Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Yes she is Black and Beautiful very Beautiful ...usifuate kasoro za Mama yake kukosoa Watu kama unajua kuumba No , Mnyonge Mnyongeni na haki yake Mpeni ...she is Beautiful

sasa hayo maneno ya busara uliyoongea nenda ka mwambie mange aache kutukana watoto wa watu utadhani kawaumba. kama watu wamemkera si adili now kwa fact sio kuwatukana eti wabaya wanamapua makubwa kweli nyani haoni kundule
 
Ili mradi ni shule nzuri sioni tatizo hapo. Na sidhani kama mange amesema yeye ni tajiri. Ni ana maisha ya kawaida visenti vidogo havimpigi chenga. Ana struggle kutafuta hela so km mtoto wake amepata shule nzuri ya bei nafuu ni sawa pia.
 
Hayo Mapenz yako kwa mange mbona yanakuzidi
yule maaruf kwann asiongelewe?
Am sorry but ww inakuuma nn akiongelewa?
Je angesifiwa ungeongea hayo uliyoongea?

Cna mapenzi yyte na huyo mange na hainiumi wala kuniwasha akisemwa!!!!!!!!!!
Nashangaa kuona mmeshupalia huyo dd wa ktz............
 
hivi kweli holder wa MA ya dubai unatukana watu hafu unawaambia wapi sijui wakajifunze kuchamba kama wewe. daah hafu unasema we msomii
 
Cna mapenzi yyte na huyo mange na hainiumi wala kuniwasha akisemwa!!!!!!!!!!
Nashangaa kuona mmeshupalia huyo dd wa ktz............

Kama ulisoma ulichokiandika its obvious imekuuma so am asking u again inakuuma nn akisemwa ?
Besides tell me unataka watu waandike nn?au hujui hili ni jukwaa la celebrity?
 
jamani jamani inatosha maana leo nlikua nacheka tu hapa watu mna mineno km wote wa mzazi mmoja vile lllooh.....!!!!
muoneeni hurum fidodido wa watu!
 
Domo la haja ,Toto jeus kama uchi Wa mpoto mfyuuu marekan my ass si ampodoe cheus dawa wake awe kama huyo zeru zeru wake kama anaona uzungu dili mfyuuu miziwa kama ---- la mama ubaya

ha ha ha ha ha ha ha ha ha me nalazwa hukuu yaani atanyooka teh jf sehemu ya ukweli na uwazi teh teh
 
Kwa hali hii huko Mujini kuna mtu kweli ataona pepo jamani.Kila mtu mtaalamu wa matusi huko au huko labour wakina mama wajifunguao hukumbana na matusi ya manesi ndo maana husababisha hali hiyo ya kila mtu anajua kutukana mujini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom