Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
mange yupo na passport ya Marekani na yuko na watoto 4 hapo na sheria ya Marekani huwezi tu kurupuka kumchukua mmarekani hovyo.


swissme
Hata yule jamaa wa Ze Utamu alikuwa anajidanganya hivi hivi,mwisho alipotea kabisa
 
Mange ana matatizo ya kiakili fuatilia historia yake umfahamu vizuri,serikali itafanya upuuzi sana kama wakimfuatilia.Kelele zote anazopiga mtandaoni hakuna hata moja amewahi kufanikiwa
Meng tu kafanikiwa mbona km la kpiga mwanafunz yle
Asee kumbe umemshtukia eeh?...amefika pabaya sasa hivi yule Mama Rita Mlaki katoa kilio kibaya sana...Mange hana mda mrefu kuanzia sasa hivi!
 
Huyu dada kwa asiye na akili atamuna ni kichaa,,lakini kwa wenye akili lazima uhisi kuwa baada ya uchaguzi kuisha kuna kitu au shadi ya kitengo kinono,,alikikosa ccm
Na ndio maana kipindi cha kampeni katika page ya insta aliipamba sana ccm na kutukana wapinzani,,,lakini baada ya mzee wa bajeti kuingia. Huyu dada alibadili msimamo gafla,,na kuhamia upinzani
My take....kuna ahadi ya fedha yawezekana alipewa kuipigia kampeni ccm...lakini hakupewa ....labda ndio chanzo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…