Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
halafu watu wanamsupport tena kwa fake identity wakijua watoto wao hawatajulikana na public. ye watoto wako wanajulikana ka viatu vya mchina kariakoo. angejua hawampendi anaekupenda atakushauri ukae mbali na hatari sio uisogelee
Nitakutafuta,, sawa?
mi sijamwelewa ufafanuzi pls
nitakupa jibu next weekend kuna kijiji huwa nakwenda ndio yuko huyo mzee mwenye dawa ya pumu, natumaini atakuwa bado yuko hai.
msaidie rafiki yangu Tatiana
Hahaaaaa! Nishamuomba Shamim radhi na kuahidi kutomuandika humu tenaaa, mbuzi pita sina mkuki mieeee!yaani umeona eeh!ndo mana wale wanaojielewa mf.shamim hakumguna wala kumtukana kapiga kimyaaaa...
Lile no tusi kubwa sanaa kwa mrs water mark baas tu
Kajimaliza ila yeye mi ndo nashindwa kumshangaa ana binyi mkubwa kidogo kazaa na Frank machozi tena wa nje ila hamna anaemtukana ila ye kutwa kuwaambia wenzie wana watoto wazinzi aisee anawatengenezea watoto maisha mabaya sana...!
Ye hilo halijui ye anajua kuchamba tu so the meaning of beinv educated nini?!!!!
Usiutaje huo ugonjwa unamtesq baba yangu balaaa
ndio hapo jamii ilipozidi kumshangaa alimnanga huyo chaga bebi akasema CASE CLOSED Mara huyo akaibuka kama nyangumi na huyo souzy na kuanza kuwananga hadi. marehem... sa hivi tutaanza kuogopa kupiga picha na marafiki sasa...... maana hadi third party utachambuliwaje....
akitaka asichukiwe akaishi sayari ya Pluto huko atakua mwenyewe hakuna atakaembugudhi... kwani wengine hawachukiwi hawasemwi vibaya wanasemwa but they know how to handle their cases.....,
msaidie rafiki yangu Tatiana
umewahi kusoma Chemistry....
kuna kitu kinaitwa "catalyst" sasa wewe tunaweza kukuita hivyo kuwa ni "catalyst"
hahaaaa wanajulikana kama viatu vya mchina kariakoo.....
wale huwa wanasifia ujinga mie niliblockiwa eti nimezidi negativity..... ko kule ni kusifia kwenda mbele
BTW ishu ya kumnanga founder wa Jf imenisikitisha sana.... that bitch....
Hahaaaaa!!!
Kweli ni catalyst! Maana yuko busy ku speed up mjadala!!!
Nilimpenda Mange Ila Kwa Comment Yako Nimekupenda Wewe Zaidi,.....
Hahahaaaaaaa! KABLA HUJAMUONGELEA MWENZIO TOA KWANZA CREDENTIALS ZAKO ILI TUONE AQUISATION UNAZOMRUSHIA MANGE ZINA HOLD.?
Ni swa na mahakamani Chizi akisema flani mwizi haipewi uzito kama Padri wake anaemuungamisha akisema flani mwizi. Cc lawyer Rutashobolwa ! Msitumi kujificha nyuma ya keboard na kurusha mawe. Play fair n square.
Kma mie Mume sina. Nambembeleza Matola anioe siwezi sema Mume wa flani lofaa, hana kitu wakati mie mume sinaaa! IT DOESNT MAKE SENSE NI MANENO YA MKOSAJI TU.
Unasahau swala la mbolea kuwa MANGE ALIANZA KUBLOG MAISHA YAKE KABLA YA FOLLOWERS. Asingehitaji publicity asinge blog! She is fine with the publicity ndo maana with beef or without anawekaga familia yake. Kwenye blog. So watu tucomment tusicomment yeye ashaweka!halafu watu wanamsupport tena kwa fake identity wakijua watoto wao hawatajulikana na public. ye watoto wako wanajulikana ka viatu vya mchina kariakoo. angejua hawampendi anaekupenda atakushauri ukae mbali na hatari sio uisogelee
Mange SI CELEBRITY NI BLOGGER ili umjue ana media platform 1 tu ambayo unaweza kuiavoid nayo ni BLOG YAKE. Sio kama msanii usipomsikia redioni basi utamuona kwenye tv. NO. Wala haombi publicy au kufanya promo. Anaishi maisha yake ndani ya blog yake. Hupendi USIINGIE KWENYE BLOG.
Product alishatoa maelezo na EMAIL iko uturn aliyomuomba huyo mnungu wafanye business, na kakubali kosa lake ni kutosubiri reply ya mnungu. MNUNGU HAKUWA HONEST KUWA ALIOMBWA KWA EMAIL KUTUMIKA KAZI ZAKE, alijifanya as if hajui lolote! Sio haki. NA WALIOSHABIKIA INAWAHUSU NINI KUSHADADIA BIASHARA YA MWENZAO IPATE BAD REPUTATION NA KUMCHAMBA! NDO MIPAPA YAO KUWEKWA NA WANAWAO KUWEKW WANAUZA BAR NEW YORK WANAANZA KUWAYA WAYA!
mpwa tuko pamoja, yule mzee kama yuko hai mbona atapona kabisa.
mimi ilishanipata miaka mingi nyuma na nimepona kabisa, na kwa sababu hii huwa ni kama inaambukiza kifamilia mtoto wa marehemu kaka yangu naye imempata pumu lakini sasa hivi yuko fresh. dawa za hospital ni kupoteza muda wako tu.
Lakini una kubaliana kuwa Mange ni mtu maarufu hivyo ni swala la kawaida kwa watu wa aina hiyo kudadisiwa maisha yao na hakuna tatizo kwenye hilo? Pengine Mange hajui matokeo ya kuwa maarufu?
mpwa tuko pamoja, yule mzee kama yuko hai mbona atapona kabisa.
mimi ilishanipata miaka mingi nyuma na nimepona kabisa, na kwa sababu hii huwa ni kama inaambukiza kifamilia mtoto wa marehemu kaka yangu naye imempata pumu lakini sasa hivi yuko fresh. dawa za hospital ni kupoteza muda wako tu.