Who is Martin Maranja Masese?

Who is Martin Maranja Masese?

Huyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa chadema na kijana wa mbowe

Aina ya siasa zake nazifurahia sahivi naona anaparuana na kigogo uko Twitter Bila kumuogopa kwa anaemfahamu who is he?
Mbona wanajadiliana tu kawaida?

Wanaume ni lazima sometimes mijadala iwe strong sio CCM kidogo tu wanakimbiana na kufungana au kupeana kesi za kijinga.

Nafuatilia mjadala wao kwa karibu
 
Mkuu huo ni mjadala kweli?
 
Huyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa CHADEMA na kijana wa Mbowe

Aina ya siasa zake nazifurahia sasa hivi naona anaparuana na kigogo huko Twitter bila kumuogopa. Kwa anayemfahamu who is he?
Ni mtanzania wa Bunda Mara.

Kwenye utawala wa awamu ya tano alihudhuria sana Kisutu.

Kigogo ni baada ya kupoteza relevancy kwenye harakati zake akaanza kujiegemeza CHADEMA ili aendelee kutrend while in fact alishapoteza relevancy kwahiyo wanafanya harakati za kuhakikisha hapati upenyo wa kuattach harakati zake na chama kwa sababu hawajui anachopigania.
 
Hapo ndipo ugomvi wao ulipoanzia??

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Martin inaonekana anafahamu Kigogo ni nani, maana Kigogo alishawahi kusema anamheshimu Martin kuliko yeyote .
Yes, Martin alisha wahi mkaba kooo huko nyuma kwenye issues za uenyeketi wa mbowe na tuhuma za akina jualikali kua mbowe anakula ruzuku.jamaa alisalimu amri na akaomba msamaha [emoji1787][emoji1787].

Kigogo alidai anao ushahidi wa jinsi mbowe anavyo tafuna hela, na akatamba kuweka mezani, ila hadi pambano lina kwisha Kigogo hakuweka huo ushahidi. Heshima ilianzia hapo.

Ugomvi wa hivi karibuni ni baada ya Kigogo kudai lissu kamuita mjinga na asie na akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787],aka jaa upepo. @chahali ndio alikoleza ugomvi kwa kusema kigogo kapata kiboko yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Kigogo haeleweki hata anapigania kitu gani ,enzi za jiwe alikuwa anavujisha habari ndo watu wakaanza kumjaza upepo ,Sasa hivi inaonekana hana source yoyote ya ndani ameanza kuwageukia chadema na anataka asikilizwe hata kama ni upumbavu ,mbona yeye aliwahi kumtukana Lissu kwamba ni mshamba
 
Back
Top Bottom