Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
USHAURI MMEOMBWA.? Si muwashauri ndugu zenu? Kuna ulazima gani nyie kungangania kumshauri mtu asietaka ushauri wenu? Mi hata siwaelewagi.

na kusifiwa kaombwa?kwa nini anatak kuabudiwa km Mungu mtu ukimshauri vtu vya maana anakublock nyie ndo mnachonjq mnaomtetea ujinga wake....!
Hakuna marefu yasiyo na ncha
Ama kweli kisoma kuelewa kukesha mbwembwe....!
 
Yaan Lara 1, nimekupenda bure leo, ni kweli Mange anamapungufu mengi ila binafsi nampenda sana, kupitia yeye nilipata ari ya kurudi shule kuchukua degree ya pili, ninafanya kazi na biashara zangu ambazo ninafanikiwa sana, n lastly ndoa yangu was almost dead bt kupitia blog yake nikagundua kumbe natakiwa ni work on my marriage na I have good time sasa... ki ukweli shes one woman and ahalf, sema ni huo uchizi wake sometimes......ila nampenda to death

mimi kinachonifurahisha leo id ya mange kimambi hapa jf nitaugunduwa leo.

nina popcorn za kutosha na Coca-Cola light.
 
HAHHAHAHAAAAAA! NILIKUWA NAKUNGOJA PAKA SHUME MKUBWA WEWE KWA KUMSEMA BOSS WANGU?

Na lazima nijee ila unipe fact sio michambo tu leo fact tu

1. Utajiri alio nao ambao wale vishumundu hawana kwanza BIGGEST ONLINE PLATFORM. Ana viewers ni balaaa. Wengi wanatafuta kick tu pale wachambwe wawe maarufi. Wengi blogu zao marehemu siku nyingi.

Ungenitajia mali alizonazo ingekua poa zaidii,naona uzushi tu hapaa teh teh hana lolote Mange

2.YABABA YAK TUYAACHE, MUNGU NDO ANAPANGA NANI AWE BABA WA NANI NAMNA HIO HATA SIE BABA ZETU WAKULIMA, WENGINE WAKO JELA HUWEZI KUMHOLD MTOTO RESPONSIBLE KWA MAKOSA AU FAILUR YA BABA. TUKIENDA HIVO KILA MTU AANDIKE BABA YAKE NI NANI HUMU NCHINI MMMMMH!

Ndio umaarufu kila kitu utajadiliwaa hadi ya uvunguni kama anayoyatoa yeye kwa wenziee, upoo

3.MMELAZIMISHWA MNUNUE? NANI ASIEUZA NGUZO ZA MCHINA MJINI HAPA? Mr price? Splash? Wote wanauza ronyaaaa hutaki kuwa kama Klyn nunua desiginer. SUALA NGUO GANI ANAUZA HAJAMFOSI MTU KUNUNUA.

Ndio hivyo awaambie ukweli watu kua nguo ni za mchina full stop

4.Hio email ilitolewa ufafanuzi na yeye mwenyewe, tena ilisambazwa na designer. Mumewe anakitombesha na Miss Tz hayasemi kashupalia ya mwenzie. PLUS HAIKUWA NA AUTHENCITY YOYOTE COZ HAMNA ALIE CLAIM KUWA NI YEYE NDO KAISAMBAZA NA NI KWELI TUPU. so haina uzito kabisaaa.

Naona hapa hujuii ila unatetea tu

5. LABDA UTO SUPPORTING EVIDENCE OTHERWISE HIZI NI HISIA ZAKO TU, NENDA NA WEWE LINDONI TUONE KAMA UTAPATA AMERICAN CITIZEN! Afterall MAKU YAKE AU MNATAKA NA KU,PANGIA AITUMIE VIPI MBONA NYIE MNAKITOMBESHA NA FREE P HATUWAULIZI?

Mimi sio malaya wa kwenda lindoni kutafuta wanaumee,nilipatiwa nyumbani kwetu sijua na papara huo ni umalaya nakwambia so asiseme wenzie malaya wakati nae analiwa hivyo hivyo


6. WE MUMEO VIPI TUANZIE HAPA USIJITIE KUMSEMA MUME WA MTU WAKATI YAKO UNAYAFICHA KAMA MUMEO MUUZA MCHICHA. AFTER ALL MUME WAKE AU ALIWAITA MKAKAZWE WOTE NA HUYO MUME?

Mi mume wangu sio maarufu na haitaji kua maarufu angekua maaarufu au namuweka hadharani hapo sawa ingejulikana tu kazi yake, alichomzidi Lance ni kua mzungu tu hakuna anachomzidi,umejitolea kumjibia Mange maana unamjua sie hatumjui ujibu tu ( back to the topic tunamuongelea Mange usichengeshee

7. Uzuri ni subjective na mtu na mtu, opinoon yake ni wabaya ndio! Its a free country[/QUOTE/]

Eee asiseme wenzie wabaya wakati nae wale walee lara 1 usichengeshe anaeongelewa ni mange hapa na yanayomuhusu Mange we tujibu tu vizuri tukuelewee lasivyo nawe humjui Mange

Hahahaaaaaaaa!
1. Mali za nini aweke? Nyie mbona hamueweki zenu? Hao wenye beef nae mbona hakuweka zao?

2.let the oldman REST IN PEACE sababu hata mkimsingizia hatoweza kurudi kujitetea.

3.ITS A FREE COUNTRY hajabembelezwa mtu kunua kitu. Unataka nunua, hutaki sepa, hamna mtu naebembelezwa.

4.Hio email ni ishu ya 2012 alivoenda tu USA, kafukunyue u turn ilijadiliwa mno mno nashangaa mmeiona leo.

5.IT TAKES A WITCH TO IDENTFY ANAOTHER WITCH so kama wewe huendi huko UMEJUAJE YA HUKO NA KUYASEMA IN CONFIDENNCE UNLESS YOU ARE LYING OFCOURSE.

6.KBALA HUJATOA KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZIO TOA KWANZA BORITI KWENYE JICHO LAKO! Jiulize AUDECITY YA KUMSEMA MUME WA MWENZIO NA ECONOMY YA MWENZIO YAKO IKO VIPI? Watu tunajisahaaau nakuona sababu hatujulikani basi ndo kuwaonea wanaojulikana.

7. HATA WEWE HUJAKATAZWA KUSEMA MTU YEYOTE MBAYA ITS A FREE COUNTRY, Mange akimuona mtu mbaya atasema mbaya kama nyie mnavot8a maoni yenu kwa uhuru na haki.
 
Tunakoelekea na hili jukwaa la celebrity naona invisible mngeanzisha tu jukwaa jipya La mipasho,tarabu,vigodoro,michambo,mishushuo.....nk..lol..jukwaa linapoteza "ladha" yake....
 
Tunakoelekea na hili jukwaa la celebrity naona invisible mngeanzisha tu jukwaa jipya La mipasho,tarabu,vigodoro,michambo,mishushuo.....nk..lol..jukwaa linapoteza "ladha" yake....

Hahhhjhhaaaa yaan nimechekaaaa looo
 
Men are from mars earth and women are from venus earth.
Discuss with some vivid examples.
 
Yaan Lara 1, nimekupenda bure leo, ni kweli Mange anamapungufu mengi ila binafsi nampenda sana, kupitia yeye nilipata ari ya kurudi shule kuchukua degree ya pili, ninafanya kazi na biashara zangu ambazo ninafanikiwa sana, n lastly ndoa yangu was almost dead bt kupitia blog yake nikagundua kumbe natakiwa ni work on my marriage na I have good time sasa... ki ukweli shes one woman and ahalf, sema ni huo uchizi wake sometimes......ila nampenda to death
MWENYEW ALINIJAMBISHAAAA MPAKA NIKARUDI SKULI UNADHANI.? Pale ni SUVIVOR OF THE FITTEST! Sasa mtu akiona ligi ya mule nzito ndo anageuka hater! Ila ukikaa mule positively unapata inspiration ya kutosha.
 
Kama sio yatima SHUKURU MUNGU SIO KUMSEMA YATIMA WA MUNGU KWAMBA SIO WA KWANZA DUNIANI! Hakupenda awe hivo, aliekupa wewe wazazi ndo kamnyima yeye wazazi wenye maisha marefu.

kwani huwa kunakuwa na yatima wa Shetani??????

ila wale walipenda kuzaliwa na pua kubwa.., kuwa na miili. minene...
 
unapokuwa msomi tena mama una watoto kadhaa u have to act like one. dawa ya moto sio moto wala mafuta. mange nakupenda bcoz ur hard working women ila jifunze kukubali kosa na usipende kufurahisha binadamu ili wakuone we hushindwi kitu. wewe ni mama unatengeneza dunia ya maadui wakati watoto wako wanaishi humohumo mhhh sijui unawaza nn...
HII FALSAFA YA MJINGA NA MNYONGE KUKAA ANATUKANWA, FAMILIA YAKE INATUKANWA BILA SABABU WAKATI MATUSI NI BURE HAYAUZWI DUKANI!
Watu wakikuchokonoa wachoke na mjiti kabusaa sio tu madole ndo wanatia akili. Ukiwaachia watachukua godoro kabisaaa wakulale kichwani! AN EYE FOR AN EYE ndo lugha watu wanayoielewa! Kama chaga bibi toka aambiwe PAPA LAK LITAWEKWA MULE UTURN KANYOOKA KAMA PIGWA PASI ALIKUWA ANAJIUMUA KAMA KATIWA HAMIRA!
 
unapokuwa msomi tena mama una watoto kadhaa u have to act like one. dawa ya moto sio moto wala mafuta. mange nakupenda bcoz ur hard working women ila jifunze kukubali kosa na usipende kufurahisha binadamu ili wakuone we hushindwi kitu. wewe ni mama unatengeneza dunia ya maadui wakati watoto wako wanaishi humohumo mhhh sijui unawaza nn...

yaani umeona eeh!ndo mana wale wanaojielewa mf.shamim hakumguna wala kumtukana kapiga kimyaaaa...
Lile no tusi kubwa sanaa kwa mrs water mark baas tu
Kajimaliza ila yeye mi ndo nashindwa kumshangaa ana binyi mkubwa kidogo kazaa na Frank machozi tena wa nje ila hamna anaemtukana ila ye kutwa kuwaambia wenzie wana watoto wazinzi aisee anawatengenezea watoto maisha mabaya sana...!
Ye hilo halijui ye anajua kuchamba tu so the meaning of beinv educated nini?!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom