Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raia wa nchi gani?Huyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa chadema na kijana wa mbowe
Aina ya siasa zake nazifurahia sahivi naona anaparuana na kigogo uko Twitter Bila kumuogopa kwa anaemfahamu who is he?
Mbona wanajadiliana tu kawaida?Huyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa chadema na kijana wa mbowe
Aina ya siasa zake nazifurahia sahivi naona anaparuana na kigogo uko Twitter Bila kumuogopa kwa anaemfahamu who is he?
Malizia, mjadala wa wanaume! Mkimaliza mnagonga cheers maisha yanaendeleaMkuu huo ni mjadala kweli?
Hiyo inaitwa ngumu ya kiumeni nyie Mbogamboga.Huyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa chadema na kijana wa mbowe
Aina ya siasa zake nazifurahia sahivi naona anaparuana na kigogo uko Twitter Bila kumuogopa kwa anaemfahamu who is he?
Week iliyopita nilikua nasafiri, basi unaambiwa driver na konda wakakunjana kwanza baada ya hapo kila MTU akaendelea na majukumu yake.Mkuu huo ni mjadala kweli?
huo ndo uanaume siyo mnawekeana visasi vya kijingaWeek iliyopita nilikua nasafiri, basi unaambiwa driver na konda wakakunjana kwanza baada ya hapo kila MTU akaendelea na majukumu yake.
Tumefika Uvinza naona jamaa wakawa wanapiga story kama kawaida tu like hakuna kitu kimetokea
Yeah nilijifunza jambohuo ndo uanaume siyo mnawekeana visasi vya kijinga
Ndio maana, situmii Tweeter mimiWatu wa twitter wanajikutaa
Much knoww...
Ni mtanzania wa Bunda Mara.Huyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa CHADEMA na kijana wa Mbowe
Aina ya siasa zake nazifurahia sasa hivi naona anaparuana na kigogo huko Twitter bila kumuogopa. Kwa anayemfahamu who is he?
Hapo ndipo ugomvi wao ulipoanzia??Ni mtanzania wa Bunda Mara.
Kwenye utawala wa awamu ya tano alihudhuria sana Kisutu.
Kigogo ni baada ya kupoteza relevancy kwenye harakati zake akaanza kujiegemeza CHADEMA ili aendelee kutrend while in fact alishapoteza relevancy kwahiyo wanafanya harakati za kuhakikisha hapati upenyo wa kuattach harakati zake na chama kwa sababu hawajui anachopigania.
Hapana ugomvi umeanza mbali kidogo na ni siku nyingi.
Yes, Martin alisha wahi mkaba kooo huko nyuma kwenye issues za uenyeketi wa mbowe na tuhuma za akina jualikali kua mbowe anakula ruzuku.jamaa alisalimu amri na akaomba msamaha [emoji1787][emoji1787].Martin inaonekana anafahamu Kigogo ni nani, maana Kigogo alishawahi kusema anamheshimu Martin kuliko yeyote .
Anamparua Kigogo hana hamu naye kabisaHuyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa CHADEMA na kijana wa Mbowe
Aina ya siasa zake nazifurahia sasa hivi naona anaparuana na kigogo huko Twitter bila kumuogopa. Kwa anayemfahamu who is he?
Ulinikimbia one lounge mkuu[emoji16]Mbona wanajadiliana tu kawaida?
Wanaume ni lazima sometimes mijadala iwe strong sio CCM kidogo tu wanakimbiana na kufungana au kupeana kesi za kijinga.
Nafuatilia mjadala wao kwa karibu
Kigogo haeleweki hata anapigania kitu gani ,enzi za jiwe alikuwa anavujisha habari ndo watu wakaanza kumjaza upepo ,Sasa hivi inaonekana hana source yoyote ya ndani ameanza kuwageukia chadema na anataka asikilizwe hata kama ni upumbavu ,mbona yeye aliwahi kumtukana Lissu kwamba ni mshambaYes, Martin alisha wahi mkaba kooo huko nyuma kwenye issues za uenyeketi wa mbowe na tuhuma za akina jualikali kua mbowe anakula ruzuku.jamaa alisalimu amri na akaomba msamaha [emoji1787][emoji1787].
Kigogo alidai anao ushahidi wa jinsi mbowe anavyo tafuna hela, na akatamba kuweka mezani, ila hadi pambano lina kwisha Kigogo hakuweka huo ushahidi. Heshima ilianzia hapo.
Ugomvi wa hivi karibuni ni baada ya Kigogo kudai lissu kamuita mjinga na asie na akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787],aka jaa upepo. @chahali ndio alikoleza ugomvi kwa kusema kigogo kapata kiboko yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787].