HAHHAHAHAAAAAA! NILIKUWA NAKUNGOJA PAKA SHUME MKUBWA WEWE KWA KUMSEMA BOSS WANGU?
Na lazima nijee ila unipe fact sio michambo tu leo fact tu
1. Utajiri alio nao ambao wale vishumundu hawana kwanza BIGGEST ONLINE PLATFORM. Ana viewers ni balaaa. Wengi wanatafuta kick tu pale wachambwe wawe maarufi. Wengi blogu zao marehemu siku nyingi.
Ungenitajia mali alizonazo ingekua poa zaidii,naona uzushi tu hapaa teh teh hana lolote Mange
2.YABABA YAK TUYAACHE, MUNGU NDO ANAPANGA NANI AWE BABA WA NANI NAMNA HIO HATA SIE BABA ZETU WAKULIMA, WENGINE WAKO JELA HUWEZI KUMHOLD MTOTO RESPONSIBLE KWA MAKOSA AU FAILUR YA BABA. TUKIENDA HIVO KILA MTU AANDIKE BABA YAKE NI NANI HUMU NCHINI MMMMMH!
Ndio umaarufu kila kitu utajadiliwaa hadi ya uvunguni kama anayoyatoa yeye kwa wenziee, upoo
3.MMELAZIMISHWA MNUNUE? NANI ASIEUZA NGUZO ZA MCHINA MJINI HAPA? Mr price? Splash? Wote wanauza ronyaaaa hutaki kuwa kama Klyn nunua desiginer. SUALA NGUO GANI ANAUZA HAJAMFOSI MTU KUNUNUA.
Ndio hivyo awaambie ukweli watu kua nguo ni za mchina full stop
4.Hio email ilitolewa ufafanuzi na yeye mwenyewe, tena ilisambazwa na designer. Mumewe anakitombesha na Miss Tz hayasemi kashupalia ya mwenzie. PLUS HAIKUWA NA AUTHENCITY YOYOTE COZ HAMNA ALIE CLAIM KUWA NI YEYE NDO KAISAMBAZA NA NI KWELI TUPU. so haina uzito kabisaaa.
Naona hapa hujuii ila unatetea tu
5. LABDA UTO SUPPORTING EVIDENCE OTHERWISE HIZI NI HISIA ZAKO TU, NENDA NA WEWE LINDONI TUONE KAMA UTAPATA AMERICAN CITIZEN! Afterall MAKU YAKE AU MNATAKA NA KU,PANGIA AITUMIE VIPI MBONA NYIE MNAKITOMBESHA NA FREE P HATUWAULIZI?
Mimi sio malaya wa kwenda lindoni kutafuta wanaumee,nilipatiwa nyumbani kwetu sijua na papara huo ni umalaya nakwambia so asiseme wenzie malaya wakati nae analiwa hivyo hivyo
6. WE MUMEO VIPI TUANZIE HAPA USIJITIE KUMSEMA MUME WA MTU WAKATI YAKO UNAYAFICHA KAMA MUMEO MUUZA MCHICHA. AFTER ALL MUME WAKE AU ALIWAITA MKAKAZWE WOTE NA HUYO MUME?
Mi mume wangu sio maarufu na haitaji kua maarufu angekua maaarufu au namuweka hadharani hapo sawa ingejulikana tu kazi yake, alichomzidi Lance ni kua mzungu tu hakuna anachomzidi,umejitolea kumjibia Mange maana unamjua sie hatumjui ujibu tu ( back to the topic tunamuongelea Mange usichengeshee
7. Uzuri ni subjective na mtu na mtu, opinoon yake ni wabaya ndio! Its a free country[/QUOTE/]
Eee asiseme wenzie wabaya wakati nae wale walee
lara 1 usichengeshe anaeongelewa ni mange hapa na yanayomuhusu Mange we tujibu tu vizuri tukuelewee lasivyo nawe humjui Mange