Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Hahaa hilo neno tu MUKE YA....kalianzisha Mange MUKE YA MUZUNGU..Mange kawa affect kila sehemu lazima mshinde humu kumsakama.Chukua basi break kidogo ukasafishe ikulu ubadil na kuful ndo uje uendeleze majungu.

hakuna jambo baya kama kuishi kwa kufata mkumbo,na kuwa mtumwa wa binadamu mwenzio. kwahiyo mange ndio mwanzilishi wa lugha ya uswazi na vichombezo vyote.... dah kumbe kweli mtoto wa tandale. unajua watoto wa kishua hawajui hivyo vimisemo ila nenda tandale kwetu utasikia.muke ya fundi viatu... muke ya ...... sasa ye muke ya muzungu.....dah sio mrs tena.. jasiri haachi asili kwa kweli
 
Lara Can you explain kwa nini mtoto wake anasoma Charter school.Do you know the meaning of charter school .kunawakati alipost alipost mwanae amefanya vizuri .Unasemaje hapo

yaani watu kama ww ndio nilikuwa nawasubiri mlikuwa wapi jamani. haya lara 1 akupe jibu basi
 
hakuna jambo baya kama kuishi kwa kufata mkumbo,na kuwa mtumwa wa binadamu mwenzio. kwahiyo mange ndio mwanzilishi wa lugha ya uswazi na vichombezo vyote.... dah kumbe kweli mtoto wa tandale. unajua watoto wa kishua hawajui hivyo vimisemo ila nenda tandale kwetu utasikia.muke ya fundi viatu... muke ya ...... sasa ye muke ya muzungu.....dah sio mrs tena.. jasiri haachi asili kwa kweli

Hebu rudia tena kujieleza.
Ulikua unataka kusema nini.

Bora niendelee kuzinguana na rafiki yangu geniveros.
 
Last edited by a moderator:
Hebu rudia tena kujieleza.
Ulikua unataka kusema nini.

Bora niendelee kuzinguana na rafiki yangu geniveros.

teh teh teh teh huwezi kunielewa hafu mbaya zaidi sijui kuandika gazeti la rai ka mange.
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya Matola sitawsita tena majobless camp,nitawaita online business dealers Camp.
Mtaji simu faida likes:-\:O

Acha mara moja kulitumia jina langu vibaya nakueleza kutoka moyoni sipendi jambo hili na hili siyo jukwaa la jokes.

aliyeileta hii thread nina seriously relationship naye na pia hujawaona walio na mtazamo tofauti na Lara 1 hakuna hata mmoja aliyerusha personal attacks kwangu.

so stop this nonsense, mimi uzuri naelewa all this drama ninao muda wangu in private kumpa ushauri tu do and don'ts but/lakini sina uhalali wa kuingilia uhuru wake wa kutoa maoni bila kujali ni ya kijinga au mazuri.

mambo ya msondo muwaachie wenyewe, I will always set the record very clear and simply am a radical.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma discussion za mtanzania Mwenzentu ndugu yetu mange nimeshtushwa kusoma Kwenye blog yake mwenyewe kuwa mtoto wake anasoma charter school .charter school ni shule ya watoto ambayo wazazi wao maskini mnooo.

Serikali ndio inasaidia hapo Yaani hiyo charter school ili mtoto akubaliwe lazime awe Hana uwezo kabisa .Nimechanganyikiwa sielewi atakuwaje tajiri na wakati serikali na state imemkubali mwanae .

Pia hiyo shule Lazima ufanye vizuri usipofanya vizuri tu unafukuzwa.Huwezi ukawa middle class mtoto wako akasoma charter school.some thing is serious wrong here.USA education ni zip code .ukikaa Mwananyamala mtoto anasoma Mwananyamala huruhusiwi kumsomesha masaki unless ni private school .

Its hard kuwa accepted university kama umetoka charter school .
 
Lara Can you explain kwa nini mtoto wake anasoma Charter school.Do you know the meaning of charter school .kunawakati alipost alipost mwanae amefanya vizuri .Unasemaje hapo

hahahaha lara harudi tena hebu mwaga hapa hiyo maana lol
 
Haaaaaaaaaahaaaaaaa 🙂
Online business dealers.
Mtaji simu faida likes.
M.X.Z 🙂
 
Acha mara moja kulitumia jina langu vibaya nakueleza kutoka moyoni sipendi jambo hili na hili siyo jukwaa la jokes.

aliyeileta hii thread nina seriously relationship naye na pia hujawaona walio na mtazamo tofauti na Lara 1 hakuna hata mmoja aliyerusha personal attacks kwangu.

so stop this nonsense, mimi uzuri naelewa all this drama ninao muda wangu in private kumpa ushauri tu do and don'ts but/lakini sina uhalali wa kuingilia uhuru wake wa kutoa maoni bila kujali ni ya kijinga au mazuri.

mambo ya msondo muwaachie wenyewe, I will always set the record very clear and simply am a radical.

Mkubwa ww ndo ulianza kuniatack kwa ku quote coment nlokua namjibu mtu mwingine na kuandika utumbo.Kiherehere chako kimekuponza.Ulianza dharau sasa umekutana na mwenye kujua dharau zaid yako sasa unajigeuza victim.Na ww koma kujipendekeza kuni quote afu nikikupa za chembe unajigeuza victim.

Hahaaaaa.
Mtaji simu faida likes.
 
Huna mambo ya msingi ya kuchanganyikiwa hadi mambo binafsi ya mtu yakuchanganye????

Nimesoma discussion za mtanzania Mwenzentu ndugu yetu mange nimeshtushwa kusoma Kwenye blog yake mwenyewe kuwa mtoto wake anasoma charter school .charter school ni shule ya watoto ambayo wazazi wao maskini mnooo.serikali ndio inadaidia hapo Yaani hiyo charter school ili mtoto akubaliwe lazime awe Hana uwezo kabisa .Nimechanganyikiwa sielewi atakuwaje tajiri na wakati serikali na state imemkubali mwanae .Pia hiyo shule Lazima ufanye vizuri usipofanya vizuri tu unafukuzwa.Huwezi ukawa middle class mtoto wako akasoma charter school.some thing is serious wrong here
 
Ni vyema mkawa wakweli hata kama hamumpendi mtu fulani.

Si kila charter school ni mbaya. Na charter schools zote hazifanani.

Na kupata udahili kwenye hizo shule si lazima mtoto awe anatokea kwenye familia isiyojiweza kabisa.

Bofya hapa kupata FAQs za charter schools.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom