MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Kuondoa hiki kiwingu- basi PM apime ngoma na matokeo yawekwe wazi!
Tusije ingia gharama siku za karibuni as a country kutafuta tena PM mwingine... our country is so poor and we can can not afford!
Ashauriwe apime ngoma na majibu watu wajue ili kuondoa duku duku!
Hivi Pinda hakujua hata kwamba hapo Dar kuna Open University? Tokea mwaka
1974 yaani hata post graduate certificate hakuna?
Pamoja na experience lakini kujiendeleza hata kwa courses fupi fupi ni muhimu sana.
Wakati huo kulikuwa hata hakuna globalization, hakuna mafisadi toka nje, je bado LLB yake ya mlimani mwaka 1974 ina nguvu sasa?
Jamani tuwe tunajiendeleza hata kama ni kidogo kidogo. Inaelekea jamaa ni
type ya JK.
Labda amehudhuria courses zingine mbalimbali ila hajaandika tu.
Pundit,
Pinda hakuwa PM alipopima kwa hiyo unachotaka nini haswa? Je, una hakika ana ngoma, twambie hizi habari za kuzunguka mbona unatuzengua!
Waziri mkuu mteule amesema mke wake alikuwa mbali (yaani hakuhudhuria bunge wakati wa kuthibitishwa na Bonge) kwa kuwa hakujua kwamba mambo yangekuwa hivyo yalivyo!!!
Kwa hiyo ana Mke!!! confirmed kutoka kwenye mdomo wake... hayo mengine ... tumuachia game theory...
Siku hizi usiombe mke wako akutangulie.... mambo yanakuwa ya ku-nyanyapaliwa...
Washikaji Nataka Kujua Haswaaa Huyu Mizengo Kayanda Pinda Anatokea Kabila Gani Kwani Baadhi Ya Wanyamwezi Wa Mpanda Wanadai Kuwa Yeye Ni "mnyamwezi" Na Wengine Wanasema Kuwa Ni "mfipa" Sasa Nataka Kujua Katika Pita Pita Zenu Na Huu Upembuzi Yakini Kuwa Mizengo Kayanda Pinda Amehusuuu Kabila Lipi Japo Kuwa Asili Yetu Watanzania Hatupendi Kuuliza Kuwa Wewe/mimi Ni Kabila Gani Ila Naomba Nisaidiwe Kwa Hili.
Ahsanteeni
Mullah
Jamaa alikuwa Usalama wa taifa na mpaka sasa ni afisa Mwandamizi tena Waziri mkuu .unatgememea angesoma saa ngapi?>kwani ukona alivyoongea jana.Yeyes siyo MwanasiasaI totally agree with you, jamani it is unbelievable zaidi ya miaka 30 mtu ujabrush kichwa kidogo na hiyo ndo inapelekea watu kufanya kazi kulingana na mazoea, no update na unaweza kukuta hata kutekenya PC keyboard ni mashikolo mageni. I wonder na globalization ya sasa ambapo kiongozi unatakiwa kuwa informed and knowledgeable kwa vitu vingi sasa PM wetu kama atatoa decision nzuri. Any way let's wait and see.
Kuondoa hiki kiwingu- basi PM apime ngoma na matokeo yawekwe wazi!
Tusije ingia gharama siku za karibuni as a country kutafuta tena PM mwingine... our country is so poor and we can can not afford!
Ashauriwe apime ngoma na majibu watu wajue ili kuondoa duku duku!
Kwangu mimi ninaona atakuwa mtu safi, sijui labda huko jimboni kwakwe...Hata hivyo mhe. Rais hawezi akachagua uozo wakati tayari kuna scandal kali kama hiyo iliyo kwisha toke...
Sijui,... jamani chimbeni...Who is Mizeng/we/o Pinda?????[/QUOTE
well mie kwa mtazamo wangu tusitegemee jipya kwa huyu panda,mie nashindwa kuelewa kwanini wabongo hatukati tamaa na serikali ya ccm.nikiaangalia cv ya huyu jamaa kama ilivyowekwa hapa ni kiongozi wa siku nyingi na alifanya kazi kipindi hicho hicho cha deal ya richmonduli kama Prime Ministers Office - Regional Admin.& Local Governments(2006).sasa kama alikuwa regional administrator hakuona deal hii? kama alisukumwa na boss wake kwanini hakujiuzulu?.na ukitaka kujua hana la maana atakalo kuja nalo kasema yeye ataendela kuwa Panda kilichobadilika ni kuwa kuongezewa uwaziri mkuu. sasa kama angekuwa material person, speech yake fupi pale bungeni ingekuwa na walao na strategy ambazo angetoka nazo,mie nafikiri speech ya mtu pia huonesha tumaini kwa kugusa hisia za waliokata tamaa
Kumbuka wazazi wake toka Mpanda wamefika kwenye hiyo sherehe, sasa mke wake yuko nje ya nchi au.......
Pundit,
Unabore na mambo yako ya suti. Mnafuatilia hata mambo yasiyo ya maana halafu mnataka tusiwe na mafisadi?
Kama unataka bingwa wa kuvaa si tunaye rais? Unataka kila mtu ashinde kwenye shopping Harrods?
....
So longer hatembei uchi mimi sina matatizo kabisa na anavaa nini.
Waziri mkuu mteule amesema mke wake alikuwa mbali (yaani hakuhudhuria bunge wakati wa kuthibitishwa na Bonge) kwa kuwa hakujua kwamba mambo yangekuwa hivyo yalivyo!!!
Kwa hiyo ana Mke!!! confirmed kutoka kwenye mdomo wake... hayo mengine ... tumuachia game theory...
Siku hizi usiombe mke wako akutangulie.... mambo yanakuwa ya ku-nyanyapaliwa...
Sasa redio mbao zinavyosema mambo ya migonjwa ya muda mrefu hapo soo.