Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
angekua hapumui tungekua tunaongelea habari nyingine sa hivi....tena habari mbaya sana inavyoonekana hatà maana ya kupumua huijui...... BRN inakuhusu.

haya kakojoe ulale....

mambo yako yamekushindwa kutwa kumsema sema mange, unatafuta nini kwenye blog yake kafie mbaliiii, hile ni blog yake anaposti anachotaka fungua yako na wewe
 
Watu wanaanzisha nyuzi JF wapate views kwenye Blog zao, hongera na mimi nimekuja huko nimeongeza traffic maana nilikua siijui . :ranger:
 
Mods naomba mfanye hivi vitu 3
1) Naomba muweke hii thread sticky
2) Naomba mu edit heading isomeke "Girls only"
3)Naomba mua appoint special Mods awe ana moderate hii thread
Asante .
Wako katika ujenzi wa jf.
 
Anajipa
Moyo eti"nimewachamba"anaogopa kibarua kitaota nyasi,sijaona lolote zaidi ya matapishi,,anazunguka huku mara kule hata aeleweki..bora angenyamaza kajipendekeza kubaya lara 1 leo umejizalilisha umekuwa lala 0

kweli leo lara 1 hata me sijamuelewa huwa namuonaga bonge la fighter. hajamchamba mtu hafu hapa hatuchambani tunapeana ukweli na uwazi.
 
We binamu uko busy na Wema/diamon/Kajala umbea wa wasomi /watoto class huuwezi nini? ahaa

Wasomi wa kina nani? Mange? Anayegombana na vishumundu na cheap people its soo sad kwa msomi kama mange, mbona jide ata shule hajaenda ila huwez kukuta hata siku moja et achambane na shilole kwanza kwa lip? Watagombania nn haswa kama sio jide kujishushia heshima, jide hajasoma ila kaweza kuitikisa clouds media group kampuni tata sana apa nchini na yenye nguvu zaidi nakumbuka pia alimchamba live january makamba yan she deals with classy n educated people, hiz ndo bifu za kisomi binamu ambazo mange angetakiwa ajifunze sio kugombana na local people kweny mitandao inamshusha sana, mi nilimdharau tu alivyogombana na sintah yan mange anapoteza kabisa mda kwa ajili ya sintah? Duh
 
Anakuzuga wewe au ni yeye anaishi maisha yake na wewe unaacha yako na kuanza kumfatilia eti ushauri ushauri my ass...ukiwa bar tender ugaibuni hakuna blow jobs unaonekana hujafika ...na ht akipiga hizo blow job wewe inakuhusu nini?stay in your lane...

Anadhani uhudumu Wa mbele ni sawa na huu Wa bar zetu huku dunia ya mia3?
Shame on her sijui ana mavi ubongoni huyu lara
 
Toto lake bayaaa, jeusiiii, km dumeee...anajitahidi kulivalisha halipendeziiii ( kama yeye anavyowasema wale wamama wa watu bila kosa....eti wamepauka kama wanakula cement..)

Ye mwenyewe ana sura mbayaaa, miguu kama anatembelea mikono...

Jamanii umenikumbusha kule udaku special Mange anachambwaa jamaniii eti" unasema wenzio wabaya we mbona domo kama hotpot hatusemi hm,bhoke mwenyewe sura kama anapigwa lipu "
Watu wana michambo jamaniiiii
 
Wasomi wa kina nani? Mange? Anayegombana na vishumundu na cheap people its soo sad kwa msomi kama mange, mbona jide ata shule hajaenda ila huwez kukuta hata siku moja et achambane na shilole kwanza kwa lip? Watagombania nn haswa kama sio jide kujishushia heshima, jide hajasoma ila kaweza kuitikisa clouds media group kampuni tata sana apa nchini na yenye nguvu zaidi nakumbuka pia alimchamba live january makamba yan she deals with classy n educated people, hiz ndo bifu za kisomi binamu ambazo mange angetakiwa ajifunze sio kugombana na local people kweny mitandao inamshusha sana, mi nilimdharau tu alivyogombana na sintah yan mange anapoteza kabisa mda kwa ajili ya sintah? Duh

Jaydee ni smart anajua anachokifanya, Mange ana watu anawaonea hawezi thubutu kugombana na classy people sababu wapo juu kumzidi, .
Anapenda maugomvi yasiyo na tija halafu anaona sifa.
Mimi Mange kwakweli nilikuwa namuadmire zamani lkn baadae nikagundua huyu mtu ana shida. Sisi hatujui maugomvi yao chanzo ni nini,lakini hata kama walimuudhi yeye angeact kisomi kama wenzake kina Mwamy,kiki,shamim etc sasa matokeo yake ye ndio anaonekana kama hana akili.
Anatakiwa ajifunze kujishusha/kuwa mjinga kitu ambacho Mange hataki.We kila mtu akikuudhi unaanzisha vita si utapigana na kijiji ,maana ubinadamu kazi.
 
mi sio public figure mjumbe wa nyumba kumi hanijui so cv yangu haina ushawishi am naishi peacefull sana details zangu zinabaki mali yangu ila za mange ni mali ya uma si umeyataka mwenyewe kuyaanika yaanike yote basi usiwe kigeugeui kama kobe unatoa kichwa mwili wauficha gambani hahahaha

Mama mamasters hajui hayo kwamba public figure details zake ni public and influential
 
Jaydee ni smart anajua anachokifanya, Mange ana watu anawaonea hawezi thubutu kugombana na classy people sababu wapo juu kumzidi, .
Anapenda maugomvi yasiyo na tija halafu anaona sifa.
Mimi Mange kwakweli nilikuwa namuadmire zamani lkn baadae nikagundua huyu mtu ana shida. Sisi hatujui maugomvi yao chanzo ni nini,lakini hata kama walimuudhi yeye angeact kisomi kama wenzake kina Mwamy,kiki,shamim etc sasa matokeo yake ye ndio anaonekana kama hana akili.
Anatakiwa ajifunze kujishusha/kuwa mjinga kitu ambacho Mange hataki.We kila mtu akikuudhi unaanzisha vita si utapigana na kijiji ,maana ubinadamu kazi.

I only wonder from primary to university ila mtu bado ana ji behave local n cheap like that, Elimu imemsaidia nini huyu? Au kujaza vyeti ndani tu maana sidhan kama hiyo elimu iliingia kichwan naona iliishia kwenye vyeti tu. Atleast she could beefing with watu ambao wanajielewa, sasa mange anagombana na akina sintah? Mbuta nanga? Halafu ndo msomi huyo tena anaishi ulaya anakaa kila kukicha kufuatilia maisha ya wabongo mbaya zaidi na matusi juu, anapata wap mda wa kutafuta picha za uchi za chagga barbie ili amuwek mitandaon? MUKE YA MZUNGU huyo, sasa angeolewa na akina muhogo mchungu sijui ingekuwaje
 
Kweli Mange Kimambi is something else aiseee!

Kweli wabongo majobless ni wengi hadi inatia huruma kudadekii!!
Hivi mtu mwenye hata banda lako la kuuza nyanya unaweza kupata muda kutoka kwako eti unaenda UDSM ku-cross check ili ulete facts JF za Mange Kimambi??.Hivi unaanzaje kwanza???,unalala huku ukijua kesho ratiba yako kutoka nyumbani hadi udsm au kupigia simu jamaa zako walioko pale wakupe hizo info, then unakuja jf unarusha mipwenti yako, washkaji wanakudunga mi likes ya kufa mtu,ofcoz huo uzi lazima muupeleke hadi page 700 maana u guyz gat all the time in d world,never busy, then u call it a day,usiku unalala mwenyewe ukiwa na tabasamu pana usoni.LOL.Kesho unaamka unaingia jf,kesho kutwa tena,monday to sunday,twenty four seven then its December,mwaka umekatika.
Hao naopoteza muda wenu kuwavunja moyo wanakua level zingine saa hizo ,hasa financialy,sisi wengine huku tunahesabu idadi ya likes daadekii!

PS:Sasa Sheikh hapo pa blue kuliko kuzurura ukitafuta umbea ambao hautakusaidia kwanini usizurure kutafuta ajira kiongozi wangu??

Damnnn!
So sad!

Do u think kila MTU no mwajiliwa au anafanya kazi kma ww?
Ache I kufananisha maisha
Ww mbn unapata muda Wa kuingia jf huna kazi za kufanya au?
 
Mama mamasters hajui hayo kwamba public figure details zake ni public and influential

Mmh huyo mange kusoma kote shule nzur ndan na nje ya nchi, kumaliza mastaz,kuolewa na mzungu na kuishi ulaya yani bado tu hajajitaid ku adopt some of the fruitful behaviour like ustaarabu? Na kuacha uswahili , halaf ndo tunaambiwa kaishi mbezi beach mmmh wonders shall never end in this land, na huyo mzungu kaz anayo we ngoja watamfuata mpak uko kwa mumew wamuonyeshe adabu
 
Yaan Lara huu uzi ungekua mzuri kama ungetujibu maswali yetu sio kupanik na kuanza kuchambaa ooo vinuka mkojo kwani Mange anakojoa soda au wine au hakojoi kabisaaa

Mi naona unachamba tu hujatuwekea fact hiz na hiz bali unasifiaa upuuzi tu sasa hivi Lance kahamia huoston kwao maisha taiti life gumu pamoja na umarekani original teh teh,#!!!

Halaf kuna watu washambaa yaan kutolewa out mnaona jambo kubwaaa wakati ni kawaida tu jamanii,Mange anavyopenda sifa angekua na mjengo wa maana angerusha picha na ingekua ni habarii mitandaonii, lakini sasa hata sitting room anaogopa kuipiga picha amekalia kupiga picha mahoteli tu hahhhhhhhhaahhhaa

Hana jipyaa hujaorodhesha mali alizonazo anazidiwa hadi na Kina Millen Magese, Us mambo magumu kama hujajipangaaa

Halaf wenye navyo kimyaa kina Klyn wametuliaaaa lakini mambo yao balaaaa, kina kapuku Mange kelele nyingiii, yaan Mange badoooo sanaa wa kawaidaa mnoi mzungu pori tu huyo aliempata haba pesaaa


Lara umeshindwa kujibu hoja zaidi unachamba tu yaan leo tumekufuta ukubwa la maaduii huuweziiii kabisaaa
 
JAMANI MIMI NALALA MCHANGO UMEISHIA HAPAAAAAA! Kesho siji wala nini na najua thread itafungwa!
TEAM USHUZ NAJUA THIS IS NOTH THE END, WE LIVE TO DIE ANOTHER DAY! TUNAPOZI HAPA ILI TUANZE THREAD INGINE YA MANGE KIMAMBI ANOTHER TIME ANOTHER DAY, ANOTHER SWAGGA!

Kama ilivo kawaida yangu Nichukue washa huu kuwaomba radhi colateral damage wote waliotumika kwenye hii thread,kina Linda Bedui, Sintah Mwalubadu, Staharisha, Leyla,Boke, Frank na mkewe, Mzungu wa watu maskini, Makongoro, Mali, advocate Zadock, Kiki, BABA MANGE, MAMA MANGE, Shammy, Mwammy ETC waliohusishwa kwenye huu uzi kwa namna yoyote either kwa kuwataja mie au walio comment MTUSAMEHE BUREEE na mtafute tu jinsi ya KUTUSAMEHE kwa niaba yawalio comment mimi muanzisha uzi naomba RADHI kwa niaba ya wote. Msituchukulie serious wala kukwazika kwa namna yoyote ile, hii ni furahisha genge tu. Maneno mengi humu hayana authwncity humu. JUST FIND IT IN YOUR HEART TO FORGIVE US UNGRATE FULL SOULS FOR INVVADING YOUR PRIVACYAND THE PRIVACY OF YOUR LOVED ONES! I PRAY FOR ME AND ALL OTHERS TUACHE UMBEA TUFANYE YETU AND LET YOU PEOPLE BE, LIVE YOUR LIVES IN PEACE! AMEN!

Unakimbiaaaa maana hujatujibu yaan kama ni mwanasiasa we bonge la ongo na mjanja maswali yetu hujatupa majibu
Pliz an plz. Mi namuomba Boss aje atujibu maana we kijakazi umeshindwaaaa kaziiii hufai kumjibia boss maana huna vielelezoo uknow mi Hujanishawishii Lara labda Aje Mange hapaaa
 
Wewe Mange kwa sie wambea wa mahakamani kashinda kesi ya mirathi mmmmmmmh! Angekuwa mmbea angsema ila kimyaaaaaa! Kina Jide ilikuwa choice yao kutangaza mali zao, yeye hajaamua. STAY TUNED atakuja siku kusema mimi naomba nisiseme mengi! JUST STAY TUNED! Mlisema KAWA DEPORTED US ATAIONA KWENYE TV TU YUPO WAPI SAIVI? Eeeh? SIO NYIE MLIJIAPIZA AKIKANYAGA MAREKANI SIO NYIE.? Ndo kahamia kabisaaaaaa! Hahaaaaa!
Lakini Jide hajarithi, usimlinganishe na Mrithi oyote.
 
Watanzania watu wabaya sana.
Eti watu wako tayari kusifia malaika wa miaka 20 kuuza bar kisa anaingilia ugomvi wa mtu wanayemuonea wivu.
Jamii forums ni ya great thinkers ila honestly kuna kundi la watu humu wana roho mbaya kama wachawi halafu hadi kuna wazee wenzangu kwenye hilo kundi kudadeki!
Kila anachoffanya Diamond lazima wakikosoe,kila anapopiga hatua lazima wajikusanye humu wamvunje moyo.Kuna kumkosoa mtu ili hili kundi la hawa wanga kazi yao ni moja tu,kuvunja moyo wakidhani wakifanya hivyo hao wanaowavunja moyo kwa kuwaita domo,sijui mama ubaya au sijui mwizi watashuka kuwa level zao.Wenzao ndio kwanza wanazidi kupanda.
Acheni wanga nyie mnajijua na kundi lenu mnatia aibu kila mwenye roho safi anajua nyie kundi lenu ni la watu wenye roho za kwanini.Kwanini Mange awe hivi,kwanini Diamond awe hivi.
Kila siku mpo hapa page kwa page bila aibu kuwavunja wenzenu moyo,yaani kila ukiingia jf hawa viumbe wapo busy hivi mna ajira nyie?Sidhani.
Mnatia huruma sana badala mtumie akili zenu kupanda juu nyie mnazitumia kujaribu kushusha waliopandishwa na Mwenyezi Mungu.
Mtawezea wapi.
Mtapika majungu sana ila hao mnaojaribu kuwashusha hawatashuka hata mfanyaje hadi siku Mungu atakapoamua kuwashusha.

We umefata ninii humu njoo tukuajirii maana nawe huna kaziii naonaaa, kanye tikitiii hukooooo mtaa wa 3
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom