Ndo maana nikasema kwa upande mwingine huwaga sahihi lakini kwa upande mwingine hawagi sahihi kwa mfano nimesikia leo kwenye magazeti kwamba yeye ndo alizusha ya kuwa makamu wa raisi mama samia suluhu amejiuzuru kwa hili sizani kama yuko sahihiTo a msimamo wako kwanza , unamkubali au haumkubali mitazamo yake?
Mkuu jibu sahihi ni hili hapa. KAMA UNATAKA KUJUA UKWELI WA MTU AU JAMBO MAHALI SAHIHI PA KUPATA UKWELI NI KWA MHUSIKA MWENYEWE. Kwa kuwa umekuwa ukipitia post zake to na maana unayo akaunti yake muulize unachotaka kujua. Hapa utapata majungu na umbea jambo ambalo nadhani ndicho unachotaka. GT hawapendi majungu. Fanya mambo yako achana na majungu.Habari za mchana ndugu zangu wa jamii forum poleni na majukumu takirabani kwa mwezi miezi miwili sasa nilianza kufuatilia kwa umakini sana posts na hoja za dada yetu blogger maarufu aishie marekani Mange Kimambi kwa maoni yangu kuna mambo huyu dada anakuawaga sahihi na kwa upande mwingine huwaga hayuko sahihi, huwaga najiulizaga maswali kichwani je angekua Tanzania angeaandika hivi, pia je ni mwanachama kweli wa ccm kama anavyodai kama ni mwanachama kweli je chama cha ccm au kama mwanaccm anavyofanya ni sahihi
tuombe msaada wa Rwanda maana yeye ni sec tu kichwa kule miguu kule ila sidhani mange nae pia ypo kwenye listMange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.
Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna
Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu
Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa