Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Siku AKIWATUKANA WAKUU WA JESHI LETU LA JWTZ MNISHTUE NIKATEMBELEE PAGE YAKE. Maana kuna mmoja kasema haijalishi kama umemchokoza au la yeye akiamua tu,nataka kuona akiamua kwa wajeda.
 
Uzuri anazungumza akiwa huko huko. Ana muda gani hajafika Tanzania, hawezi kuwa huru akija sababu hata wananchi wenye hasira kali wanaweza kumchukulia hatua
 
Kwa mfano huu wa Mange, Serikali ifikirie kwa Mapana suala la URAIA PACHA kwenye Katiba jinsi unavyoweza kutukoroga. Sitaki kufafanua lkn yatakua makubwa kuliko hizi movie za Mange.
 
Mange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.

Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna

Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu

Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa

upload_2016-10-22_17-12-8.jpeg

Na mbaya zaidi ni kuwa ana sura ya 'Staring' na sio sura mbofumbofu ya 'KUBWA LA MAADUI'!
 
matusi ya mange yana athari kwa mtu mmoja mmoja hayana athari kwa mustakabari wa usalama wa nchi na ndio maana system inampuuza.

siku atakapo jaribu kuutukana mfumo au kuongea vitu sensitive vya nchi,hatopona.

atatumwa jasusi mmoja kwenda kumdunga polonium-210 huko huko US.tz litakuja jeneza tu.
 
Jiulizeni huyo mama alimfanya nini mange? Hivi mnajua matusi ambayo mange alitukanwa na mtoto wa rita mlaki? Mnajua matusi ambayo mange katukanwa na rachel temu? Mnajua jinsi wazazibwa mange walivyotukana sana kwnye mitandao? Mnajua chanzo cha haya yote?
Msiishie kuangalia upande mmoja tu.
 
Hivi ze utamu walifanikiwaje kumrejesha nchini, na kwanini wasitumie mbinu hizo kumnasa huyo Mange
 
Jiulizeni huyo mama alimfanya nini mange? Hivi mnajua matusi ambayo mange alitukanwa na mtoto wa rita mlaki? Mnajua matusi ambayo mange katukanwa na rachel temu? Mnajua jinsi wazazibwa mange walivyotukana sana kwnye mitandao? Mnajua chanzo cha haya yote?
Msiishie kuangalia upande mmoja tu.
Mange ana matatizo makubwa hesabu idadi ya watu aliowatukana (wengi walikuwa marafiki zake) ndio utajua zaidi na hao wanamtukana wanatumia makosa aliyofanya baba yake miaka ya nyuma.Kwa yaliyotokea huko nyuma alipaswa kukaa kimya aache kutukana watu kwenye mitandao otherwise anazidi kujiongezea maadui na hawezi kurudi tena bongo watu watamuua
 
Hivi unajua roho za wanawake zilivyo?
Yani mwanamke atukanweeee atukaniwe baba yake mitusi ya nguoni. Na tena atunanwe siri zake zivujishwe.. Then, leo akae kimya? Huyo labda sio mwanamke tena wa kipare.. Uwii mi nasua avae!!!
Mwacheni Mange hata kama mnamuona ni chizi ila angalieni pande zote .. Yeye sio chizi. Jiulize kwa nini na ujanja wake na matusi yake yote le mutuz anamtukana sana baba yake Mange ila Mange hata siku moja hamtukani mzee malecel?
Mnajua kwa nini?
Mange ana akili zake sana ... Tafuteni chanzo:
january makamba mwenyewe alitulizana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom