Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
To a msimamo wako kwanza , unamkubali au haumkubali mitazamo yake?
 
To a msimamo wako kwanza , unamkubali au haumkubali mitazamo yake?
Ndo maana nikasema kwa upande mwingine huwaga sahihi lakini kwa upande mwingine hawagi sahihi kwa mfano nimesikia leo kwenye magazeti kwamba yeye ndo alizusha ya kuwa makamu wa raisi mama samia suluhu amejiuzuru kwa hili sizani kama yuko sahihi
 
Anataka kufile asylum marekani,hivyo ni lazima awachokonoe sirikal ili aseme hawez kurudi nyumbani sababu za kisiasa na kuhofia uhai wake,wengi wanafanya hivyo na inasaidia to get them gademn papers u know! Hahaha bibi kigagula(in Le Mutuz voice)
 
Habari za mchana ndugu zangu wa jamii forum poleni na majukumu takirabani kwa mwezi miezi miwili sasa nilianza kufuatilia kwa umakini sana posts na hoja za dada yetu blogger maarufu aishie marekani Mange Kimambi kwa maoni yangu kuna mambo huyu dada anakuawaga sahihi na kwa upande mwingine huwaga hayuko sahihi, huwaga najiulizaga maswali kichwani je angekua Tanzania angeaandika hivi, pia je ni mwanachama kweli wa ccm kama anavyodai kama ni mwanachama kweli je chama cha ccm au kama mwanaccm anavyofanya ni sahihi
Mkuu jibu sahihi ni hili hapa. KAMA UNATAKA KUJUA UKWELI WA MTU AU JAMBO MAHALI SAHIHI PA KUPATA UKWELI NI KWA MHUSIKA MWENYEWE. Kwa kuwa umekuwa ukipitia post zake to na maana unayo akaunti yake muulize unachotaka kujua. Hapa utapata majungu na umbea jambo ambalo nadhani ndicho unachotaka. GT hawapendi majungu. Fanya mambo yako achana na majungu.
 
mmmh navyomjua, akijua huu uzi uko hapa asee mkuu jiandae kwa ilo valangati.
 
jamani wana jf wanao tiaga maguu instagram ktk page ya
mange kimambi
hivi kwa nanma ya matusi mazito yanayo ss mua yakimlenga ,Lemutuz na wengine anao tofautiana nao hasa Matusi mazito yaki mlenga mkuu wa mkoa wa moja ya jiji hapa tz hadi aki jaribu kuthibitisha kua mkuu huyo ni shoga

najaribu kuji uliza huyu binti kalaaniwa au kuna kisasi ana lipa? maana matus c ya kawaida jama

Sheria ziko wapi? huyu dada ana jiamini nn? tell me guys ?

kama neno kila.za tu watu wana tupwa ndani ina kuaje kwa huyu anae mimina matusi kama bomba na still yupo tu ana post daily na ana tusi si kwa mafumbo na majina ya viongoz wazito ana weka
 
Mange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.

Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna

Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu

Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa
 
tuombe msaada wa Rwanda maana yeye ni sec tu kichwa kule miguu kule ila sidhani mange nae pia ypo kwenye list
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom