Hhhhaaaahhhhhaaaaa hapa tu ndio waniuagaa binamu
Unajua watu wanashangaza sana , sasa wanasema sisi ma jobless wakat na wenyew kutwa tupo nao humu nashindwa kuwaelewa kabisa, watuache sisi ma jobless na wenyew warud kwenye ma ofisi yao full stop pumbavu sana hawa
Hawafanani mkuu hata kidogo labda umefananisha
usitafute umaarufu kunuka kwangu, it takes some years with matured thread and comments tobecome a famous here in jf.
nina credibility na reputation power za kutosha kwahiyo achana na mimi, ban is not my option for now, am too old for this falla wewe. kama na wewe mpapa unakuwasha sema.
Usijali na hiv nna mimba lazima nikajifungulie hospitali aliyojifunguliaa Beyonce au Kim K Majuu rahaa pesa nje njee
Kweli kwan tumebishii sio mzuriii ni mzurii mnoo
Unajua watu wanashangaza sana , sasa wanasema sisi ma jobless wakat na wenyew kutwa tupo nao humu nashindwa kuwaelewa kabisa, watuache sisi ma jobless na wenyew warud kwenye ma ofisi yao full stop pumbavu sana hawa
Ntakutumia hadi pipi za huku nzurii kiamaa muulizee lusungo
Mzee wa jobless atakujia sasa hivi.
blaza umeniwahi sana kuuliza hili swali....! hivi huyu MANGE ndio nani hasa....?
Nitumie zile raba Reebok ukikosa nitumie zile raba za FILA.
Weeeeeh...afadhali sporah ana sura nzuri...yule Mrs chori chori ana sura ngumu kama ananawia maji ya zege....
Had na begi ntakutumiaa, na wig za mkeo ntakutumia sema inshaaalah
Kweli kwan tumebishii sio mzuriii ni mzurii mnoo
Hhhhaaaahhhhhaaaaa hapa tu ndio waniuagaa binamu
Inshallah mama, Mungu akujalie safari njema.
hahahaaa...!!!mnampa kichwa ukute ana 38mana rika lake yule na kina mboni masimbaMsichana gani ana miaka 34 kuendeleaa tena utakuta kaipunguzaa maana anajiita ye mdogo kila siku
Tuachane na bhoke ni mtoto,Mange ana uzurii gani na miguu yake Ile kama mikono
Ngoja niende coz unaweza kuta Bongo pia tuna Kim Khadashian.Ingia U-turn blog utamjuaaa tena anzia kusoma matukio ya nyumaa