Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
USHAURI MMEOMBWA.? Si muwashauri ndugu zenu? Kuna ulazima gani nyie kungangania kumshauri mtu asietaka ushauri wenu? Mi hata siwaelewagi.

na kusifiwa kaombwa?kwa nini anatak kuabudiwa km Mungu mtu ukimshauri vtu vya maana anakublock nyie ndo mnachonjq mnaomtetea ujinga wake....!
Hakuna marefu yasiyo na ncha
Ama kweli kisoma kuelewa kukesha mbwembwe....!
 

mimi kinachonifurahisha leo id ya mange kimambi hapa jf nitaugunduwa leo.

nina popcorn za kutosha na Coca-Cola light.
 
 
Tunakoelekea na hili jukwaa la celebrity naona invisible mngeanzisha tu jukwaa jipya La mipasho,tarabu,vigodoro,michambo,mishushuo.....nk..lol..jukwaa linapoteza "ladha" yake....
 
Tunakoelekea na hili jukwaa la celebrity naona invisible mngeanzisha tu jukwaa jipya La mipasho,tarabu,vigodoro,michambo,mishushuo.....nk..lol..jukwaa linapoteza "ladha" yake....

Hahhhjhhaaaa yaan nimechekaaaa looo
 
Men are from mars earth and women are from venus earth.
Discuss with some vivid examples.
 
MWENYEW ALINIJAMBISHAAAA MPAKA NIKARUDI SKULI UNADHANI.? Pale ni SUVIVOR OF THE FITTEST! Sasa mtu akiona ligi ya mule nzito ndo anageuka hater! Ila ukikaa mule positively unapata inspiration ya kutosha.
 
Kama sio yatima SHUKURU MUNGU SIO KUMSEMA YATIMA WA MUNGU KWAMBA SIO WA KWANZA DUNIANI! Hakupenda awe hivo, aliekupa wewe wazazi ndo kamnyima yeye wazazi wenye maisha marefu.

kwani huwa kunakuwa na yatima wa Shetani??????

ila wale walipenda kuzaliwa na pua kubwa.., kuwa na miili. minene...
 
HII FALSAFA YA MJINGA NA MNYONGE KUKAA ANATUKANWA, FAMILIA YAKE INATUKANWA BILA SABABU WAKATI MATUSI NI BURE HAYAUZWI DUKANI!
Watu wakikuchokonoa wachoke na mjiti kabusaa sio tu madole ndo wanatia akili. Ukiwaachia watachukua godoro kabisaaa wakulale kichwani! AN EYE FOR AN EYE ndo lugha watu wanayoielewa! Kama chaga bibi toka aambiwe PAPA LAK LITAWEKWA MULE UTURN KANYOOKA KAMA PIGWA PASI ALIKUWA ANAJIUMUA KAMA KATIWA HAMIRA!
 

yaani umeona eeh!ndo mana wale wanaojielewa mf.shamim hakumguna wala kumtukana kapiga kimyaaaa...
Lile no tusi kubwa sanaa kwa mrs water mark baas tu
Kajimaliza ila yeye mi ndo nashindwa kumshangaa ana binyi mkubwa kidogo kazaa na Frank machozi tena wa nje ila hamna anaemtukana ila ye kutwa kuwaambia wenzie wana watoto wazinzi aisee anawatengenezea watoto maisha mabaya sana...!
Ye hilo halijui ye anajua kuchamba tu so the meaning of beinv educated nini?!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…