Who is Martin Maranja Masese?

Kigogo ni fala sana, anajifanya anajua kila kitu kumbe hamnazo.
Jitu lina twit kila saa hamna mda hata wa kufikiri anachoandika.
 
Juzi kasema lissu ni choko [emoji1787][emoji1787][emoji1787],kisa tuu lisu kapinga vikali hoja zake za kutaka chadema kuandaa vikundi vya uasii ili kuja kupambana na dora.

Tatizo lake kubwaaa ni kujifanya anajua kila kitu, akidhindwa kwa hoja anaanza matusiii
 
Huyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa CHADEMA na kijana wa Mbowe

Aina ya siasa zake nazifurahia sasa hivi naona anaparuana na kigogo huko Twitter bila kumuogopa. Kwa anayemfahamu who is he?
This maranja Tripple M emerged from Facebook, he has really exploded so quickly on his ascendance to digital social popularity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…