Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
halafu watu wanamsupport tena kwa fake identity wakijua watoto wao hawatajulikana na public. ye watoto wako wanajulikana ka viatu vya mchina kariakoo. angejua hawampendi anaekupenda atakushauri ukae mbali na hatari sio uisogelee

hahaaaa wanajulikana kama viatu vya mchina kariakoo.....
wale huwa wanasifia ujinga mie niliblockiwa eti nimezidi negativity..... ko kule ni kusifia kwenda mbele

BTW ishu ya kumnanga founder wa Jf imenisikitisha sana.... that bitch....
 
yaani umeona eeh!ndo mana wale wanaojielewa mf.shamim hakumguna wala kumtukana kapiga kimyaaaa...
Lile no tusi kubwa sanaa kwa mrs water mark baas tu
Kajimaliza ila yeye mi ndo nashindwa kumshangaa ana binyi mkubwa kidogo kazaa na Frank machozi tena wa nje ila hamna anaemtukana ila ye kutwa kuwaambia wenzie wana watoto wazinzi aisee anawatengenezea watoto maisha mabaya sana...!
Ye hilo halijui ye anajua kuchamba tu so the meaning of beinv educated nini?!!!!
Hahaaaaa! Nishamuomba Shamim radhi na kuahidi kutomuandika humu tenaaa, mbuzi pita sina mkuki mieeee!
 
ndio hapo jamii ilipozidi kumshangaa alimnanga huyo chaga bebi akasema CASE CLOSED Mara huyo akaibuka kama nyangumi na huyo souzy na kuanza kuwananga hadi. marehem... sa hivi tutaanza kuogopa kupiga picha na marafiki sasa...... maana hadi third party utachambuliwaje....

akitaka asichukiwe akaishi sayari ya Pluto huko atakua mwenyewe hakuna atakaembugudhi... kwani wengine hawachukiwi hawasemwi vibaya wanasemwa but they know how to handle their cases.....,

Kweli kabisa km kpnd anamnanga shamim kwa kumuita MRS SEMBE DAAH!
Afu hakumkohoa wala kumguna mwenzie ndo kwanza anazid kujenga jina kichanya zaidi!
Ye watu wanamshauri ujinga hajiulizi why people wanamchukia hana shoga hana rafiki,
Maisha yake ameyakim kardashian zaidi ya uhalisia!Acha apondwe tu!
 
msaidie rafiki yangu Tatiana

mpwa tuko pamoja, yule mzee kama yuko hai mbona atapona kabisa.

mimi ilishanipata miaka mingi nyuma na nimepona kabisa, na kwa sababu hii huwa ni kama inaambukiza kifamilia mtoto wa marehemu kaka yangu naye imempata pumu lakini sasa hivi yuko fresh. dawa za hospital ni kupoteza muda wako tu.
 
Hahahaaaaaaa! KABLA HUJAMUONGELEA MWENZIO TOA KWANZA CREDENTIALS ZAKO ILI TUONE AQUISATION UNAZOMRUSHIA MANGE ZINA HOLD.?

Ni swa na mahakamani Chizi akisema flani mwizi haipewi uzito kama Padri wake anaemuungamisha akisema flani mwizi. Cc lawyer Rutashobolwa ! Msitumi kujificha nyuma ya keboard na kurusha mawe. Play fair n square.
Kma mie Mume sina. Nambembeleza Matola anioe siwezi sema Mume wa flani lofaa, hana kitu wakati mie mume sinaaa! IT DOESNT MAKE SENSE NI MANENO YA MKOSAJI TU.

