Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Serikali aiwezi kumuogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange ana matatizo ya kiakili fuatilia historia yake umfahamu vizuri,serikali itafanya upuuzi sana kama wakimfuatilia.Kelele zote anazopiga mtandaoni hakuna hata moja amewahi kufanikiwaMkono mrefu mwisho kariakoo ?
Hata yule jamaa wa Ze Utamu alikuwa anajidanganya hivi hivi,mwisho alipotea kabisamange yupo na passport ya Marekani na yuko na watoto 4 hapo na sheria ya Marekani huwezi tu kurupuka kumchukua mmarekani hovyo.
swissme
Meng tu kafanikiwa mbona km la kpiga mwanafunz yleMange ana matatizo ya kiakili fuatilia historia yake umfahamu vizuri,serikali itafanya upuuzi sana kama wakimfuatilia.Kelele zote anazopiga mtandaoni hakuna hata moja amewahi kufanikiwa
Asee kumbe umemshtukia eeh?...amefika pabaya sasa hivi yule Mama Rita Mlaki katoa kilio kibaya sana...Mange hana mda mrefu kuanzia sasa hivi!
Watoto 3 sio 4mange yupo na passport ya Marekani na yuko na watoto 4 hapo na sheria ya Marekani huwezi tu kurupuka kumchukua mmarekani hovyo.
swissme
Kupiga mwanafunzi yupi huyo?Meng tu kafanikiwa mbona km la kpiga mwanafunz yle
Walimuua auHata yule jamaa wa Ze Utamu alikuwa anajidanganya hivi hivi,mwisho alipotea kabisa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] na yeye naye alitukanwa sana mange huyu.....Kumbuka ile kauli ya mkuu wa mkoa , hata followers wote wanamakosa na watakamatwa.
Yani mhhhuuu hilo nalo neno jamani kaah mungu huyu mwacheni aitwe mungu,wao ndio wanaumia.....Goes around comes around...mfano: eti........kajinyea jukwaani.