Naomba kujua hivi mbali na blog kinachompa umaarufu huyu bibi ni kipi?
Dinazarde bila shaka anamjua kiundani
jamani jamani ata trace ip adress zetu afu atuweke kwenye blog yake aanze kuwananga...!!!!
NYIE WATOTO WENU WANA SOMA WAPI? Hahahaaaaaa! Naona mmenitaja kimya kimya mpaka thread imefika mbali! Ningekuja kuendesha sensa wangapi watoto wenu wapo IST NYOOOOOOOOOOOOOOOOO!Ni bilioneaa ana blog, ni machinga wa nguo,pia kafungua website ya kuuza nguo online akaiba na trademark za watu, ni bilionea balaa ila hajapenda tu mtoto wake asome st kayumba basii tu ni bahati mbayaa
Halaf pia ni boss wa lara 1
usitafute umaarufu kunuka kwangu, it takes some years with matured thread and comments tobecome a famous here in jf.
nina credibility na reputation power za kutosha kwahiyo achana na mimi, ban is not my option for now, am too old for this falla wewe. kama na wewe mpapa unakuwasha sema.
NYIE WATOTO WENU WANA SOMA WAPI? Hahahaaaaaa! Naona mmenitaja kimya kimya mpaka thread imefika mbali! Ningekuja kuendesha sensa wangapi watoto wenu wapo IST NYOOOOOOOOOOOOOOOOO!
Kweli JF Sio Magazeti Pendwa Useme Utahonga waandishi .........
Mimi kama rais wa majobless wamenituma nikueleze kwanza wako very proud kuwa majobless, ila bundle zao ni monthly subscribe unlimited bundle.Ukiangalia muda wachawi wetu wa maendeleo wameanza kuandika micoment yao na ukiangalia muda waliolala jana utaona tu hawa ni majobless.Angalia muda wenye kaz tumeongia humu.Ukiwaambia wanakuja na risala za GMT.
Kweli umaarufu unatafutwa kwa namna yeyote, nakumbuka ticha wangu mmoja alikuwa anatushauriUmaarufu wake umetokana na kugombana gombana na wenziee kuchambana kwa blog ndipo alipofahamika zaidii lakin sio wote wanamjuaa
Ukiangalia muda wachawi wetu wa maendeleo wameanza kuandika micoment yao na ukiangalia muda waliolala jana utaona tu hawa ni majobless.Angalia muda wenye kaz tumeongia humu.Ukiwaambia wanakuja na risala za GMT.
Sie ndio tushajuaa ni st kayumba za Marekanii,halaf et watu wanamuoneaa wivuuuu kwa lipii
Maria Roza imaney kipps njoon muoneambo huku shoga yenu mnaemuonea wivu kazi kuvaa mawigi na miwan mikubwa halaf mtoto anasoma st kayumba za Marekani, Kim nana TATIANA Lady kim ICHANA Mrembo by Nature
Teh teh miss neddy njooni
Na Geniverus
Kweli JF Sio Magazeti Pendwa Useme Utahonga waandishi .........