Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange Kimambi ndiye mtu anayeogopwa na serikali ya CCM ya awamu ya 5 kuliko mtu yeyote yule duniani. Kwa jinsi ambavyo amekuwa akitukana matusi ya nguoni, kudhalilisha, kusambaza habari za uongo kuhusu Ikulu kwa kusema Makamu wa Rais ameandika barua kujiuzulu nk. Ninakiri wazi kuwa Mange Kimambi hakuna anyeweza Kumgusa maana Marekani siyo Mbali angeshafikiwa zamani sana.
Kwa jinsi alivyomtukana Waziri Mstaafu Rita Mlaki matusi ya nguoni yeye na familia yake, Niwashauri tumpigie Magoti Mange na tumbembeleze Ili apunguze matusi na udhalilishaji la sivyo kile alichokuwa akikitaka wakati anagombea tumpe maana hakuna namna
Hakuna cha Usalama wa Taifa, Hakuna Cha polisi, Hakuna cha interpol, hakuna cha Cyber, hakuna cha Ikulu
Tujifunze Kukiri na Kukubali kuwa Mange Ametushinda. Na kama ndivyo acha tu aendelee kutukana na tusiwaone mkilalalmika ktk mitandao kuwa mmetukanwa
Aisee dadavua kidogo huyo mange ndo nanView attachment 422426
Na mbaya zaidi ni kuwa ana sura ya 'Staring' na sio sura mbofumbofu ya 'KUBWA LA MAADUI'!
Aisee dadavua kidogo huyo mange ndo nan
wembamba si hojaMwanamke mwembamba namna ile ndo amekua tishio hivo?
3 na mzungu 1 na kada wa ccm.
swissme
Kamchanaje mkuu,tujuze japo kiduchu maana wengine insta hatupoJana kamchana Rita Mlaki yule mwanamke haogopi mtu duh
Mange ana matatizo makubwa hesabu idadi ya watu aliowatukana (wengi walikuwa marafiki zake) ndio utajua zaidi na hao wanamtukana wanatumia makosa aliyofanya baba yake miaka ya nyuma.Kwa yaliyotokea huko nyuma alipaswa kukaa kimya aache kutukana watu kwenye mitandao otherwise anazidi kujiongezea maadui na hawezi kurudi tena bongo watu watamuuaJiulizeni huyo mama alimfanya nini mange? Hivi mnajua matusi ambayo mange alitukanwa na mtoto wa rita mlaki? Mnajua matusi ambayo mange katukanwa na rachel temu? Mnajua jinsi wazazibwa mange walivyotukana sana kwnye mitandao? Mnajua chanzo cha haya yote?
Msiishie kuangalia upande mmoja tu.
Akhaaaaa!! Nimemfollow kuwa nasoma tu nakupita sasa kosa langu lipi jamani?[emoji24]Kumbuka ile kauli ya mkuu wa mkoa , hata followers wote wanamakosa na watakamatwa.
Hivi unajua roho za wanawake zilivyo?Mange ana matatizo makubwa hesabu idadi ya watu aliowatukana (wengi walikuwa marafiki zake) ndio utajua zaidi na hao wanamtukana wanatumia makosa aliyofanya baba yake miaka ya nyuma.Kwa yaliyotokea huko nyuma alipaswa kukaa kimya aache kutukana watu kwenye mitandao otherwise anazidi kujiongezea maadui na hawezi kurudi tena bongo watu watamuua
Ze utamu alirejeshwa lini nchini ?Hivi ze utamu walifanikiwaje kumrejesha nchini, na kwanini wasitumie mbinu hizo kumnasa huyo Mange
Haluna lolote porojo tu!Ze utamu alirejeshwa lini nchini ?