Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.

halafu watu wanamsupport tena kwa fake identity wakijua watoto wao hawatajulikana na public. ye watoto wako wanajulikana ka viatu vya mchina kariakoo. angejua hawampendi anaekupenda atakushauri ukae mbali na hatari sio uisogelee
 

ndio hapo jamii ilipozidi kumshangaa alimnanga huyo chaga bebi akasema CASE CLOSED Mara huyo akaibuka kama nyangumi na huyo souzy na kuanza kuwananga hadi. marehem... sa hivi tutaanza kuogopa kupiga picha na marafiki sasa...... maana hadi third party utachambuliwaje....

akitaka asichukiwe akaishi sayari ya Pluto huko atakua mwenyewe hakuna atakaembugudhi... kwani wengine hawachukiwi hawasemwi vibaya wanasemwa but they know how to handle their cases.....,
 
Mange SI CELEBRITY NI BLOGGER ili umjue ana media platform 1 tu ambayo unaweza kuiavoid nayo ni BLOG YAKE. Sio kama msanii usipomsikia redioni basi utamuona kwenye tv. NO. Wala haombi publicy au kufanya promo. Anaishi maisha yake ndani ya blog yake. Hupendi USIINGIE KWENYE BLOG.

Product alishatoa maelezo na EMAIL iko uturn aliyomuomba huyo mnungu wafanye business, na kakubali kosa lake ni kutosubiri reply ya mnungu. MNUNGU HAKUWA HONEST KUWA ALIOMBWA KWA EMAIL KUTUMIKA KAZI ZAKE, alijifanya as if hajui lolote! Sio haki. NA WALIOSHABIKIA INAWAHUSU NINI KUSHADADIA BIASHARA YA MWENZAO IPATE BAD REPUTATION NA KUMCHAMBA! NDO MIPAPA YAO KUWEKWA NA WANAWAO KUWEKW WANAUZA BAR NEW YORK WANAANZA KUWAYA WAYA!
 

ILA MDA WA KUCHAMBUA WAUME WA WENZIO UNAO EEEEEEEH! Hahaaaaaaa! Mkuki kwa Mange kwako mchungu!
SINCE YA MUMEO UMESHINDWA KUYAWEKA HAPA YA MZUNGU MUACHIW MZUNGU BORESHA YAKO MAMA!
 

kwa chaga bibi hajamkoa ndio kwanza kamtafutia soko coz yule ile ni biashara kwake hajafanya kitu pale. siku ile alivyowapa evidence na kukiri kuwa haraka ya biashara ilimfanya aweke ile pic ilitosha kabisa. sasa anavyozidi kuuwekea mafuta huu moto hautaisha watazidi kumuandama tu kila siku watakuwa wanatafuta wapi amejikwaa
 

Nilimpenda Mange Ila Kwa Comment Yako Nimekupenda Wewe Zaidi,.....
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa! KABLA HUJAMUONGELEA MWENZIO TOA KWANZA CREDENTIALS ZAKO ILI TUONE AQUISATION UNAZOMRUSHIA MANGE ZINA HOLD.?

Ni swa na mahakamani Chizi akisema flani mwizi haipewi uzito kama Padri wake anaemuungamisha akisema flani mwizi. Cc lawyer Rutashobolwa ! Msitumi kujificha nyuma ya keboard na kurusha mawe. Play fair n square.
Kma mie Mume sina. Nambembeleza Matola anioe siwezi sema Mume wa flani lofaa, hana kitu wakati mie mume sinaaa! IT DOESNT MAKE SENSE NI MANENO YA MKOSAJI TU.
 
Last edited by a moderator:

Heheheh akikujib sijui atajb nn mama mamasters
 
Last edited by a moderator:

Ndo tatizo la shoga yako kimbelembele na umaarfu kunuka....!!!!
Angesubiri angepungukiwa nini?!!!!
Tatizo ana haraka km uharo wa kuku wa asubuhi
Enhee...hao aliowaumbua pale mi sijaona jipya maana huyo linda kashamsakamia sana wanawee
Huyo starlisha mi nshazoe kumuona uchi!!!mi sionagi km anavaa nguo
Enheee ye mrs mzungu pedejee mbona kakurupuka hadi kaiba...?!!
Maisha magumu kaona kuchelewa kujibiwa pumbav zakeee...
Na watu wakamlipua na wao km mbwai iwe mbwai
Shost macho yakamtoka km mjusi vile...!
Mgazeti huoooo...!!!
Ninin mama....???
Kitu gank...?Relax upewe za uso mwizi mkubwa weeee...!
 
Mwamy,KIK,Shamimu,Shigongo na wengine kibao wote wanamuonea wivu Mange kwa kipi hasa au kwa utajiri gani aliokuwa nao....yani nilikuwa namuona Mange ni mtu wa maana sana ila nimemshusha thamani sabb mtu mwenye busara huwezi kugombana na watu wewe tu halafu unasema wanakuanza ni kitu kisichowezekana...halafu cha kushangaza yeye anajiona ni mtu wa maana sana katika jamii ama kweli -------- hujiona mwenye hekima mbele ya macho yake mwenyewe maana mtu mwenye hekima hata kama umekosewa huwezi kutumia lugha chafu za matusi na kumdhalilisha mtu hadi waliotangulia mbele za haki kama anavyofanya Mange sasa elimu yake imemsaidia nini mbona afadhali hata wasoenda shule wapo wengi sana wenye hekima zao pamoja ya kwamba hawajasoma....Hivi kweli anathubutu kusema Mungu ndiye anayempa nguvu ya kushindana na adui zake ni Mungu wawapi anayesema utukane watu na kuwadhalilisha
 

yaani umenena..... anatatizo la short temper hafu anataka kufurahisha dunia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…