Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Naomba kujua hivi mbali na blog kinachompa umaarufu huyu bibi ni kipi?
Dinazarde bila shaka anamjua kiundani
Umaarufu wake umetokana na kugombana gombana na wenziee kuchambana kwa blog ndipo alipofahamika zaidii lakin sio wote wanamjuaa
Last edited by a moderator: