kipps
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 180
- 109
Yes she is Black and Beautiful very Beautiful ...usifuate kasoro za Mama yake kukosoa Watu kama unajua kuumba No , Mnyonge Mnyongeni na haki yake Mpeni ...she is Beautiful
sasa hayo maneno ya busara uliyoongea nenda ka mwambie mange aache kutukana watoto wa watu utadhani kawaumba. kama watu wamemkera si adili now kwa fact sio kuwatukana eti wabaya wanamapua makubwa kweli nyani haoni kundule