Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Afu sikuelewi ujue!
Mimi nadai haki hapa? Sidai haki yoyote..
Ila ya kaisari mpeni kaisari..
Mumemuanza wenyewe kaja msiempenda mnakuja kulia lia tulieni awanyooshe. Ili mkimtia jela sawa lakini kawafunua ufuska wenu wote
Huwezi kuelewa
 
Jiulizeni huyo mama alimfanya nini mange? Hivi mnajua matusi ambayo mange alitukanwa na mtoto wa rita mlaki? Mnajua matusi ambayo mange katukanwa na rachel temu? Mnajua jinsi wazazibwa mange walivyotukana sana kwnye mitandao? Mnajua chanzo cha haya yote?
Msiishie kuangalia upande mmoja tu.

Mtoto wa Mlaki hajsmtukana bali amekua aki like anapochambwa Mange na vi vomment vya kawsida. Tabu kubwa ni ndugu wa ambao hawana time nae msishani na pia rafki wa mashosti zake waliokuwa karibu before. Mashosti hao ambao sliwachafua sanaaa akiwemo mdogo wa waziri, na kushindwa kuihia kuona maisha yao yanazidi kupaaa na yake yakiporomoka.
 
Watajuana huko
 
Watu wazito huwa wanampa mtonyo inbox,
Mange ana act kama vuvuzela la taifa. akiamua kureveal wanayoyajadili huko inbox hapatatosha hapa.

Na inawezekana si Hugo tunayemdhani may be ni jina tu, kwa ustaarabu Wa kitanzania so rahisi kwa uandishi ule,ni zaidi ya kujitoa mhanga! any way ngoja tuangalie na tujifunze pia
 
matusi ya mange yana athari kwa mtu mmoja mmoja hayana athari kwa mustakabari wa usalama wa nchi na ndio maana system inampuuza.

siku atakapo jaribu kuutukana mfumo au kuongea vitu sensitive vya nchi,hatopona.

atatumwa jasusi mmoja kwenda kumdunga polonium-210 huko huko US.tz litakuja jeneza tu.
Very true
 
Mange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.

Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna

Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu

Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa
Hii ndio uzushi. Tukana na wewe.
 
Mange wape wape mama , huyo mama rita mlaki alikataze kwanza hilo toto lake chizi linalojibishana na Mange.....hapo atasalimika
 
Kama uzi unavyojieleza , yule mwanamama aliyeshindikana hapa Tannzania na mwenye uwezo wa kumchamba mtu yoyote anayeingia 18 zake haijalishi awe na ndevu za shaba au za kipilipili , wigi la brazilian au msuko wa twende kilioni , mpanda vogue au bodaboda , anayeishi masaki au kwa bibi mfuga paka , siku tatu hizi ametoa dozi za uhakika kwa Rachel Temu mdogo wa miss Tanzania Hoyce Temu na leo kaiamkia familia ya mama etu Rita Mlaki , maneno aliyowachamba kimaadili hayafai kuyaposti hapa.....
Nawapa pole wanaoendelea kumchokoza huyu dada, wa Mwache na maisha yake tu ili asiwadhalilishe , hasa wadada manaomtukana kwa accont zenu orijino mnawaponza wazazi wenu.....Sumu haijaribiwi kwa kurambwa , muwe na wikend njema!!!

Chanzo cha ugomvi hao watu wato wanamtukana Mange na familia yake hasa watoto wake walifikia hadi kuedit picha za bint Mange na kuzirusha mtandsoni akiwa uchi, kwahiyo Mange akaamua kudeal na Rachel Temu ambaye alimwambia Mange baba ake alijiua baada ya kulawitiwa....sasa Mange amemwamlia Rachel ambaye saivi anataka kuolewa na Mzee mmoja wa UN wa Kizimbabwe anasema atahakikisha ndoa haifungwi na kwa kuanza kaingia kwenye mawasiliano yote ya huyo baba na kumpelekea kichambo hadi kwa mabosi zake UN ... Na ametangaza kiama cha matusi kwa yeyote atakayetangaza hiyo ndoa kwenye page yake ataifahamu kama laki si pesa katika awamu hii ya Tano.
Kuhusu Mama Rita Mlaki anamtukana kwasababu binti yake pekee Nambole sijui anashinda kwenye page ya kichwa panzi kumtukana Mange, Mange anasema alishawahi kumtukana huyo mama hadi alimfuata analia amsamehe akamwacha, lakini anasema huyo mama Mlaki ameshindwa kumdhibiti huyo binti yake wa miaka zaidi ya 40 ambaye hajaolewa na anaishi kwao kumtukana Mange kila siku. Kama huamini pitia pages za wanaomtukana Mange utamkuta binti wa Mama Rita akimtukana Mange.....Mange kasema huyo binti akinyamaz naye atamwacha mama ake na baba ake, na anamtukana huyo mama sababu huyo binti hata akitukanwa ni don bother !!!
 
Jiulizeni huyo mama alimfanya nini mange? Hivi mnajua matusi ambayo mange alitukanwa na mtoto wa rita mlaki? Mnajua matusi ambayo mange katukanwa na rachel temu? Mnajua jinsi wazazibwa mange walivyotukana sana kwnye mitandao? Mnajua chanzo cha haya yote?
Msiishie kuangalia upande mmoja tu.
Je ni sawa mtu akigombana na wewe awatukane ukoo wako wote, marafiki zako, kila aliye karibu na wewe? Huo ni ukichaa
 
Kama uzi unavyojieleza , yule mwanamama aliyeshindikana hapa Tannzania na mwenye uwezo wa kumchamba mtu yoyote anayeingia 18 zake haijalishi awe na ndevu za shaba au za kipilipili , wigi la brazilian au msuko wa twende kilioni , mpanda vogue au bodaboda , anayeishi masaki au kwa bibi mfuga paka , siku tatu hizi ametoa dozi za uhakika kwa Rachel Temu mdogo wa miss Tanzania Hoyce Temu na leo kaiamkia familia ya mama etu Rita Mlaki , maneno aliyowachamba kimaadili hayafai kuyaposti hapa.....
Nawapa pole wanaoendelea kumchokoza huyu dada, wa Mwache na maisha yake tu ili asiwadhalilishe , hasa wadada manaomtukana kwa accont zenu orijino mnawaponza wazazi wenu.....Sumu haijaribiwi kwa kurambwa , muwe na wikend njema!!!

Chanzo cha ugomvi hao watu wato wanamtukana Mange na familia yake hasa watoto wake walifikia hadi kuedit picha za bint Mange na kuzirusha mtandsoni akiwa uchi, kwahiyo Mange akaamua kudeal na Rachel Temu ambaye alimwambia Mange baba ake alijiua baada ya kulawitiwa....sasa Mange amemwamlia Rachel ambaye saivi anataka kuolewa na Mzee mmoja wa UN wa Kizimbabwe anasema atahakikisha ndoa haifungwi na kwa kuanza kaingia kwenye mawasiliano yote ya huyo baba na kumpelekea kichambo hadi kwa mabosi zake UN ... Na ametangaza kiama cha matusi kwa yeyote atakayetangaza hiyo ndoa kwenye page yake ataifahamu kama laki si pesa katika awamu hii ya Tano.
Kuhusu Mama Rita Mlaki anamtukana kwasababu binti yake pekee Nambole sijui anashinda kwenye page ya kichwa panzi kumtukana Mange, Mange anasema alishawahi kumtukana huyo mama hadi alimfuata analia amsamehe akamwacha, lakini anasema huyo mama Mlaki ameshindwa kumdhibiti huyo binti yake wa miaka zaidi ya 40 ambaye hajaolewa na anaishi kwao kumtukana Mange kila siku. Kama huamini pitia pages za wanaomtukana Mange utamkuta binti wa Mama Rita akimtukana Mange.....Mange kasema huyo binti akinyamaz naye atamwacha mama ake na baba ake, na anamtukana huyo mama sababu huyo binti hata akitukanwa ni don bother !!!
Ujumbe murua huu
 
S
Huyu dada kwa asiye na akili atamuna ni kichaa,,lakini kwa wenye akili lazima uhisi kuwa baada ya uchaguzi kuisha kuna kitu au shadi ya kitengo kinono,,alikikosa ccm
Na ndio maana kipindi cha kampeni katika page ya insta aliipamba sana ccm na kutukana wapinzani,,,lakini baada ya mzee wa bajeti kuingia. Huyu dada alibadili msimamo gafla,,na kuhamia upinzani
My take....kuna ahadi ya fedha yawezekana alipewa kuipigia kampeni ccm...lakini hakupewa ....labda ndio chanzo
Siyo Mpinzani ni MwanaCCM anayekosoa Serikali mpenda Democracy.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom