Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Nani mjinga zaidi Mange au watu wanaomchukulia Mange seriously.!?
Kweli..sisi ni wajinga..ila katufumbuwa macho wengi sana... Kwani pale ndy hasa BASHITE.. Alipopatikana.....NA ulikuwa unamjuwa BASHITE WEWE?na hata alivyoanza KUMTAJA BASHITE si alionekana CHIZI?leo imegundulika kumbe BASHITE KAFOJI KWELI.....uzuri wa huyu DADA anaongea na evedence....hapayuki tu.....yule haongei bila DATA...na anatupiwa na watu wa huku tanzania...na wapo watu kama wewe mnampa FALSE EVIDENCE.... na huwa ana CROSS CHECK kabla hajazitoa hewani
.maana kishajuwa kuna watu kama wewe mmetumwa kupotosha..ili ionekane anaongea UONGO......KWA wale wa LUMUMBA nina hakika HAMTAMUELEWA kamwe...LABDA YESU ASHUKE...sababu ANAPIGA PALE PALE kwenye KIDONDA KIBICHI....maumivu lazima
 
Bashite akitoka ndiyo mtapata maji au umeme na huduma zingine? Matter of fact Bashite kafanya mambo ya msingi na makubwa ikiwemo ku initiate hospital ya kina Mama na watoto wakati wenye vyeti hawajahi kufanya chochote.

Mnaongozwa na Mange hadi mmekua kama mazezeta
Nyie mnaoongozwa na bashite mmeongezeka iq kiasi gani?
 
Swali zuri Mange ni nani?? Jibu Mange ni mwanamke Jasiri anaejitambua Asiyependa kuona MTU anaonewa na kunyanyaswa, ni mwanaharakati wa ukweli Asiyemuogopa MTU yeyote,na Anatabia za kiume, Mange kimambi mmoja ni sawa na wanaume 20 wa DAR wale wanaowahi nyumbani saa12 jioni kwa kuwaogopa Panya_Road
 
Bashite angekuwa kwetu Uganda siku nyingi wangezaa nae ni ingekuwa story ingawa mnasema ni mchawi sana lakini hizo hirizi zake zingetenguliwa haraka na angelazwa chali atulie hospital kama miaka 4 hivi, huko Dsm naona mnamuogopa sana ilitakiwa mda huu awe kijijni koromije anavua samaki.
Mbona mmeshindwa kuzaa na Museveni?
 
Nenda insta utapata habari zake leo ni ligi yake na worper kuna michambo ya harari[emoji23][emoji23]
Umenifanya nihamishe makazi insta... Mange si wa sport sport!!! Si kwa kumuumbue mwenzake vile... Eti mnuka nyapu!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Athari ni kama hii umeacha shuhuli zako umefungua thread ndefu tu ya kumjadili.
Ni kweli Mkuu....Huyu mama ame na anatumika kuwafundisha vijana wengi UBAYA katika kuwaondolea MAADILI na UZALENDO wa nchi yao..

Wengi wanasahau kuwa yeye (Mange) ni MIGULU BAJA...Kwa maana yeye ni NDUMILA KUWILI...Mguu moja ndani mmoja kwa MZUNGU ALOSTO....

Kikiwaka hapa yeye hatokuwepo..
 
Wajinga ni wale wasiojirekebisha baada ya kukosolewa na mange, mfano issue ya kununua ndege wakati wagonjwa Muhimbili wanalala chini, shule hazina walimu wa kutosha na nyumba za kuishi watumishi wa shule na madaktari huku wasio na vyeti wakifukuzwa kazi lakini Daud bashite yy kabakia kazini, ni aina ya mifano inayompa nafasi mange kupata wafuasi zaidi kwani amethubutu kusema ukweli ingawa Serikali imeziba masikio hawataki kusikia kitu.
Mange ni nani awakosoe wajirekebshe? Acha upuuz likubwa mwili tu
 
Nadhani we we unafata mkumbo hebu ingia kwenye account yake uniambie anafanya kazi gani zaidi ya kulelewa na mzungu tu na mpaka mzungu kamchosha.
Liambie hlo, na anajisema mwenyew mahakama imemwambia atafte kaz
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Mange kuna mambo anayaongea ni u kweli mtupu japo kuna mengine anayajua yeye kifupi anathubutu anafaa kuwa mbunge au mkuu wa mkoa
 
Athari itakayo kuja kurokea kwa vijana ni kuporomoka kwa maadili katika upande wa matumizi ya lugha ya staha na badala yake wataona matusi ni jambo LA kawaida tu na unaweza kutukana bila shida.

Pili, vijana wanamezeshwa mbaya sana ya kutokuthamini juhudi za serikali na matokeo yake watakuwa watu wa kulalamikia tu serikali na kutaka vitu vinavyofanywa na serikali vifanyike haraka haraka au ghafla Bini vuu.

Vijana kutokuwa na hashima kwa viongozi wao wa serikali hivyo kufanya na kuzungumza watakavyo au wanavyofikiria bila kukumbuka kuwa mbona mange haongelei hapa nchini yuko marekani ndo anatupa madongo kwa mbali kama yeye jasiri kweli si angeongelea hapahapa.

Kwa Leo niongee hayo mafupi kwanza.
Aongelee bongo ili mumteke
 
  • Thanks
Reactions: e2n
we ng'ombe unaitaje miaka zaidi ya 50 ya ccm madarakani na kusema vijana wanataka maendeleo ya haraka haraka?
Acheni kupotosha jamii....
Kwani maendeleo ya watu yanahitaji kupigiwa debe ili wananchi wayaone?
Kwa nn kupiga mayowe badala ya kuacha wananchi wayaone wenyewe?
Elimu bure, walimu wa kutosha, soko la uhakika mazao ya kilimo, bashite kufungwa jela kwa kufoji vyeti na kuvamia kijeshi na kijambazi kituo cha tv, mafisadi kufunguliwa mashitaka kwenye mahakama ya mafisadi, maisha bora
Si ndo watu wwnyewe nyie msio elewa maisha ni nn mnakula na kulala sasa hayo matusi habu nenda kwa baba ako kamkosoe kwa kumtukana si ndo mnavyofundishwa na mange sio.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom