mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Kweli..sisi ni wajinga..ila katufumbuwa macho wengi sana... Kwani pale ndy hasa BASHITE.. Alipopatikana.....NA ulikuwa unamjuwa BASHITE WEWE?na hata alivyoanza KUMTAJA BASHITE si alionekana CHIZI?leo imegundulika kumbe BASHITE KAFOJI KWELI.....uzuri wa huyu DADA anaongea na evedence....hapayuki tu.....yule haongei bila DATA...na anatupiwa na watu wa huku tanzania...na wapo watu kama wewe mnampa FALSE EVIDENCE.... na huwa ana CROSS CHECK kabla hajazitoa hewaniNani mjinga zaidi Mange au watu wanaomchukulia Mange seriously.!?
.maana kishajuwa kuna watu kama wewe mmetumwa kupotosha..ili ionekane anaongea UONGO......KWA wale wa LUMUMBA nina hakika HAMTAMUELEWA kamwe...LABDA YESU ASHUKE...sababu ANAPIGA PALE PALE kwenye KIDONDA KIBICHI....maumivu lazima