Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Charter schools serve significantly higher percentages of minority or low-income students than the traditional public schools.
You can't claim to be wealthy and send your kid to charter schools. ..

First off, serving significantly a higher percentage of minority or low-income students is not equivalent to entirely serving such a demographic.

Secondly, who has claimed to be wealthy?
 
Ustaadh Swaleh
Nadhani swala hapa si ubora wa elimu ..ni kuwa ni shule za familia wa kipato cha chini

Si shule za watu wa kipato cha chini tu. Hata wa kipato cha kati pia husoma kwenye hizo shule.

Hii sentensi hapa chini haisemi kuwa hizo shule ni za watoto wanaotoka kwenye familia za vipato vya chini tu.

"Charter schools serve significantly higher percentages of minority or low-income students than the traditional public schools."
 
No, but I know a thing or two about charter schools and I can't sit idly by and let people distort the truth just because they have an aversion to someone.

Ok do you understand the motives of the post? Because you diverts feom the topic...ok let me put this way.
1.Anybody can afford charter schools , and the intention was to help low income household to send their kids to schools.
Lets have understanding on this first.
 
Demarco & Ustaadh Swaleh .... Asanteni kwa ufafanuzi, zaidi tumsubiri Lara atupe jibu la topic yetu 😉


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata kama hamumpendi huyo mange maisha yake binafsi hayakuhusu.....
Uchanganyikiwe kwa ajili ya mange yako yote umeyaweza????? au ndo yawezio umeyakalia yako umeficha!!!!!!!!!!!
tuambie maisha yako then tufanye compalison ttuone nani ni nani?????
 
Huna mambo ya msingi ya kuchanganyikiwa hadi mambo binafsi ya mtu yakuchanganye????

Charter school is welfare .Tax payer pay for low income .Sasa Baada yakusoma comment Nikajiuliza Kama is rich kwa nini mwanae a some hapo.kama amewatukana watanzania wanakaa USA .Anatakiwa awaheshimu kwa Sababu ni tax money na jasho la watu linamsomesha mtoto wake .
 
kwa kifupi maisha ya ughaibuni ujanjaujanja lazima uwepo kama mtu anaiona fursa ya kuitumia.

hata tuliopo bongo mtu akipata connection ya watoto yatima wanalipiwa school fees feza schools au any expensive schools sidhani kwa wabongo ninaowajuwa mimi kama wataiacha fursa hiyo.

cha msingi watanzania huko majuu sasa tuuache uswahiliswahili tupendane.

leo hii uchaguzi wa rais wa dmv marekani kampeni za kidini zimeanza eti achaguliwe mwislamu mwenzao idd sandaly, hii ni msg wanatumiwa watanzania waislamu waliopo dmv. hawa ndio watanzania wasiojuwa marekani ni taifa la kikristo lakini kuna wakristo wananyimwa viza na kupewa viza waislamu.
 

usitafute umaarufu kunuka kwangu, it takes some years with matured thread and comments tobecome a famous here in jf.

nina credibility na reputation power za kutosha kwahiyo achana na mimi, ban is not my option for now, am too old for this falla wewe. kama na wewe mpapa unakuwasha sema.
 
Nitamtafuta mtu anisimulie huu mkasa. sister nitakutafuta mama
 
Last edited by a moderator:

Sie ndio tushajuaa ni st kayumba za Marekanii,halaf et watu wanamuoneaa wivuuuu kwa lipii
 
Natalia anaesoma hiyo shule ni Bhoke au Kenzo, tuambiee banaaa maana watu wanamuonea wivu kweliiii
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…