Aje kuongelea hapa hapa kwani yy hana kazi ya kufanya marekani? tambua yy ni mkazi wa huko lazima aongelee huko huko alipo kwani ujasiri lazima uwepo Tanzania? Watanzania wangapi wapo nje wanakerwa na udikteta wa kumkumbatia Daud bashite lakini hawathubutu kusema kitu, Vijana hawajawadharau viongozi bali tabia zao za kukumbatia Uovu ndizo huwafanya kudharaulika, heshima zipo kwa wale viongozi wanaojiheshimu tu, isipowaheshimu watanzania hakuna atakayekuheshimu dawa ya moto ni moto, wameamua kumkumbatia Daud bashite asiye na vyeti huku wafanyakazi wengine wakiwa wamefukuzwa kazi wanateseka mitaani alafu mnataka mheshimiwe kwa lipi? Ebu mfukuzeni Daud bashite muone heshima zenu zitavyorejeshwa kwa kasi.