Mimi sio maarufu lara kipi huelewii,tunaongelea Mange umeweka thread ya Mange jibu kuhusu Mange sisi sio maarufu tukitaka umaarufu tutajadiliwaa

Umesema wanamuonea wivu kwa lipiii??? Mme mzungu au dudu yake ya dukani au kwa vile hawatahiriwi govi ndio linaonewaa wivu,
We muelezee sie tukuulizee we si unamjuaa sasa utaanzaje linganisha na ambao hawajulikanii
Ngoja narudii Halaf Mange mshamba kwelii anawashika masikio team yake eti ........ yanamsaka yampe mkopo bla bla wakati Us kila mtu hayo makaratasi ya mkopo hupewaa ye kaona big deal lo kawaida sanaaaaa sanaaa bado Hajanishika masikio na master yake ya Dubaiii
 
Last edited by a moderator:
halafu watu wanamsupport tena kwa fake identity wakijua watoto wao hawatajulikana na public. ye watoto wako wanajulikana ka viatu vya mchina kariakoo. angejua hawampendi anaekupenda atakushauri ukae mbali na hatari sio uisogelee
Unasahau swala la mbolea kuwa MANGE ALIANZA KUBLOG MAISHA YAKE KABLA YA FOLLOWERS. Asingehitaji publicity asinge blog! She is fine with the publicity ndo maana with beef or without anawekaga familia yake. Kwenye blog. So watu tucomment tusicomment yeye ashaweka!
 
Mange SI CELEBRITY NI BLOGGER ili umjue ana media platform 1 tu ambayo unaweza kuiavoid nayo ni BLOG YAKE. Sio kama msanii usipomsikia redioni basi utamuona kwenye tv. NO. Wala haombi publicy au kufanya promo. Anaishi maisha yake ndani ya blog yake. Hupendi USIINGIE KWENYE BLOG.

Product alishatoa maelezo na EMAIL iko uturn aliyomuomba huyo mnungu wafanye business, na kakubali kosa lake ni kutosubiri reply ya mnungu. MNUNGU HAKUWA HONEST KUWA ALIOMBWA KWA EMAIL KUTUMIKA KAZI ZAKE, alijifanya as if hajui lolote! Sio haki. NA WALIOSHABIKIA INAWAHUSU NINI KUSHADADIA BIASHARA YA MWENZAO IPATE BAD REPUTATION NA KUMCHAMBA! NDO MIPAPA YAO KUWEKWA NA WANAWAO KUWEKW WANAUZA BAR NEW YORK WANAANZA KUWAYA WAYA!

Lakini una kubaliana kuwa Mange ni mtu maarufu hivyo ni swala la kawaida kwa watu wa aina hiyo kudadisiwa maisha yao na hakuna tatizo kwenye hilo? Pengine Mange hajui matokeo ya kuwa maarufu?
 
mpwa tuko pamoja, yule mzee kama yuko hai mbona atapona kabisa.

mimi ilishanipata miaka mingi nyuma na nimepona kabisa, na kwa sababu hii huwa ni kama inaambukiza kifamilia mtoto wa marehemu kaka yangu naye imempata pumu lakini sasa hivi yuko fresh. dawa za hospital ni kupoteza muda wako tu.

nitafurahi ukimsaidia mpwa....
ukimpata na mie uniambie for real
 
Lakini una kubaliana kuwa Mange ni mtu maarufu hivyo ni swala la kawaida kwa watu wa aina hiyo kudadisiwa maisha yao na hakuna tatizo kwenye hilo? Pengine Mange hajui matokeo ya kuwa maarufu?

Mange ni maarufu mtandao basii labda aimbe mziki atajulikana zaidii maana watanzania wengi hawaingii kwenye mitandao,na shigongo ashakataa kumtoa kwenye magazeti yakee
 
mpwa tuko pamoja, yule mzee kama yuko hai mbona atapona kabisa.

mimi ilishanipata miaka mingi nyuma na nimepona kabisa, na kwa sababu hii huwa ni kama inaambukiza kifamilia mtoto wa marehemu kaka yangu naye imempata pumu lakini sasa hivi yuko fresh. dawa za hospital ni kupoteza muda wako tu.

Nimrshatumia dawa za hosp mpaka nimechoka..

Kweli unachosema kwetu upande wa kina mama ndugu kibao wanao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom