Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Kama ulisoma ulichokiandika its obvious imekuuma so am asking u again inakuuma nn akisemwa ?
Besides tell me unataka watu waandike nn?au hujui hili ni jukwaa la celebrity?

Iniume wapi na simjui bora,hata ningekua mtz labda ningeshtuka....... kipo alichowazidi ndo mana mnahaha kuponda
 
jamani jamani inatosha maana leo nlikua nacheka tu hapa watu mna mineno km wote wa mzazi mmoja vile lllooh.....!!!!
muoneeni hurum fidodido wa watu!
Wapeleke upuuz wao uko watuache tuchez vigodor had hasubuh
 
Ridhiwani Kikwete alisoma mkwawa high school tena miaka ya 2000s...ina maana kikwete alishindwa kumpeleka privare au nje ya nchi? vitu vingine ni uamuzi tu....
 
jamani jamani inatosha maana leo nlikua nacheka tu hapa watu mna mineno km wote wa mzazi mmoja vile lllooh.....!!!!
muoneeni hurum fidodido wa watu!

Hehehehehe eti fidodido heheh we mwanamke duuuu
 
Domo la haja ,Toto jeus kama uchi Wa mpoto mfyuuu marekan my ass si ampodoe cheus dawa wake awe kama huyo zeru zeru wake kama anaona uzungu dili mfyuuu miziwa kama ---- la mama ubaya

Mmmh we warumi ww mmmh unaniacha hoi zaid ya pop star Wa coka aisee
 
Iniume wapi na simjui bora,hata ningekua mtz labda ningeshtuka....... kipo alichowazidi ndo mana mnahaha kuponda

Sawa katuzidi ww inakuuma nn mama
No offence but y inakuchoma kuliko yeye mwenyewe
 
Ridhiwani Kikwete alisoma mkwawa high school tena miaka ya 2000s...ina maana kikwete alishindwa kumpeleka privare au nje ya nchi? vitu vingine ni uamuzi tu....

Ushasikia ni high school, na Us kuna high school na kayumba zipo vile vilee
 
Mkwawa sio saw a na charter schools kwa kule ni public school kaka
Mbn vichwa vigumu hvyo?

basi sijaelewa hio charter school..mi nilijua ni shule ya serikali kama hizi kayumba tulizoenda sie....
 
Ushasikia ni high school, na Us kuna high school na kayumba zipo vile vilee

Huyo anasema ridhiwan alisoma mkwawa kwani kuna ubaya gani? Sisi tunamshangaa mtoto Wa billionaire mange kusoma msondo ngoma, kwan kikwete aliwah kujitangaza yeye billionaire? Sis hatuna tatizo na kikwete tuna tatizo na huyu billionaire anayemilik blog
 
Ridhiwani Kikwete alisoma mkwawa high school tena miaka ya 2000s...ina maana kikwete alishindwa kumpeleka privare au nje ya nchi? vitu vingine ni uamuzi tu....

Kwani kikwete alijitangaza yeye ni billionaire? Sisi tunamshangaa billionaire Wa Beverly hills anayemilik blog mtoto wake kusoma msondo ngoma wakat alisema yeye ni tajir
 
Mange katuzid wizi tu ila mbea tu kama sie tunaoishi bongo tena yeye kazid sijui anaish ulaya ip mwenzet

Binamu siku Iz had tigo pesa unatoa dola so asitutishe

jamani jamani ata trace ip adress zetu afu atuweke kwenye blog yake aanze kuwananga...!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…