Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Aje kuongelea hapa hapa kwani yy hana kazi ya kufanya marekani? tambua yy ni mkazi wa huko lazima aongelee huko huko alipo kwani ujasiri lazima uwepo Tanzania? Watanzania wangapi wapo nje wanakerwa na udikteta wa kumkumbatia Daud bashite lakini hawathubutu kusema kitu, Vijana hawajawadharau viongozi bali tabia zao za kukumbatia Uovu ndizo huwafanya kudharaulika, heshima zipo kwa wale viongozi wanaojiheshimu tu, isipowaheshimu watanzania hakuna atakayekuheshimu dawa ya moto ni moto, wameamua kumkumbatia Daud bashite asiye na vyeti huku wafanyakazi wengine wakiwa wamefukuzwa kazi wanateseka mitaani alafu mnataka mheshimiwe kwa lipi? Ebu mfukuzeni Daud bashite muone heshima zenu zitavyorejeshwa kwa kasi.
Twambie anafanya kazi gani maana kihelehele kama unamjua....yule kazi anayofanya ni 'umalaya' na hii inathibitisbwa na aina ya matusi anayoporomoshea watu inaonesha kuwa sio mzima...
 
Bashite akitoka ndiyo mtapata maji au umeme na huduma zingine? Matter of fact Bashite kafanya mambo ya msingi na makubwa ikiwemo ku initiate hospital ya kina Mama na watoto wakati wenye vyeti hawajahi kufanya chochote.

Mnaongozwa na Mange hadi mmekua kama mazezeta
Hivi hiyo pesa ya kujenga hospital mwenzetu umeambiwa imetoka wapi vile?
 
Huyo mwanamama ni mpuuzi tu, yeye anajifanya anataka freedom of speech ya kutukana matusi mazito. Ukimueleza ukweli kwa huo upuuzi anaofanya ana kublock, usiweze kuchangia chochote kwenye page yake.anachohitaji wachangiaji wake ni wale kila anachopost wanashangilia tu na kumpa misifa ya kijinga. Sasa ikiwa yeye anakwazika kwa kuambiwa ukweli kwa matusi anayopost, iweje anajifanya anataka uhuru wa kuongea na kujieleza hali ya kuwa kwenye page yake anawashughulikia wanaokuwa na fikra zinazotofautiana zidi yake? Ni mchochezi tu huyo mama, nilikuwa nakubaliana naye mwanzoni na hoja zake, ila tangu aniblock kwa kumwambia aache upuuzi wa kuandika matusi mazito badala yake aweke hoja zenye mashiko, nimegundua ni mnafiki haamini kwenye hiko anachoita freedom of speech in Tanzania, ila ni mnafiki tu na mchochezi
 
Kama ni hivyo hata wewe sio jasiri, mbona unajiita e2n? Jina gani lina namba?
Analeta itikadi za yule mama wa mjengoni kutaka kukataza mbunge asitumie lugha ya kiingereza na kiswahili kwa wakati mmoja, halafu yeye mwenyewe katika maelezo yake akachanganya lugha actually...
 
Aje kuongelea hapa hapa kwani yy hana kazi ya kufanya marekani? tambua yy ni mkazi wa huko lazima aongelee huko huko alipo kwani ujasiri lazima uwepo Tanzania? Watanzania wangapi wapo nje wanakerwa na udikteta wa kumkumbatia Daud bashite lakini hawathubutu kusema kitu, Vijana hawajawadharau viongozi bali tabia zao za kukumbatia Uovu ndizo huwafanya kudharaulika, heshima zipo kwa wale viongozi wanaojiheshimu tu, isipowaheshimu watanzania hakuna atakayekuheshimu dawa ya moto ni moto, wameamua kumkumbatia Daud bashite asiye na vyeti huku wafanyakazi wengine wakiwa wamefukuzwa kazi wanateseka mitaani alafu mnataka mheshimiwe kwa lipi? Ebu mfukuzeni Daud bashite muone heshima zenu zitavyorejeshwa kwa kasi.
Kwahiyo tatizo ni Bashite, kusingekuwa na Bashite harakati zake zisingekuwepo? "Note your words"
 
Kiukweli unakuta Kuna watu na elimu Yao wanangoja kulishwa matango pori na huyo mange,,, hii inaonyesha watu wengi ni wavivu kufikiri na kutasimini mambo, hususani vijana akisikia kitu anadakiya bila kuangalia je ni kweli au sahihi,,,, vijana WA mitandao tufikirie vitu kabla haujalikubali tango poriii
 
Mnamuita Mange malaya. Umalaya wake una impact gani kwenye maisha yenu? Kanunueni K yake kama mnataka. Mwache atupe raha..tunataka habari hasa kuhusu uchafu wa nchi hii, mabeef yake binafsi na watu wengine hayatuhusu...watajua wenyewe. Ziwe ni za ukweli au za uongo tutachuja wenyewe. Ni mtanzania pekee anayeweza kuikosoa serikali..wengine tumebaki kulalamika chini chini. Live Long Mange...watakuelewa tu!
 
Anayoyaongea mange yote ni ya kweli. Yule mama ni mwanamke wa shoka. Shujaa. Hii teknolojia ndiyo imesaidia watu kupata info na serekali ya ccm wanashindwa kuidhibiti. Hongera mange. Nkijaliwa kupata mtoto wa kike nitampa jina la mange.
 
Acha kuongea kama kahaba wewe! Anayoyaongea mange yote ni ya kweli. Yule mama ni mwanamke wa shoka. Shujaa. Hii teknolojia ndiyo imesaidia watu kupata info na serekali ya ccm wanashindwa kuidhibiti. Hongera mange. Nkijaliwa kupata mtoto wa kike nitampa jina la mange.
Hizi ndo athari za mange kimambi,vijana wengi wanafunzwa lugha zisizokuwa na staha kule na huyo mchochezi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom