Ni bilioneaa ana blog, ni machinga wa nguo,pia kafungua website ya kuuza nguo online akaiba na trademark za watu, ni bilionea balaa ila hajapenda tu mtoto wake asome st kayumba basii tu ni bahati mbayaa
Halaf pia ni boss wa lara 1
Ni bilioneaa ana blog, ni machinga wa nguo,pia kafungua website ya kuuza nguo online akaiba na trademark za watu, ni bilionea balaa ila hajapenda tu mtoto wake asome st kayumba basii tu ni bahati mbayaa
Halaf pia ni boss wa lara 1
Too much of Kumchukia mtu is uzushi Limited mwe !
Shoga nimekumiss ulikuwa wapii juz tulikua tuna maswalii kweli lakin halikujibiwa hata mojaa,hatumchukii banaa watu wanazid chunguzaa kwanini anaonewa wivu boss wenu
Maria Roza imaney kipps njoon muoneambo huku shoga yenu mnaemuonea wivu kazi kuvaa mawigi na miwan mikubwa halaf mtoto anasoma st kayumba za Marekani, Kim nana TATIANA Lady kim ICHANA Mrembo by Nature
Teh teh miss neddy njooni
Na Geniverus
Niliona Mapovu yanavyowatoka wanawake nyie ! nikaishia kuwa Mtazamani maana sterling Lara alitosha kabisa ,
Niitie gwijimimi pulizzzz mbavu zaumaa
Mange huyu huyu anayeish Beverly hills? Mange huyu aliyejifungulia hospital wanayojifunguliaga akina Kim? Mmh mbona mazito haya
Mi mwanae bhoke tu binamu pale nimeoza ,ule mdomo na pozi zake walah mi taaban mwenzio, Niko radh kuuza shamba letu la kimbiji nimpate mtoto yule
Mange ni Mwanamke muhangaikaji wa Kitanzania anayeumiza vichwa vya BAADHI ya Wanawake wenzie wale MBURULA (in Le Mutuz Voice ) wengi sana Nje na Ndani ya Tanzania , Mange ni Muke ya Muzungu , Mume Kijana , tofauti na ilivyozoeleka wengi wanaolewa na Wazungu wazee? Full stresss Mange ni Mama ya Watoto watatu , Wa kwanza akiwa amezaa na Kaka yetu Mkurya wa Kitanzania , Very Black & beautiful daughter Bhoke ! Ahsante
Ngoja nisafishe zizi la ng'ombe ,nije kucheki tena mambo ya mujini.
hatumchukii ila tunataka ajifunze kuheshimu watu wengine na aache kudharau watu na kujiona ye ndio tajiri na she is perfect. wenzie wabaya wana
mapua makubwa utadhani kawaumba yeye. wamezaa na wanaume wengi wakati ye mwenyewe ana mtoto wa nje
Heheheee...very black n beatuful daughter.....!!!!?
Halafu kafanana na Souzy mpua mweeeee!!!
Heheheee...very black n beatuful daughter.....!!!!?
Halafu kafanana na Souzy mpua mweeeee!!!
Nakuelewa na kila mtu anakasoro zake hasa ukiwa na hasira ! Mange kasoro yake akichokonolewa hana utu , hana utu hata kidogo but Jamani naye katukanwa sana , hasa wazazi wake ndio hasira zake we unazani kuambiwa Baba yako kaliwa Kiboga ni vizuri ?? and Yes Tumeshamjua mkorofi tunamfatafata na mambo yake wa nini ?? tunashabikia aibu yake mitandaoni ili iweje ?? si tumuache ??
Mange ni Mwanamke muhangaikaji wa Kitanzania anayeumiza vichwa vya BAADHI ya Wanawake wenzie wale MBURULA (in Le Mutuz Voice
Awaumizee kwa lipi alilonalooo nyie ndio anawaumizaa
Mi nimeshalisha ng'ombe majani nakula movie la bure hapa mange anagawa mapesa mwanawani
Yes she is Black and Beautiful very Beautiful ...usifuate kasoro za Mama yake kukosoa Watu kama unajua kuumba No , Mnyonge Mnyongeni na haki yake Mpeni ...she is Beautiful
Kwani baba yake hakuliwa kiboga?au unataka kutuaminsha kwamba kasingiziwa?heheheh
Watu wa mujini wana mambo,jana niliona kuna mtu alitoka mapovu kuwa wengi wetu humu ni majobless.Hajui wengine sisi wakulima-wafugaji na tumeshavuna na tunasubiria minada ya ng'ombe.