Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Twambie anafanya kazi gani maana kihelehele kama unamjua....yule kazi anayofanya ni 'umalaya' na hii inathibitisbwa na aina ya matusi anayoporomoshea watu inaonesha kuwa sio mzima...
Kazi ya Mangi Kinambi inakuhusu nini? Kwani anakula kwako?
 
Pia wakati Richmond wanawakamua watanzania sh152m kwa saa.mlikaa kimya kwa kuwa mlikuwa mnalipewa gawio Rc hana shida.shida ninyi hamtaki kuongozwa na mtu mnae0na kawapita kushoto.acheni ukandalizim
 
asilimia kubwa ya habari za Mange ni za kweli. mfano alisema, siku za nyuma kuna gari ford ranger Lebaharia alitangaza kwenye insta yake inauzwa na baadaye Bashite akainunua, baada ya kusema hivyo Lebaharia akakataa ford ranger ya Bashite na ile aliyotangaza inauzwa ni magari mawili tofauti, Mange akatoa ushahidi zaidi na Lebaharia akaumbuka.
 
We mwenyewe unaongelea humu jf ambapo all ur infos are confidential,unadhani kuikosoa serekali publically ni kazi rahisi???
Esp awamu hii ya wateka nyara???
Charity begins at home,anza ww ulioko hapa tz tuone ujasiri wako then ndio uje umshambulie Mange,usikute unemfollow kabisa na anakupasha habari vzr kuliko hata vyombo vya habari hapa nchini vinavyopindisha habari kwa kuiogopa serekali!

Me nachoona hapa watu wanajaribu kukomenti kichama na kiushabiki, kwa sababu tu mange amejikita katika ukosoaji wa upande mmoja ambao uko madarakani.

Pamoja na kuwa mange ana mapungufu yake kwq sababu mtu hawezi kuwa mkamilifu kwa asilimia zote lakini anajaribu kuwavisha watu miwani ili kuweza kuona baadhi ya mambo ambayo yako chini ya kapeti na yanafanywa na upande ule kwa faida yao ambayo hata haisaidii umma.

Na imeenda mbali zaidi hata hao upande fulani si wote wanafurahia yanayofanywa na chama chao kwa asilimia zote hivyo kupelekea wao kumtumia hyo mange kuwasaidia ukweli wao ukiwa unatokea mbali ya eneo la tukio(Tanzania).Na vitu anavyovisema ni vile vilivyotokea na tukaviona na kuvisikia ila sasa kuvisemea ukiwa eneo la tukio(TANZANIA)
ni issue hatarishi kama tunavoona wanavojaribu kuongea wanabinywa.
 
Pia wakati Richmond wanawakamua watanzania sh152m kwa saa.mlikaa kimya kwa kuwa mlikuwa mnalipewa gawio Rc hana shida.shida ninyi hamtaki kuongozwa na mtu mnae0na kawapita kushoto.acheni ukandalizim
asiyetaka RC aongoze ana matatizo, lakini asiyetaka RC atuoneshe cheti cha taaluma ana matatizo makubwa saana.
 
asilimia kubwa ya habari za Mange ni za kweli. mfano alisema, siku za nyuma kuna gari ford ranger Lebaharia alitangaza kwenye insta yake inauzwa na baadaye Bashite akainunua, baada ya kusema hivyo Lebaharia akakataa ford ranger ya Bashite na ile aliyotangaza inauzwa ni magari mawili tofauti, Mange akatoa ushahidi zaidi na Lebaharia akaumbuka.
asilimia 75 yuko sahihi kabisa ukiachana na masuala ya mipasho na wadada wenzie
 
Humu pia kuna wafuasi wake wasiojitambua!!!

Yaan jf ingelikuwa inaruhusu mada za kihuni na utovu wa nidhamu basi naamini mange angelikuwa anaongoza kwa likes nyingi kuliko wote humu!!!
 
Nyie mnaoongozwa na bashite mmeongezeka iq kiasi gani?

Hata ukiongozwa na genius/bashite akili zako hazifanani na kiongozi wako. Swala ni nini kafanya kwa nafasi yake. Hivi sio nyie mliolalamika kwamba wasomi hawasaidii taifa hili au mnataka kuongozwa na PHD ila maendeleo sifuri
 
Kweli..sisi ni wajinga..ila katufumbuwa macho wengi sana... Kwani pale ndy hasa BASHITE.. Alipopatikana.....NA ulikuwa unamjuwa BASHITE WEWE?na hata alivyoanza KUMTAJA BASHITE si alionekana CHIZI?leo imegundulika kumbe BASHITE KAFOJI KWELI.....uzuri wa huyu DADA anaongea na evedence....hapayuki tu.....yule haongei bila DATA...na anatupiwa na watu wa huku tanzania...na wapo watu kama wewe mnampa FALSE EVIDENCE.... na huwa ana CROSS CHECK kabla hajazitoa hewani
.maana kishajuwa kuna watu kama wewe mmetumwa kupotosha..ili ionekane anaongea UONGO......KWA wale wa LUMUMBA nina hakika HAMTAMUELEWA kamwe...LABDA YESU ASHUKE...sababu ANAPIGA PALE PALE kwenye KIDONDA KIBICHI....maumivu lazima

So baada ya Bashite kujulikana nini kimetokea? Maana Bashite bado ni RC anapiga kazi kama kawa na pesa anaingiza, ninachoona wafuasi wengi wa mange ni mbumbumbu wasio na kazi na wenye wivu wa kike. Itakua mnataka mtu mwenye PHD ndo awe RC hata kama hatofanya maendeleo yeyote.
 
Mkuu taarifa si wanatoa wale uliowavulia chupi? Kwani wewe unadhani Mange details anatoa wapi? Ni watu wanamtumia na yeye anaweka kwenye mtandao wake na 99% zinakuwa za kweli.

Hapo ndo tatizo lilipo unahakika gani kwamba mimi nimetembea na fulani kisa tu kasema nimetembea nae? So leo nikikwamba nimelala na Rihanna na mtu mwingine akatokea kusapoti madai yangu utaamini? Hii ni akili au matope

Nasema uelewa wa watanzania na uchambuzi wa mambo bado mdogo sana.
 
So baada ya Bashite kujulikana nini kimetokea? Maana Bashite bado ni RC anapiga kazi kama kawa na pesa anaingiza, ninachoona wafuasi wengi wa mange ni mbumbumbu wasio na kazi na wenye wivu wa kike. Itakua mnataka mtu mwenye PHD ndo awe RC hata kama hatofanya maendeleo yeyote.
Hayo ni matokeo ya SERIKALI za kiafrica..kimsingi ni suala la mange kimambi.... Kutufumbuwa macho..ni sawa na WEWE. UONYESHWE ANAYE KUGEGEDEA MKEO..na ukafanya uchunguzi unakuta ni kweli JAMAA ANAMGEGEDA.MKEO... Kwa hyo KUACHA MKEO NI JUKUMU LAKO...wewe mwenye mke... Ni sawa na issue ya BASHITE.. Tushajuwa Madawa nae yumo...vyeti fake yumo..MTOTO yumo...FISADI yumo....kwahyo jukumu la kumtoa pale alipo ni la MKUU..sio sisi wafuasi wa mimambi..na mbumbumbu ni wewe unaeshabikia UPUUZI...unaona kabisa MTU ANAPAPASA... UNAULIZA kama ana macho au kipofu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom