BABA YAKE DEFENCELESS MAANA HATA NAMNA YA KUJITETEA HANA ISITOSHE WALIOKUWA WANAONGEA HAWAKUWA NA FACTS!

Ndo maana ALIVOWEKWA KULE AKATIA AKILI KUWA VIUMA EEEEEH! Na WALIOMUEXPOS MAX SI WATU WANAOMJUA WALICHOSHWA NA MAX PICKING ON A POOR ORPHAN DEFENCELESS GIRL TRYING TO SURVIVE! Ile ilikuwa mbwa kala mbwa!
 

unaona that woman is insane...
eti kapanga chumba kimoja kweli nyimwa vyoote usinyimwe upeo wa kufikiri.

the guy was so good hakuamua kujibu alipiga kimya. asingemuweka mle hizo public opinion zingetoka wapi??

yaani we ushukuriwe Sana leo umenifungua macho kwakweli nilikua nahoji bila majibu.
 
Mange anawakimbiza balaa,hivi jamani mlishaona Mange anamtukuna mtu bila kuchokozwa?hivi nyie huwa hamkasiriki mkichokozwa,Pia kama hawanyimi usingizi kwa nini kutwa kucha wanamfuatilia kapost nini?walijuaje kama hakuweka logo kwenye mawigi bila ya kucheki page yake ya Insta,mtu kama huna mpango nae hivi kweli utamfuatilia kapost nini?Hata zile nguo mnazonunua Zara,HM sijui Newlook si nazo zinatengenezwa China jamani.
 
lara 1 ni upi upande mwingine wa Mange? Ni nini weakness zake?
Ni katika sakata lipi uliona kakosea? Hajawai kukosea?

Hebu onesha ni wapi katika hayo masakata alisha wai kukosea?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa....kweli nimeamini unanipenda... **hugs*** to you.

Yaani hapatatosha kabisa leo.. mi nimeshaanda wine yangu nacheki hii movie itaishaje maana naona watu wamejipanga...

Mi leo nna majonzi sana.

sentence ya mwisho una majonzi gani tena mamii
 
hv mange ni nani mpak achokonolewe kwa lipo labda alilokuwa nalo mange kagombana na chaga barbie kisa bwana hyo urafik anazuga tu...!kila mtu mtata ye ndo mwema hatukatai binadamu ana mapungufu ilq bosy wako kazidi
 
mashudu unaweka pembeni unachukua point huwezi kusema yote yaliyoandikwa ni mashudu kuna points muhimu katika post ya zavi??

we unaejua tuambie hiko kisa cha kutoelewana na Mama ake as long as thread is about "Who is Mange Kimambi"


MTU AKIFA ANATAKIWA APUMZISHWE NA SHURBA ZOTE ZA DUNIA! LET THE POOR WOMAN REST IN PEACE! Chochote nitachoongea she wont be able to DEFEND her self since dead people tell no tales! IT IS WISE TO LET HER REST IN PEACE HUKO ALIKO! Kuna mengi kumhusu Mange ambayo hayahusishi waliotutangulia, kama umeshindwa kupata angle ya ku attack huko basi kubali tu umeshindwa hii ligi.
 
hv mange ni nani mpak achokonolewe kwa lipo labda alilokuwa nalo mange kagombana na chaga barbie kisa bwana hyo urafik anazuga tu...!kila mtu mtata ye ndo mwema hatukatai binadamu ana mapungufu ilq bosy wako kazidi
Hahaaaaa! MWAMBIE ASEME SUUU PAPA LAKE LIANIKWE KWENYE BLOG! Watu wanaoendesha beef na Mange hamna kitu kabisaa ukiwashabikia watakuua na pressure! Umelichungulia kwa mbali lakini?
 

an eye for an eye makes the world blind...........

huo ubaya kwa ubaya Max angeamua kuufanya si wangefikishana mbali..... silence is the best weapon sometimes. sasa kubwabwaja anakobwabwaja mama yule wa water Mark kuandika gazeti za Rai... kunashangaza......
 
lara 1 ni upi upande mwingine wa Mange? Ni nini weakness zake?
Ni katika sakata lipi uliona kakosea? Hajawai kukosea?

Hebu onesha ni wapi katika hayo masakata alisha wai kukosea?
Hahaaa! Mange ni Short tempered, halafu sababu ni mpare anapenda snaaa Kesi. Yupo radhi kuuza ngombe kwa kesi ya kuku kuliko ashindwe.

Anachokose Mange ni kushindwa KU LET BYGONES BE BYGONES! Pia hapendi mtu amzidi kwa lolote. Mtu akimzidi tu hata kama alikuwa anampuuzia zamani anamuwasha hapo hapo. Na ni mkavu anaweza kukuchamba leo kesho akakusifia kama Cynthia Mzirai.

The issue is ALL THESE BATTLES MAKE HER RICH, KWANINI AACHE? AND LIKE PEOPLE WILL LET HER BE HATA AKIAMUA KUACHA!
 
Hahahaaaaaa! Max ndo ALIANZA BABA UBAYA KUMBUKA HILO! Mange tu kamsamehe bure ndo maana hajamuweka tana YET!
 

nimekuelewa na nimeuliza cos umeonekana kujua it was just me and my curiosity na si kwasababu nimekosa la kuongea. by the way kumbe tuko kwenye league ...didn't know....

ila ye anavyowaweka wale marehemu kule??? I wish she could think like u jus for a minute and remove those pics too bad haelewagi mwanamke yule.
 

Yaaani nakushangaa kutumia energy nyiiingi kulitetea hilo limama water mark wkt liko hard to the core....mwache aendelee kuongeza enemies km hawatamla kiboga km baba yake!
 
hatavkm mzazi ni mzazi hasa mama akumbuke ye mtoto awa nje ya ndoa alipaswa amheshimu mama yke kwa kumleta duniani angemetoaje?
hiyo vita unayomchochea mwenzio siri zake zote hadharani
tushajua kwamba mumewe mzungu mtaani
wako houston km kwetu mbagala
ashawahi kuiba kpnd anasoma usa akashtakiwa
mwanawe anasoma st.kayumba za usa
NO WAR ZAIDI YA AIBU....!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…