warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ni bilioneaa ana blog, ni machinga wa nguo,pia kafungua website ya kuuza nguo online akaiba na trademark za watu, ni bilionea balaa ila hajapenda tu mtoto wake asome st kayumba basii tu ni bahati mbayaa
Halaf pia ni boss wa lara 1
Mange huyu huyu anayeish Beverly hills? Mange huyu aliyejifungulia hospital wanayojifunguliaga akina Kim? Mmh mange ana balaa wizi yeye kila mabalaa anayo yule mtoto ,itakuwa laana sio bure
Last edited by a moderator: