Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Unajua watu wanashangaza sana , sasa wanasema sisi ma jobless wakat na wenyew kutwa tupo nao humu nashindwa kuwaelewa kabisa, watuache sisi ma jobless na wenyew warud kwenye ma ofisi yao full stop pumbavu sana hawa

Ila binamu una mitusi mweee....manake jana uliimwaga hatari..nikajua ban itakuhusu...
Baadae uchukue maziwa kwa Mangi usukutulie mdomo...bili ntaclear binamu yako....
 
usitafute umaarufu kunuka kwangu, it takes some years with matured thread and comments tobecome a famous here in jf.

nina credibility na reputation power za kutosha kwahiyo achana na mimi, ban is not my option for now, am too old for this falla wewe. kama na wewe mpapa unakuwasha sema.

Mkuu achana naye huyo.
 
Kweli kwan tumebishii sio mzuriii ni mzurii mnoo

Umesikia miujiza Uko, mwafulan anatuambia sisi ma jobless nashangaa tu kutwa tupo nae humu sasa mwenzet sijui anafanyia wapi , nashangaa simuelewi au na yeye ndo kama mange anafanya biashar online?
 
Unajua watu wanashangaza sana , sasa wanasema sisi ma jobless wakat na wenyew kutwa tupo nao humu nashindwa kuwaelewa kabisa, watuache sisi ma jobless na wenyew warud kwenye ma ofisi yao full stop pumbavu sana hawa

Na tunashinda nao humu hata hawatokii loo, binamu eti ni kweli huko kwenu kuna kesi za matusii tu
 
Kweli kwan tumebishii sio mzuriii ni mzurii mnoo

Umesikia miujiza Uko, mwafulan anatuambia sisi ma jobless nashangaa tu kutwa tupo nae humu sasa mwenzet sijui anafanyia wapi , nashangaa simuelewi au na yeye ndo kama mange anafanya biashar online?
 
Hhhhaaaahhhhhaaaaa hapa tu ndio waniuagaa binamu

Namshangaa tu kutwa kupiga domo wakat huu mda wa kazi, simuelewi aseme tu kama na yeye ni mwanachama tuendeleze vigodor sio kuleta mambo ambayo hata, au anatuonea wivu sie ma jobless?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom