ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Si vizuri kuwachanganya watoto kwenye masuala yenu ya msutano. Tuact kama watu smart jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kitobo unayefanya kazi unafuata nn humu? Eti ma jobless hyo jobful yako iko wap mpak sasa ivi unahaha kutafuta dudu humu? yani we kahaba Wa kizee nitafungua account mia kwa ajili yako ili tu nikuonyeshe hii sio blog ya mmachinga wenu, upuuz wenu peleken uko kweny blog yake
Sipati picha angepewa uzuri wa haja mbona tungejificha kwenye mahandakihahahaaa...!watu mna maneno jamani
mbele hachezi nyuma hatikisiki
yupo yupo tu km picha ukutani...!
hana shoga han rafiki
shoga zake anonimas..!
Im ready beibe.
Haya nimalize.
Hahaha aaa.
Copryt mama yake hadi miguu
Aisee...Copryt mama yake hadi miguu
Sipati picha angepewa uzuri wa haja mbona tungejificha kwenye mahandaki
Copryt mama yake hadi miguu
mine please itoeni picha jamani mwenzenu namuonea huruma
UCHUNGU WA MWANA JAMANI TAFADHILINI JAPO MANGE SIMPENDI MAMBO YAKE NAWAOMBA!!!
Your going too far remove the pictures.
mine please itoeni picha jamani mwenzenu namuonea huruma
UCHUNGU WA MWANA JAMANI TAFADHILINI JAPO MANGE SIMPENDI MAMBO YAKE NAWAOMBA!!!
Eti tunawaita majobless halafu tunashinda hapa na nyie!!Nani ashinde hapa na majobless!!angarien vizur muda wenye shughuli zetu tumeingia na muda nyie majobless mmelala jana na muda mmeingia hapa leo.Eti Gmt,sasa nyie mnafanya kaz/biashara saa ngap ilhal,jana nzima mko hapa hadi usiku,na leo tena hao mmejikusanya mmeshinda hapa na mtalala hapa na mtsamkia hapa,au nyie siku moja ina 72 Hours,maana kama n 24 hrs bas mmh ujobless ni mzigo.
Sishangai mkitumia muda mwingi kuharibia wenzenu shughuli zao sbb nyie niii
Mtaji Simu mapato likes.
Mtoa mada tafuta kazi ufanye hata Mange akijulikana ni maskini haitakufanya ww tajiri.
Mtaji simu........
Maria Roza imaney kipps njoon muoneambo huku shoga yenu mnaemuonea wivu kazi kuvaa mawigi na miwan mikubwa halaf mtoto anasoma st kayumba za Marekani, Kim nana TATIANA Lady kim ICHANA Mrembo by Nature
Teh teh miss neddy njooni
Na Geniverus
Asante shosti haahahhah mawigi yenyewe ya 15 dola anakuja wadanganya wajinga wenzie hahahah
Duhh ndio natinga Pande hiiMaria Roza imaney kipps njoon muoneambo huku shoga yenu mnaemuonea wivu kazi kuvaa mawigi na miwan mikubwa halaf mtoto anasoma st kayumba za Marekani, Kim nana TATIANA Lady kim ICHANA Mrembo by Nature
Teh teh miss neddy njooni
Na Geniverus
Hehehe this bitch got no class at all, she isn't what she claims to be. mangireza u brag a lot, my husband this my husband that, me this me that....okay where is it (kiko wapi)???? Kichambo hakinogi kwa kiinglish hehehe siku hizi no mitoko naskia wamefulia haswaaaaaaaaaa Ndo maana ashaanzana na belo
View attachment 172683View attachment 172684
Lidada libaya hilo:A S 109:Ila kwa upande wa fito mnamuonea mbona ana miguu minene tuu
View attachment 172683View attachment 172684
Lidada libaya hilo:A S 109:Ila kwa upande wa fito mnamuonea mbona ana miguu minene tuu