Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Kigogo ni fala sana, anajifanya anajua kila kitu kumbe hamnazo.Kigogo haeleweki hata anapigania kitu gani ,enzi za jiwe alikuwa anavujisha habari ndo watu wakaanza kumjaza upepo ,Sasa hivi inaonekana hana source yoyote ya ndani ameanza kuwageukia chadema na anataka asikilizwe hata kama ni upumbavu ,mbona yeye aliwahi kumtukana Lissu kwamba ni mshamba
Jitu lina twit kila saa hamna mda hata wa kufikiri anachoandika.